Fitnah ya Musa'fiqah
582 subscribers
2.99K photos
157 videos
271 files
5.18K links
This channel is dedicated to clarifying the current fitnah through the statements of the senior scholars & qualified mashaykh and their students
Download Telegram
Fitnah ya Musa'fiqah
*💥متجدد💥* *📍تأكيد الشيخ الفاضل سعد الزعتري حفظه الله على وصية العلامة ربيع المدخلي حفظه الله بأخذ العلم عن الواضحين في المنهج السلفي وترك المغمغمين والمذبذبين* قال الشيخ الفاضل سعد الزعتري حفظه الله: السلام عليكم ورحمة الله وبركاته أود أن أبين أمرا يسأل…
*Shaykh Sa'ad Al Za'atri kuhusu Wassiyah wa Allamah Rabee' Al Madkhali juu ya kuchukua Ilmu kutoka kwa wale ambao wapo wazi katika Manhaj Salafi na kuacha "Mughamghamina (ambao hawayaweki wazi maneno yao na msimamo wao)" / waliokuwa hawako wazi na Mudhabidhabina (wenye kusita na kubabaika).*

السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Nataka kubainisha jambo ambalo wengi katika Tullabu-l-Ilm wanaulizia, na ni kuhusu Uwazi/Ubainifu katika Manhaj. Shaykh Rabee' Hafidhahullah na wengine katika Ulamaa wakubwa katika vitabu vyao na kasseti zao na tumesikia mengi kutoka kwao, kuwa: *chukueni (Ilmu) kutoka kwa yule aliekua na uwazi/ubainifu katika Manhaj, anayeipa nguvu Haq na anayetahadharisha dhidi ya Bida'h na watu wake, masahaba wake na wakubwa/viongozi wake, msichukue kutoka kwa wale ambao wamejizuia, au wamechanganyikiwa/hawajathibiti au Mumayaee'n (Tamyee').* Chukueni (Ilm) kutoka kwa wale ambao wapo katika uwazi, Shaykh Rabee' na wasiokuwa yeye, wamelisema hili kutoka kabla na kipindi hiki. Kwa hiyo hii ni nasaha kwa Tullabu-l-Ilm, *kuchukua kutoka kwa wale waliokuwa wazi juu ya uwazi.* Yule aliyekuwa na uwazi katika Manhaj yake ni mwenye kudhihirika/kujulikana mara moja, na hufanya mambo yake kuwa wazi/yenye ubainifu, na mtu aliyekua Mughamgham/hayuko wazi (pia) anajulikana.

Kwa sababu hii, twaulizwa juu ya Al Usaymi na kuhusu ar-Ruhaylee, na Raslan na wasiokuwa wao (wengine). Basi twasema: je wamebainisha & wamefanya wazi Manhaj yao khaswa, au Tahdhiir zao juu ya watu wa Fitnah (Ahlul Fitnah) na watu wa sharr (Ahlul Sharr), hususan katika fitnah ya mwisho, Fitnah ya Ibn Hadi? Je huyu Usaymi na wasiokuwa yeye alisimama na akatahadharisha katika audio yake au video (au maandishi) juu ya Sayyid Qutb, juu ya Ikhwanul Muslimin, juu ya Jamaa't Tabligh, na akatahadharisha dhidi ya watu wake (wahusika) haswa kama Hassan Al Banna, na kutahadharisha na wengineo wasiokuwa hao? Hili ndio swali, na kutahadharisha na yule ambaye ndio mmliki wa fitnah hii mpya? Hili ndio swali. Je Abdulrazzaq na wengineo walisimama (kuchukua msimamo wa wazi)? kwa sababu hii, Shaykh Rabee' akaifanya fupi/mukhtasari kwetu na akasema, *chukueni Ilmu kutoka kwa wale waliokuwa juu ya uwazi (Katika Manhaj na katika Fitnah). Na ninasema, chukueni Ilmu kutoka kwa wale walio juu ya uwazi!* Hata kama mimi Sa'ad Fat'hy Az-Za'tariiy, mimi mzungumzaji siko wazi katoka Fitnah ya Ibn Haadi, katika Fitnah ya Ruhayli, na wasiokuwa hao katika fitan, mf: Halabi

Je kuna maneno ya Usaymi juu ya Halabi? Tubainishie (tuonyeshe) maneno ya Abdulrazzaq juu ya Halabi? *Yule mwenye kubainisha, yuko wazi katika Manhaj, chukua (Ilmu) kutoka kwao na ama kwa wengineo, tunasimama/tunajizuia (hatuchukui Ilmu kutoka kwao). Hii Gham-ghama (kutokuwa wazi kwa maneno na msimamo) tunaikataa katika Manhaj Salafi,* na tumetosheka.
Hili ndilo nililotaka kubainisha, twamuomba Allah kwa Uongofu (Hidaaya) kwa wote, na Tawfiiq na Sadaad.

Na Allah Ajua zaidi

رابط المقطع الصوتي:
https://k.top4top.io/m_1510daqeu0.mp3


*📌 TANBIH:* Lil asaf (kwa masikitiko), kuna baadhi katika masalafi - ikhwa, tullab, du'aat wanafundisha vitabu vya hawa mashekhe (Abdulrazzaq, au Raslan, au Ruhayli au Bazmool nk) hadharani *juu ya kujua kuwa kuna maneno au milahadha kutoka kwa ahlul ilm _(katika ulamaa na mashekhe wakubwa)_ juu ya mashekhe hawa,* yaani kwa mfano hawako wazi (wadheh), misimamo yao sio mizuri (hairidhishi) khasa khasa katika fitnah ya Ibn Hadi, na ulamaa hawanasihi nao... na wametunasihi tuchukue kutoka kwa waliokuwa wazi nk.

*Bila shaka huu ni udhaifu katika Manhaj na sio katika kuwa na uwazi katika Manhaj.*

والله المستعان، نسأل الله لنا و لهم الهداية و الثبات على الحق.

════ ❁✿❁ ════

*Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)*

🔗 *_"Tunawaunganisha na ulamaa wa umma wa kisalafi na mashekhe wanaojulikana vizuri waliopewa Tazkiyyah na ulamaa wakubwa"_*
Forwarded from Dini Ni Nasaha
AUD-20210212-WA0006.
3.6 MB
Audio from Tawheed
Fitnah ya Musa'fiqah
*🔥متجدد🔥* ||كلام للشيخ سعد النايف حفظه الله حول سكوت محمد سعيد رسلان عن فتنة ابن هادي هل هو مذموم أم ممدوح|| يقول السائل : بارك الله فيك شيخنا، سكوت محمد سعيد رسلان عن فتنة محمد بن هادي والرجل له مرئيات وصوتيات كثيرة، وله طلاب علمٍ كثيرون، فهل هذا السكوت…
*🔥 Kuhusiana na kunyamaza Sheikh Muhammad Said Raslan🔥*

*Maneno ya Sheikh Sa'ad Al Naif Allah Amuhifadhi kuhusiana na kunyamaza Muhammad Said Raslan kuhusu fitna ya Ibn Haadi, je kunyamaza kwake ni jambo lenye kusemwa vibaya au ni lenye kusifiwa?*

*Suali:*
Anasema muulizaji: Allah akubaarik Sheikh wetu kunyamaza Muhammad Saaid Raslaan kuhusiana na fitna ya bin Haadiy
Na mtu huyo ana videos na sauti (audio) nyingi na anawanafunzi wengi na kunyamaza huku ni kuzuri au nikubaya? Na je mnatunasihi kumsikiliza?


*Akajibu Sheikh Allah amuhifadhi:*

Yeye (Raslan) ewe ndugu yangu hayuko kimya sasa hivi anasema wazi kuwa watu wa Firkuss wapo katika haqi! na anasema rejeeni kwa Firkus na anasema atakae rejea nyuma kidogo tu itambainikia haqi. Hivyo sasahivi hayuko kimya wala hayuko katika haqi bali yeye yupo katika baatwil Allah amuungoze.

Na kunyamaza kwake kwa uhakika kumesababisha tabu nyingi kwa wengi katika masalafi mpaka kwa kundi ambalo linamdhania dhana nzuri. Kwa sababu yeye katika fitna hii na katika kila fitna ambayo wanatakiwa tulaabul-ilm katika ulimwengu wote wawasimamishe watu juu ya njia iliyo nyooka ni ipi faida ya mwanazuoni au ni ipi faida ya twaalib ilm
Inapo kuja fitna yeye analiacha jambo kwa waharibifu (hali mbaya) ni watu hawastafiyd (hawafaidiki) kwake?

Je watu watafaidika na mawaidha ya pepo na moto au katika masuala ambayo atakayo zungumzia kuhusu Sunnah na kuhusu njia na itakapo kuja Sunna na njia yeye hajui kufuata/kutembea katika sunna na njia?!

Ni ipi faida ya hilo na manufaa yake ni yapi?
Na kwaajili hiyo enyi ndugu zangu sisi hatunasihi watu kufaidika nayeye (Raslaan) wallahi.

Kwa hakika Mimi nilikuwa hata alipokuwa amesita kusema tulikuwa tunamdhania dhana nzuri na tunasema huenda huenda na huenda

Lakini yeye ilipo bainika kuwa mtu huyo (raslaaan) analisifu kundi la bin haadiy hasa hasa farkus wakati anapo ulizwa kuhusu fitna hii

Anasema (raslaan) rejeeni kwa farkuus hakika yeye ni mjuzi katika wajuzi wa Jazaair na muulizeni kuhusu qadhia hii

Na kisha anasema lau kama mtu atarejea nyuma kidogo ingembainikia yeye haqi

Yaani hilo linajulisha kuwa maneno yake yamebeba maana ya kwamba salifiyuun wamezama katika upotevu juu ya ukomo wa madai yake na ukomo wa baatwili yake na kwamba salafiyuun hawainusuru haqi na Allah ndo mjuzi zaidi

📚المصدر : [من محاضرة توجيهية بُثت إتصالاً عبر الهاتف للإخوة السلفيين في محافظة كركوك، قضاء الحويجة كانت في ليلة السبت ١٩/رجب/١٤٤١ الموافق ل ٢٠٢٠/٣/١٥].

⚡️ منبر الردود على المصعفقة ⚡️
http://t.me/Mnbarna


*📌 TANBIH:* Lil asaf (kwa masikitiko), kuna baadhi katika masalafi - ikhwa, tullab, du'aat wanafundisha vitabu vya hawa mashekhe (Abdulrazzaq, au Raslan, au Ruhayli au Bazmool nk) hadharani *juu ya kujua kuwa kuna maneno au milahadha kutoka kwa ahlul ilm _(katika ulamaa na mashekhe wakubwa)_ juu ya mashekhe hawa,* yaani kwa mfano hawako wazi (wadheh), misimamo yao sio mizuri (hairidhishi) khasa khasa katika fitnah ya Ibn Hadi, na ulamaa hawanasihi nao... na wametunasihi tuchukue kutoka kwa waliokuwa wazi nk.

*Bila shaka huu ni udhaifu katika Manhaj na sio katika kuwa na uwazi katika Manhaj. Vile vile ni kujitanguliza na kujiweka mbele ya Mashaykh*

والله المستعان، نسأل الله لنا و لهم الهداية و الثبات على الحق.

════ ❁✿❁ ════

*Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)*

🔗 *_"Tunawaunganisha na ulamaa wa umma wa kisalafi na mashekhe wanaojulikana vizuri waliopewa Tazkiyyah na ulamaa wakubwa"_*
Audio
Audio from Tawheed
Fitnah ya Musa'fiqah
Audio from Tawheed
🔊 *Kisomo/audio ya: Nukta muhimu na Fawaid kutoka maqal _"Al Minhal al-Riqraq fi naqd a'dhar Duktur Abdulrazzaq"_*
*”المنهل الرقراق في نقد أعذار الدكتور عبد الرزاق“*

https://a.top4top.io/m_1880fc94z0.mp3
Audio
Audio from Tawheed
Fitnah ya Musa'fiqah
Audio from Tawheed
🔊 *Kisomo/audio: Shaykh Sa'ad Al Za'atri kuhusu Wassiyah wa Allamah Rabee' Al Madkhali juu ya kuchukua Ilmu kutoka kwa wale ambao wapo wazi katika Manhaj Salafi na kuacha "Mughamghamina (ambao hawayaweki wazi maneno yao na msimamo wao)" / waliokuwa hawako wazi na Mudhabidhabina (wenye kusita na kubabaika).*

https://c.top4top.io/m_18818rt7m0.mp3
Fitnah ya Musa'fiqah
*💥متجدد💥* *سُئل الشيخ نزار بن هاشم العباس حفظه الله* السلام عليكم ورحمة الله وبركاته. حفظكم الله شيخنا الكريم. بعض المشايخ الفضلاء قالوا بتوقف الأخذ عن رسلان لأنه غير واضح في موقفه من فتنة ابن هادي التي فرقت السلفيين. هل يصح القول بأنه يجب أن يستشار العلماء…
*💥متجدد💥*

Ameulizwa Sheikh Nizaar bin Hashim Al-Abbaas Allah amuhifadhi

السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Allah akuhifadhini Sheikh wetu mkarimu: baadhi ya masheikh al-fudhala wamesema (juu ya) kusimama (kutawaqaf) kuchukua kwa Raslan kwasasababu hayuko wazi (wadheh) katika msimamo wake kuhusu fitna ya Muhammad Ibn Hadi ambayo imewagawa na kuwafarakanisha masalafiy.
Je inasihi qauli ya kusema inatakiwa kuwataka ushauri ulamaa wakubwa katika hili jambo kubwa (zito) na wasifanye haraka (au kujiweka mbele) tullabil ilm (yaani kama mashekhe waliomsema Raslan)? Allah akulipeni kheri


*Jawabu:*
وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته
Marhaban, wale walio sema kusimama (kutawaqaf) kuchukua kwa Raslan wamesema hilo (wakiwa) juu ya manhaj ya wakubwa (Kibaar) na maelekezo yao ambayo walisema: *msisambaze ispokuwa faida/ilm za wale walio wazi (الواضحين)* na halijakuwa hilo ispokuwa ni kwasababu ya pupa (hirs) yao juu ya watoto wa kiislamu na daa'wa yao ya Salafiyyah.

Ikiwa maslafiy katika sehemu kubwa ya miji ya ulimwengu kwa kuona na kuwasikiliza wanawazuoni wakubwa Allah awahifadhi wanao ijua fitna ya Ibn Hadi na wenye kuizungumza kwa haqi na nasaha, wameandika na wakabainisha bayaaan nyingi wametangaza msimamo wao wa haqi ulio wazi kuhusu fitna ya Ibn Hadi na kusimama kwao juu ya manhaj ya wema walio tangulia nyuma ya wakubwa wao katika ulamaa na masheikh,wanawapa nguvu na wanawanusuru, kwasababu wao wapo katika haqi Alhamdulilah. Sasa vipi kwa yule ambae anasikia na kuona na watu wamesimama na kukaa pembezoni mwake na (yuko) katikati ya watu wa misri ambao wapo katika Mapito/njia ya ulamaa wakubwa msimamo wao, namaanisha masheikh wawili watukufu Hasan Al Banna na Alliy al-Waswifiy na wale wanao pita katika njia yao Allah Awahifadhi wamemkosoa Ibn Hadi na wakatahadharisha juu ya fitna yake na wakanasihi ummah na wakamtia nguvu na kumnusuru Al Allamah Imam Rabiiy na ndugu zake mashaykh, Allah awahifadhi katika kumtahadharisha na kubainisha khatari ya manahaj ya Ibn Hadi?

Kisha unaona baada ya hilo kunyamaza Sheikh Raslan na wengine katika kadhia hasahasa Raslan mbele yake kunawanafunzi na wageni mbalimbali wanao tafuta njia ya haqi.

Na anawasimamia, kwa masikitiko makubwa mwanae Abdillah Allah amuongoze Bil-Mirsaad, anawazuia katika usalafi wa wazi kwa msimamo mbaya juu ya kuonekana na kusikika na baba yake, lakini babake (Raslan) hajitikisi, katulia.

Basi hakuna budi katika hali hii kunasihi walau Mara moja kwa kusimama kuchukua kwake (Raslan) na sio kutahadharisha, mpaka abainishe msimamo wake kwa kuinasihi nafsi yake na wengine katika hao wanafunzi Allah Awahifadhi kutokana na fitna. Vipi itakapo ongezeka katika hilo makosa ya kimanhaji na kiaqiydah katika hiyo madrasa? Ni lazima kubainisha na kutarajaa kutokana na makosa hayo na kusahihisha mapito mpaka asije akadanganyika mwanafunzi na wakayadhania hayo ni katika haqi, ikatokea fitna na kupotea

Sisi hatuna kati yetu uadui wa binafsi pamoja na mtu yeyote bali tunaipenda kheri kwa watu in sha Allah na tunafurahi atakapo patikana katika mji wowote katika miji ya kiislamu na mingine anae simama kwa watu kama mwalimu na mwenye kuwaelekeza na kuwalea, mwenye kueneza daa'wa ya Allah, Salafiyyah, kwahili huyu anawafurahisha masalafiy Alhamdulillah.

Lakini wakati anapokuwa mjinga mtu asie fahamu hizi nafasi/maqamat na anakuwa au anajiweka mbelembele (yatasadar) na anajifanya/anajidhihiri (kuwa) mjuzi (taa'lum) na anawatoa na kuwatenga Tullabul-ilm na mashekhe (shuyookh) wa Sunnah, kwa madai ya kijinga, hapa patatokea fitna kubwa na kuzuia katika usalafiy na watu wake kwa makusudi au bila kukusudia.

Lau kila mmoja angeijua nafasi (qadri) ya nafsi yake na wakajipamba watu wote kwa unyenyekevu (tawadhu3) kwa Allah na akanyamaza wakati anapokuwa maneno yake ni sababu ya fitna na wakati mwingine huenda hafahamu wala haelewi yeye katika dhati ya nafsi yake, lakini atamtanabahisha juu yake yule mwenye kunasihi na mwenye kuelewa.
Fitnah ya Musa'fiqah
*💥متجدد💥* *سُئل الشيخ نزار بن هاشم العباس حفظه الله* السلام عليكم ورحمة الله وبركاته. حفظكم الله شيخنا الكريم. بعض المشايخ الفضلاء قالوا بتوقف الأخذ عن رسلان لأنه غير واضح في موقفه من فتنة ابن هادي التي فرقت السلفيين. هل يصح القول بأنه يجب أن يستشار العلماء…
Hapa neno (kalimah) litakuwa moja na watu wote watakuwa katika Jaadah (sunna/njia ya sawa) na wakubwa katika ulamaaa, hapa utapatikana umoja na muungano na kupendana kwa ajili ya Allah juu ya misingi (usuul) ya elimu na manhaj ya salaf.

Lakini kwa masikitiko makubwa kila mmoja anataka kuandika kila mmoja anataka kuzungumza na kila mmoja anataka kusema katika kila kitu na kutia/kuingiza pua yake katika kila jambo, wallahi jambo ni kubwa na hili jambo sio dogo.

Ninaapa kwa Allah lau kama sio mtihani wa Allah kwa baadhi ya waja wake , kusema na kuzungumza, lau kama wangekuwa wana ahliya (ustahiki kusema) kwa ajili ya hali za watu na zama na kukithiri ujinga, Ingekuwa kulazimu kunyamaza na kutokudhihiri na kutangulia (kusema, lakini Allah anajua Yale yalio ndani ya nyoyo za waja.

((Tambueni Allah anayajua yalioko katika nafsi zenu mtahadharini na tambueni kuwa Allah ni mwingi wa kusamehe.))

*(Alitoa idhni kuisambaza Shaykh Nizar bin Hashim as-Sudani حفظه الله)*


*📌 TANBIH:* Lil asaf (kwa masikitiko), kuna baadhi katika masalafi - ikhwa, tullab, du'aat wanafundisha vitabu vya hawa mashekhe (Abdulrazzaq, au Raslan, au Ruhayli au Bazmool nk) hadharani *juu ya kujua kuwa kuna maneno au milahadha kutoka kwa ahlul ilm _(katika ulamaa na mashekhe wakubwa)_ juu ya mashekhe hawa,* yaani kwa mfano hawako wazi (wadheh), misimamo yao sio mizuri (hairidhishi) khasa khasa katika fitnah ya Ibn Hadi, na ulamaa hawanasihi nao... na wametunasihi tuchukue kutoka kwa waliokuwa wazi nk.

*Bila shaka huu ni udhaifu katika Manhaj yao na sio katika kuwa na uwazi katika Manhaj. Vile vile ni kujitanguliza na kujiweka nafsi zao mbele ya Mashaykh na kukhaalif maslak ya Ulamaa.*

والله المستعان، نسأل الله لنا و لهم الهداية و الثبات على الحق.

════ ❁✿❁ ════

*Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)*

🔗 *_"Tunawaunganisha na ulamaa wa umma wa kisalafi na mashekhe wanaojulikana vizuri waliopewa Tazkiyyah na ulamaa wakubwa"_*
Audio
Audio from Tawheed
Fitnah ya Musa'fiqah
Audio from Tawheed
*🔥 Kuhusiana na kunyamaza Sheikh Muhammad Said Raslan🔥*

*Maneno ya Sheikh Sa'ad Al Naif Allah Amuhifadhi kuhusiana na kunyamaza Muhammad Said Raslan kuhusu fitna ya Ibn Haadi, je kunyamaza kwake ni jambo lenye kusemwa vibaya au ni lenye kusifiwa?*

https://h.top4top.io/m_1882vbsm80.mp3
Audio
Audio from Tawheed
Fitnah ya Musa'fiqah
Audio from Tawheed
*🔥 Sheikh Nizaar bin Hashim Al-Abbaas Allah amuhifadhi kuhusu kusimama (kutawaqaf) kuchukua kwa Sheikh Raslan 🔥*

https://l.top4top.io/m_1882qvxzj0.mp3
🎓 Q&A with Ustadh Abu khadeejah Abdul-Wahid hafidhahullah via WhatsApp:

Questioner:

السلام عليكم ورحمة الله أستاذ حياكم الله

A question inshaa'allah:

Seeing as the Taliban having seized power by force, with the previous leader fleeing alongside a surrendering government to their takeover, do they now take the position of current rulers over the country of Afghanistan, or is their rule yet to be legitimised?

There's been Much dispute over this topic, as some openly talk against them regarding sins they commit or the main issue with regards to their Manhaj before what they (the Taliban) consider rule over Afghan..... how should ahlul sunnah deal & understand the current situation?

Baarak'allahu feekum

Ustādh:

Wa-alaikumus-salām-wa-rahmātullahi-wa-barakātuhu

The rulership of the Islamic Emirate of Afghanistan is like any other Rulership. It is not permissible to rise up against them or to publicly rebuke them... just as was the case with the rulers in the time of Imaam Ahmad...and some present-day Muslim rulers.

We can speak against the innovations but without pointing at the rulers.

Allah knows best.

Furthermore, until the affairs are settled, it is wise not to enter into speaking about the regime. Especially, since we see that the Muslim countries are beginning to recognise their legitimacy.

Questioner:

Baarak'allahu feekum Ustaadh, can I share this response in the groups, if you allow?

Ustādh:

Yes

Questioner:

Jazakallahu Khairun Ustaadh.

*Received on a WhatsApp group in the form of screenshots and tweeted. A salafi brother saw it and transcribed. Which has been edited and shared.

🎓 Abul-Abbass Moosaa Richardson hafidhahullah saw the tweet and replied:

This is good & beneficial advice. May Allah reward Ustaadh Abu Khadeejah.

Note: People of fitnah quote previous criticism of a specific group who were not in legitimate positions of rule then, in order to say the Salafis sometimes speak against rulers by name. So pay attention.

https://twitter.com/1MMeducation/status/1428687527116951558?s=09

🎓 Abul-Abbass Moosaa Richardson hafidhahullah also tweeted:

If you are asked: "What do you say about what is happening in Afghanistan?"

Say: "I have not been appointed to give verdicts on international politics, but I pray for the success of our brothers & sisters there. May Allah bless them with Towheed & Sunnah, & safety & prosperity!"

https://twitter.com/1MMeducation/status/1428744488739119107?s=09

Aameen. Aameen.

A reminder benefits the believer.
Shaykhul Islam Ibn Taymiyyah:

“The people of the Sunnah their (Imams/ Scholars) are the best of the Ummah, and the (Imams/ Scholars) of the people of (religious) innovation are more harmful upon the Ummah than the people of sins/ disobedience”

Majmoo al-Fataawah (7/284)

https://twitter.com/MasjidHudaSheff/status/1429462438819385352?s=09

A reminder benefits the believer.
🌴 Don't Gloat over Your Brother's Sins

The shaikh, Dr. Muḥammad ibn Ghālib Al-ʿUmarī, may Allāh protect him, said:

Don’t become happy about your brother falling into sins [or mistakes], taking that as a proof of your intelligence or how right you were about him. Rather ask Allāh for protection–for yourself and for him–because sins coming from you or from him are [in either case] deficiencies and weaknesses.

And a believer doesn’t reach perfection in īmān¹ until he loves for his brother what he loves for himself.

¹Īmān is faith as it consists of speech, action, and beliefs; it increases with acts of obedience to Allāh and decreases with acts of disobedience to Him (trans.)

Source: @m_g_alomari. 20 Aug 21.

Translator: Mikail ibn Mahboob Ariff
Date published: August 22nd, 2021

https://tasfiyah.com/dont-gloat-over-your-brothers-sins/

🎓 د.محمد بن غالب العُمري

‏لا تفرح بزلة أخيك؛ لتبرهن على ذكائك وصدق حكمك عليه.
بل سل الله لك وله العافية.
فالمعصية منك أو منه نقص وضعف.
والمؤمن لا يبلغ كمال الإيمان حتى يحب لأخيه ما يحب لنفسه.

https://twitter.com/m_g_alomari/status/1428817596732878851?s=09

A reminder benefits the believer.