PICHA: Mwimbaji Harmonize akiongozana na Menejimenti yake na Girlfriend wake leo kwenye press conference ambayo ametangaza uwepo wa Tamasha lake kubwa la siku tatu la Afro East Carnival litalofanyika kwenye viwanja vya Tabata shule ambalo kilele chake kitakuwa ni March 5 2022 ambapo Wasanii zaidi ya 43 watatumbuiza.
Habari zetu binafsi kesho zitajaa kwenye DamDam marathon hapa Leaders Club…. tukishamaliza Marathon asubuhi hiyo nafsi zetu tunawakabidhi hawa SUPER DJ’s !!!!
Kanzu zote perfect kwa muonekano wa kisasa na Disign mbali mbali zinapatikana @perfectkanzu ndani ya @gsmmall Msasani Unakaribishwa sana !!! Wasiliana nao 0710155915 !!!!