Millard Ayo
5.99K subscribers
29K photos
8.69K videos
36 files
1.04K links
BLUE BOY WA KISHUA
Journalist
Award winning TV/Radio Personality | Amplifaya @CloudsFMTZ |Journalist from Africa | I 💙 TIGO PESA APP | Bookings millard@millardayo.com
www.youtube.com/watch?v=g3NCUIuMVI0
Download Telegram
Wananchi wa Kijiji cha Manda Wilaya ya Nyang'hwale katika Mkoani Geita pamoja na Mbunge wao Hussein Nassor Amar wameiomba Serikali iwajengee Daraja zuri ambalo litapitika muda wote baada ya Daraja ambalo walikuwa wanatumia kusombwa na maji na kukata mawasiliano na kupelekea Wananchi kutumia Daraja la miti huku wakilipia Tsh. 200 kuvuka.

Hayo wameyasema mbele ya Naibu Waziri Wa TAMISEMI David Silinde alipofika kukagua eneo hilo ambapo amemuagiza Meneja wa TARURA Wilaya ya Nyang'hwale Benjamin Mkalava kuhakikisha ujenzi wa Daraja unaanza haraka na ukamilike kabla ya msimu wa mvua ili kuwaondolea Wananchi kero hiyo wanayoipata kwa zaidi ya miezi sita.

"Mkishamaliza kujenga mniletee taarifa mpige picha tuone watu wanapita, haiwezikani tuondelee kuiacha hivi tutakua tunamwangusha Rais Samia“ ——-Silinde
#MillardAyoUPDATES
Wananchi wa Kijiji cha Manda Wilaya ya Nyang'hwale katika Mkoani Geita pamoja na Mbunge wao Hussein Nassor Amar wameiomba Serikali iwajengee Daraja zuri ambalo litapitika muda wote baada ya Daraja ambalo walikuwa wanatumia kusombwa na maji na kukata mawasiliano na kupelekea Wananchi kutumia Daraja la miti huku wakilipia Tsh. 200 kuvuka.

Hayo wameyasema mbele ya Naibu Waziri Wa TAMISEMI David Silinde alipofika kukagua eneo hilo ambapo amemuagiza Meneja wa TARURA wilaya ya Nyang'hwale Benjamin Mkalava kuhakikisha ujenzi wa Daraja unaanza haraka na ukamilike kabla ya msimu wa mvua ili kuwaondolea Wananchi kero hiyo wanayoipata kwa zaidi ya miezi sita.

"Mkishamaliza kujenga mniletee taarifa mpige picha tuone watu wanapita, haiwezikani tuondelee kuiacha hivi tutakua tunamwangusha Rais Samia“ ——-Silinde
#MillardAyoUPDATES
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye ameagiza kila Shabiki atakayeingia Uwanjani kutazama Mechi ya Simba vs Yanga Mkoani humo avae barakoa ili kujikinga na Corona.

Andengenye amesema ili kujikinga na ugonjwa huo ni vizuri Mashabiki wote watakaoingia Uwanja wa Lake Tanganyika kutazama Mechi ya Simba vs Yanga inayotarajiwa kuchezwa July 25,2021 wachukue tahadhari ikiwemo kuvaa Barakoa——-“bila barakoa hauingii uwanjani”
#MillardAyoUPDATES
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kikosi Cha Simba SC kimegoma kupitia mlango uliondaliwa kupitia Wachezaji kwa ajili ya kuingia ndani ya Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma kufanya ukaguzi wa Uwanja kabla ya Fainali ya FA inayotarajiwa kuchezwa kesho July 25 na badala yake wametaka kuingilia mlango wanaoutaka wao na kupelekea kuibuka kwa vurugu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Weekend kama hivi wapambanaji tunafanya kazi nusu siku tuu...... na siku inatengenezwa kwa Lunch ya nguvu ya ugali wenyewe SEMBE kutoka @azaniagroup na maziwa flani bariidi ya mgando......
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM