Millard Ayo
5.98K subscribers
29K photos
8.69K videos
36 files
1.04K links
BLUE BOY WA KISHUA
Journalist
Award winning TV/Radio Personality | Amplifaya @CloudsFMTZ |Journalist from Africa | I 💙 TIGO PESA APP | Bookings millard@millardayo.com
www.youtube.com/watch?v=g3NCUIuMVI0
Download Telegram
Mkuu Wa Mkoa wa DSM, Aboubakar Kunenge leo amefanya kikao kazi na mamia ya walimu wa Shule za Msingi zilizopo Wilaya ya Ilala kwa lengo la kujadili changamoto zinazowakabili na kuangalia namna bora ya kuendelea kuboresha hali ya elimu ambapo amewahakikishia Walimu kuwa Serikali inaendelea kulipa malimbikizo yote wanayodai.

RC Kunenge amesema baada ya Kikao na walimu wa Ilala pia amepanga kukutana na Walimu Wa Wilaya nyingine za DSM ili aweze kuzipati majibu changamoto zinazowakabili ambapo amewapongeza walimu wote Wa Mkoa huo kwa kazi nzuri wanayoifanya jambo linalofanya mkoa huo kuwa kinara Wa ufaulu kila mara.

Kunenge amemuelekeza Mkurugenzi Wa Manispaa ya Ilala kuhakikisha anatoa kipaumbele cha ajira kwa walimu ili kuweza kukidhi changamoto ya uhaba Wa walimu Kwa baadhi ya shule.

Pamoja na hayo RC Kunenge amekemea vikali vitendo vya kuvuja Kwa mitihani kwa baadhi ya shule za sekondari na kuwataka wahusika kuwa makini na jambo hilo ili lisiweze kuchafua sifa nz

Inaendelea...
uri ya Mkoa.

Hata hivyo RC Kunenge ametoa wito Kwa Walimu na wananchi Wa mkoa huo kuhudhuria mikutano ya Kampeni za wagombea mbalimbali ili waweze kuchagua Viongozi wenye kuleta maendeleo.(swipe picha)
#MillardAyoUPDATES

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Karibu duka la @antasportstz linalopatikana ndani ya mlimani city wing 3 unijipatie nguo za mazoezi, viatu vya mazoezi na sandals mzigo mpya.
#antasports #antasporttz #football #baskteball #running #marathontraining

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
PICHA: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda @baba_keagan akiwa ameambatana na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali Pengo mapema leo.
#MillardAyoUPDATES

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
“Nimesoma katika Ilani yao nafikiri ukurasa wa 84 au 85 sikusoma vizuri sikumbuki kurasa, wanasema wakipata Madaraka madini yetu watayaweka Rehani, wanatumia neno watayaweka dhamana, yaani atatafutwa Mtu atakabidhiwa madini yote anaanza kuchimba eti dhamana”-JPM akiwa Itigi, Singida leo

“Yaani utafute Mtu umpe madini yote aanze kuchimba eti dhamana ya wao kuendesha Nchi, kasomeni kwenye Ilani yao wanasema wataweka Nchi dhamana, wewe uchukue madini yote ukabidhi Watu fulani!, tunaingia kwenye utumwa, wameula wa chuya”-JPM

“Sasa Ilani yao wanasema wataweka madini dhamana ili waendeshe Nchi, leo wataweka madini, kesho Mbuga, siku itafika wataweka dhamana hata ya Wake zetu, tunaingia kwenye utumwa wa aina nyingine, simameni Imara, sisi ni Taifa huru, limeachwa na Mwl Nyerere” -JPM
#MillardAyo2020

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM