This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#Miaka20yaNHIF
Uhakika wa matibabu kwa wote.....
Huduma kwa wateja piga simu bila malipo 0800110063
Tembelea tovuti ya Mfuko www.nhif.or.tz

"Kikao cha kamati kuu ya Chama kimeketi jana Oct 10, 2021 kwa njia ya kidigitali na kilikuwa na agenda kadhaa mojawapo ilikuwa hali ya siasa nchini, katika agenda hiyo pamoja na mambo mengine kamati kuu ilijadili kuhusu vikao ambavyo vimealikwa na Ofisi ya Msajili"
"Kuna kikao ambacho tumealikwa leo kupitia Baraza la Vyama vya Siasa, kimeanza leo saa tano asubuhi, Dodoma pia kuna kikao tumealikwa kinaitwa Kikao cha Wadau kitakachofanyika Oct 21-22,2021 Dodoma, mambo haya yalijadiliwa na Kamati Kuu na kuyaazimia"
"Serikali imezuia shughuli halali za vyama vya siasa na hivyo inakuwa imevunja sheria no. 5 ya Vyama vya siasa ya 1992, Kamati Kuu ya CHADEMA tumeazimia kuwa ili tukutane na Msajili wa Vyama vya Siasa ni sharti kwamba zuio la mikutano ya vyama vya siasa liondolewe"
"Hatuwezi kwenda kwenye kikao na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini wakati ambao Vyama vya siasa vimezuiwa kufanya shughuli zao za kisheria, Mwenyekiti wetu Mbowe na Wanachama wetu mamia kwa mamia wakiwa ndani" βββBenson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA - Bara
#MillardAyoUPDATES

Mwezi April Mwenyekiti Freeman Mbowe alimuandikia barua Rais Samia ya kuhitaji kukutana naye, Rais Samia amekutana na makundi mbalimbali ila kundi la Wanasiasa bado, tuna imani ya kukutana naye tumweleze mambo yanayosababisha ufa kwenye Taifa hili"
""Nia na lengo letu la kuonana na Rais Samia sio kwenda kumueleza mambo yetu binafsi, bali mambo mbalimbali ya kuendesha Nchi yetu vizuri, na tuko tayari kwa mazungumzo na Rais, lakini hatuko tayari kukutana na Msajili"
"Baada ya kusikia kilio cha Wananchi kuhusu katiba mpya, tulimwandikia Rais Mstaafu Kikwete barua ya hitaji hilo akakubali kukutana nasi, tukashauriana na mchakato uliishia ulipoishia, alipoingia Rais Magufuli tuliandika barua nne na zote hazikujibiwa"
"Moja ya kazi kubwa ya chama cha siasa ni kuwasemea watu ambao hawana majukwaa ya kusemea mfano ni machinga na wengine, unapozuia mikutano ya vyama vya siasa maana yake umezua majukwaa ya Watu hao wasiseme na wasiwe na sauti za kusema"βββ Kigaila, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Bara

Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo @hassan_mwakinyo_jr amepanda rank katika viwango vya mabondia vya dunia uzito wa Super welterweight sasa yupo nafasi ya 10 kati ya Mabondia 1530 duniani kote, Mwakinyo September 5 2021 alikuwa nafasi ya 13 kidunia.
#MillardAyoSPORTS
#MillardAyoSPORTS
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Unakaribishwa kwenye maduka ya @babyshoptz1 @maxfashion_tz @splashfashiontz @shoexpresstz @homeboxtz @antasportstz na @gsmhometz Ujizolee bidhaa zilizopo kwenye SALE ya hadi 70%
Usichelewe sasa mwambie na rafiki yako !!!

Tanzania imepanda Kwenye viwango vya ubora kwenye Soka la Ufukweni ikishika nafasi ya 7 Afrika kwa upande wa Dunia ikishika nafasi ya 42. #MillardAyoSPORTS
Tanzania imepanda Kwenye viwango vya ubora kwenye Soka la Ufukweni ikishika nafasi ya 7 Afrika kwa upande wa Dunia ikishika nafasi ya 42. #MillardAyoSPORTS
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mchezaji maarufu wa Soka Mbrazil Neymar amesema Kombe la Dunia Mwaka 2022 inaweza kuwa michuano ya mwisho kwake kuchezea Timu yake ya Taifa kwasababu haoni kama atakuwa na nguvu kimwili na kiakili kuendelea kucheza mpira.
Hii video inamuonesha Neymar akiwasalimia Mashabiki Jana kabla ya Mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia vs Colombia ambapo Mashabiki wameonesha masikitiko yao baada ya kauli hiyo ya Neymar huku mmoja akisema wanasikia pia Messi na Ronaldo nao huenda wakachukua uamuzi kama wa Neymar. (πΉ via AFP)