Millard Ayo
5.96K subscribers
29K photos
8.69K videos
36 files
1.04K links
BLUE BOY WA KISHUA
Journalist
Award winning TV/Radio Personality | Amplifaya @CloudsFMTZ |Journalist from Africa | I ๐Ÿ’™ TIGO PESA APP | Bookings millard@millardayo.com
www.youtube.com/watch?v=g3NCUIuMVI0
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Waziri Mkuchika kwa Mamlaka aliyokasimiwa na Rais amemteua Omary Mwanga kuwa Katibu Tawala wa Wilaya (DAS) Nachingwea, Lindi akichukua nafasi ya Husna Sekiboko, amemteua pia Saitoti Zelothe Stephen kuwa DAS Mbeya akichukua nafasi ya Hassan Mkwawa, kabla ya uteuzi Saitoti alikuwa Afisa Tarafa Mbulu, Manyara.
#MillardAyoUPDATES

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
While the world stands GSM we cross borders to ensure you stay-IN Style. @babyshop.kenya

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HT: Aston Villa 0-2 Man United (Fernandes 26โ€™ P Greenwood 45+5โ€™)
-
Vipi Aston Villa chama la Wana Wanaweza kupindua matokeo? #MillardAyoSPORTS

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
FT: Aston Villa 0-3 Man United (Fernandes 26โ€™ P Greenwood 45+3โ€™ Pogba 58โ€™)
-
Kwa game zilizosalia Aston Villa wanaweza kusalia EPL msimu ujao? #MillardAyoSPORTS

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Nyumba za nguvu

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Millard Ayo pinned ยซ#MillardAyoMAGAZETI July 10, 2020 @millardayoยป
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
let's Make A Difference
Give your home the touch of beauty all the time with @gsmhometz.

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga August 5, mwaka huu kuanza kusikiliza jumla ya mashahidi 15 katika kesi inayomkabili Mchekeshaji Idris Sultan ya kushindwa kusajili laini ya simu iliyokuwa inamilikiwa na Mtu mwingine, mbali ya Idris, mshitakiwa mwingine ni Innocent Maiga.
โ€ข
Miongoni mwa mashtaka inadaiwa Mei 5, mwaka huu Mkuu wa Upelelezi Kinondoni alipewa taarifa kwamba Idris anatumia kadi ya simu ambayo haijasajiliwa kwa jina lake na kwamba alitakiwa kuripoti Kituo cha Polisi Oysterbay ambapo alifanya hivyo.

Inadawa Polisi walienda kufanya upekuzi nyumbani kwa Idris na kubaini uwepo wa laini hiyo ya simu na kwamba alikuwa akiitumia kwa mawasiliano yake ya kila siku licha ya kusajiliwa kwa jina la Maiga.
โ€ข
Upande wa mashitaka umedai wataleta mashahidi 15 na kama watahitaji kuongeza au kupunguza mashahidi wataieleza Mahakama na kwamba wataeleza idadi ya vielelezo watakavyokuwa navyo kesi itakapoendelea.
(๐Ÿ“น via @ayotv_)

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Rais Magufuli amemteua Gabriel Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Julius Mashamba, kabla ya uteuzi Malata alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, JPM amemteua pia Boniface Luhende kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
#MillardAyoIkuluUPDATES

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM