This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Hivi ndivyo Everasite Ndayishimiye alivyoapishwa rasmi leo June 18,2020 kuwa Rais Mpya wa Burundi baada ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo Pierre Nkurunziza , Mahakama ya Kikatiba nchini humo iliamuru Ndayishimiye kuapishwa haraka ili shughuli za Serikali ziendelee.
#MillardAyoUPDATES
@millardayo
#MillardAyoUPDATES
@millardayo
Safari za ndani za ndege bado zipo kama kawaida na hawa @cielotravelagency ndo wanazo tickets ... Wapigie wakuhudumie +255 769 567 651 /+255 743794416
@millardayo
@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Endelea kufurahia punguzo kubwa la bei la hadi 70% ndani ya maduka ya Max, Splash, Babyshop na Shoexpress.
Maduka yetu yanapatikana GSM Mall Msasani, GSM Mall Pugu, Max Mlimani City, Splash Mlimani City, Babyshop Mlimani City, Max Aura Mall, Max Arusha na Max Dodoma, Shoexpress Aura Mall, Shoexpress Dodoma.@gsmmall

Mamlaka ya Udhibiti wa Meli nchini (TASAC) imefika Mwanza ili kujionea ulipofikia ujenzi wa Meli mpya, chelezo na ukarabati wa Meli mbili za New Victoria na MV. Mwanza.
•
Ujenzi wa Chelezo na ukarabati Meli mbili vyote vimefikia asilimia 98 na Meli hizo zinatarajia kuanza kazi July 01 mwaka huu.
(📹 via @ayotv_)
@millardayo
•
Ujenzi wa Chelezo na ukarabati Meli mbili vyote vimefikia asilimia 98 na Meli hizo zinatarajia kuanza kazi July 01 mwaka huu.
(📹 via @ayotv_)
@millardayo
Bonge la Hotel, Bonge la Mkoa, bonge la location !!!! niamini @mountroyalvilla Iringa ni 🔥
@millardayo
@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Ni kazi mpya ya Singeli kutoka Kwa @mejakunta_ na @bgway_gwayne ambao wote wamedatishwa na penzi la Hidaya na kuama kumlilia kwa nguvu zote.. ukiingia millardayo.com utakutana nayo pia link ipo kwenye Bio zao.
@millardayo
@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Sauti yake haijawahi kuchosha masikio yako, unaweza kutamani akuimbie siku nzima, @gracematata ni Matata kwelikweli, round hii ametuleta ‘Me & You’... cheki na link kwenye bio yake au ingia millardayo.com kuitazama kisha niambie mstari upi umekubamba!
@millardayo
@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Ni video mpya ya ‘Wife’ kutoka kwa Msanii @harmonize_tz ft Komandoo @jidejaydee , wimbo huu upo kwenye album yake ya ‘Afro East’.. tayari Wife ipo namba 2 kwenye Trending Tanzania, Namba 1 kuna ile ya Nandy ft Harmonize ‘Acha lizame’
•
Harmonize ameachia video Tatu kwa mpigo ambazo ni Wife, Nishapona & Never Give Up(English Version)... link kwenye bio zao na millardayo.com
@millardayo
•
Harmonize ameachia video Tatu kwa mpigo ambazo ni Wife, Nishapona & Never Give Up(English Version)... link kwenye bio zao na millardayo.com
@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Inmi Patterson ameaga rasmi kuwa anaondoka Tanzania>> "muda si mrefu nitaondoka Tanzania, nawashukuru kwa kunisaidia kuifahamu Nchi yenu vizuri zaidi na nawashukuru kwa juhudi zenu za kuwaleta Watanzania na Wamarekani kuwa pamoja"
(📹 via @usembassytz)
@millardayo
(📹 via @usembassytz)
@millardayo