Millard Ayo
5.96K subscribers
29K photos
8.69K videos
36 files
1.04K links
BLUE BOY WA KISHUA
Journalist
Award winning TV/Radio Personality | Amplifaya @CloudsFMTZ |Journalist from Africa | I πŸ’™ TIGO PESA APP | Bookings millard@millardayo.com
www.youtube.com/watch?v=g3NCUIuMVI0
Download Telegram
Trending on Tiktok Australia ni jinsi selfie aliyojipiga Boyfriend akiwa kwenye gari ilivyomuumbua na kufichua kwa Girlfriend wake kama ana pisi nyingine anadili nayo.

Girlfriend aligundua kwamba Boyfriend wake ana-cheat kupitia miwani aliyovaa Jamaa wakati anapiga selfie akiwa kwenye gari, miwani hiyo ilionesha Mchepuko wa Jamaa ukiwa ume-relax kwenye gari tena na miguu juu kabisa. πŸ˜ƒπŸ€”

β€œWanawake wenzangu kagueni vizuri picha mnazotumiwa na Wapenzi wenu, Mpenzi wangu kajichanganya katuma Selfie kumbe miwani yake inamuonesha Mchepuko, hakuwa amejua mpaka nilipomwambia, amekiri kuwa amenisaliti kwa mwezi mzima, anaomba radhi ila hadi sasa nafikiria kama napaswa kumsamehe au laah"

Kitu gani cha kwanza ungefanya baada ya selfie kama hii? ni boko gani limeshakutokea kwenye mapendo hutolisahau? DM namba yako kama unataka kusikika nalo kwenye AMPLIFAYA !!

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Hizi ni picha za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kufika leo kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma na kukagua maandalizi ya uwanja huo utakaotumika kwa ajili ya uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakaofanyika kesho Novemba 05. #MillardAyoUPDATES

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Karibu Kwenye Maduka Yetu Ya GSM HOME leo Hii Unufaike Na BIG SALE Ya 20% Karibuni Sana @gsmhometz
Maduka yetu yanapatikana GSM Home Mikocheni, GSM Home Mlimani City na GSM Home Pugu Mall
#gsmhometz #sale #tanzania #daressalaamπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #homedecoridea

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
FT: Simba SC 2-0 Kagera Sugar (Bocco 43’P Ndemla 45+3’) #VPL #MillardAyoSPORTS

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
"Viongozi wa Mataifa takribani 20, Mabalozi 83 Kushuhudia Kuapishwa kwa JPM Uwanja wa Jamhuri Dodoma kesho, nimeeleza katika mkutano wangu na wanahabari Dodoma, miongoni mwao wapo Marais, Makamu wa Rais, Mawaziri Wakuu, Mzee Obasanjo na Nabii T.B Joshua kutoka Nigeria"- Dr.Abbas @msemajimkuuwaserikali
#MillardAyoUPDATES

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mahaba ya Watoto huwa yako REAL siku zote, sasa kama wamechagua unga wa AZANIA sisi ni nani tuwapinge? @azaniagroup

@millardayo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM