POWER VPN UNLIMITED
1.36K subscribers
309 photos
7 videos
536 files
466 links
KAZI HIENDELEEE KARIBU TUJIFUNZE PAMOJA NA MR POWER VPN UNLIMITED
Download Telegram
🔥Graphic Design Bootcamp: Advanced Training Using Adobe🔥

Project-Based Learning For Intermediate Designers: Use Photoshop, Lightroom, and Other Adobe Creative Cloud Programs


🟥 1 GB

Download link:
https://mega.nz/folder/LgQDQYYa#OraBeS8ADGbf0A9q5I7F7A

Share and help others 💞
👍21
👍2
AIRTEL SAHIVI MWISHO MB 85, AU 102😥😥
🤷4
HAMIENI TIGO🔥🔥🔥🔥🔥
👍2
Al-Qadi FAST VIP🔥🔥🔥
Login removed
It's very fast 📶🔥🔥
Coming soon 🔜....
👍3😎1
Al-Qadi FAST VIP 1.1 Mod.apk
25.7 MB
For all phone

Al-Qadi FAST VIP 🔥🔥
💥This VPN work protocol udp mode1
💥It's very fast to upload 🔥
💥It work for all country 🌍
💥Support android 5 and up📱
💥Support devices Huawei 📲


Modded by Binke & ADFU @luhovero26code

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Share it with your friends👬

👇Thank you for your feedback
      @PowerVpn26
     🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Enjoy free internet for all country🌍
🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫
Play store version don't work 🚫
👍6
Forwarded from Gaming Zone
GTA Sa Highly Compressed [@GAMERZONE91].7z
296.1 MB
Install apk
Extract the file to Android/obb

This file is for mali gpu user on if you are not i am telling you it will not work
👍8
Password: androgamer
#SUPATECH: Hii hapa inaitwa GOOGLE KEEP kutokea Google, App ambayo itakuwezesha wewe mtumia simu janja kuhifadhi taarifa zako.
.
GOOGLE KEEP inapatikanaji kwa watumiaji wote wa Android, IOS na Web kupitia G-Mail account yako.
.
Utofauti wa GOOGLE KEEP na App nyingine za kuhifadhi taarifa zako.

👉🏾Upatikanaji wake : inapatikana ikiwa kama App kwa watumiaji wa simu janja kupitia Playstore na Appstore pia inapatikana kwenye Web kupitia Gmail account.

👉🏾Inakupa uwezekano wa kuandika maneno hadi kufikia 20,000

👉🏾Ni bure na pia kwa watumiaji wake kwa njia ya App inakupa uwezo wa kuitumia hata kama huna Data.

👉🏾Ujazo kwa maaana ya storage ya kwake inafikia GB 15 hii inakuwezesha kuweka vitu vingi zaidi.

👉🏾Urahisi na uwezekano wa kutuma kile ulichokiandika kupitia Google Keep ni rahisi zaidi.

👉🏾Si tu maandishi inakupa uwezo wa kuhifadhi sauti, picha na orodha ya vitu

Mwisho na kwa umuhimu ili kupata huduma hii ni muhimu kuwa na account ya G-mail, Na hata ikiwa umepoteza simu ikiwa kama umehifadhi taarifa
1👍1
𝗣𝗮𝘁𝗮 𝗻𝗮𝗺𝗯𝗮 𝘆𝗮 𝗻𝗶𝗱𝗮 𝗢𝗻𝗹𝗶𝗻𝗲

💭 Mamlaka ya vitambulisho vya taifa Tanzania (nida) unajua ina tovuti ambayo itakusaidia kuweza kufanya usajili online ya kupata namba ya nida kupitia simu au kompyuta.

💭 Sio lazima Tena mtu atembelee kituo cha nida kwa ajili ya kujisajili kupata kitambulisho cha taifa  unaweza kujisajili Mahali popote ulipo na kupunguza msongamano wa kutembelea kituo cha Nida.

Unachotakiwa ni kutembelea tovuti hii 👇
eonline.nida.go.tz

💭 kupitia simu au kompyuta yako utaweza kujisajili kupitia fomu na kuweka taarifa zako sahihi ukimaliza inabidi hu print form yako uliyojaza.

💭 Kisha utaweza kuchukua form na kupeleka serekali za mtaa kuthibitisha taarifa za ukaaji wa eneo unaloishi alafu utaweza kutuma taarifa zako kwenye ofisi za Nida pamoja na nakala zako Ili kukamilisha utaratibu.

#KATENETA
👍71
#SUPATECH: Kwa mujibu wa tafiti kutoka META ambao ndio wamiliki wa application ya WHATSAPP zinasema kwa siku watumiaji wake huingia kwenye mtandao huo wastani mara 23.

Mbali na Facebook na Youtube mtandao wa WhatsApp unatajwa kuwa mtandao namba tatu kwa kuwa na watumiaji wengi zaidi Duniani.

Tunaposema usitumie WhatsApp tunamaana tumia WhatsApp Business mbadala kwani itakusaidia kuwafikia wateja wako kwa urahisi zaidi kupitia simu ya mkononi.

Tunasema kuwafikia wateja kigangani kwani kwa mujibu wa tafiti za mwaka huu, watumiaji wa simu janja (smartphone) hutumia mpaka masaa 3:15 (avarage) wakitumia simu zao.

Kitu gani kitamrahisishia mfanyabiashara iwapo atatumia WhatsApp Business?
Mteja kuwezeshwa kuona orodha ya bidhaa zako na bei zake.

Mteja kuwezeshwa kutambua eneo unapopatikana kwa maana ya eneo la biashara.
Mteja kufahamu muda sahihi wa kufunga na kufungua biashara.

Uwezekano wa biashara yako kuunganishwa na mitandao mingine ya kijamii kama vile Instagram.
👍2
Mteja hupata utangulizi wa salama hata usipo kuwapo hewani.

Uwezekano wakuwapanga wateja wako kwa utambulisho mfano wanao subiri oda unawaekea rangi nyeupe na wale waliosema subiri mwisho wa mwezi ukawaekea rangi ya njano.

Hii unaweza kuipata kupitia APPSTORE na PLAYSTORE ni bure kabisa, lakini ziko baadhi ya sifa ambazo haziko kwenye orodha kama vile CHATSBOT inayokuwezesha kuwasiliana na mteja wako ndio za kulipia.

#SupaTech #WhatsApp
MR POWER AIRTEL 🌈🌈.npv4
6.2 KB
POWER VPN UNLIMITED

💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜

https://t.me/luhovero26code

💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜

   💜TELEGRAM CHANNEL💜
👾1
MR POWER AIRTEL 🌈🌈.v2
6.2 KB
POWER VPN UNLIMITED

💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜

https://t.me/luhovero26code

💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜

   💜TELEGRAM CHANNEL💜
👍1👎1