Nifanye Nini simu yangu ikitokea imetumbukia kwenye maji ? Na nimeitoa !
Wengi wanatumia vitu kama mchele, sijui chumvi lakini sio suluhisho Leo nakuambia Nini ufanye ikitokea simu imetumbukia kwenye maji ya chumvi au chooni, kwenye mtaro nk
1️⃣ Zima simu yako
Ukiona simu yako imetumbukia kwenye maji mara Moja baada ya kuitoa tafadhari izime wala usitumie hakikisha unaizima.
2️⃣ Ondoa kava
Kama kuna kava lolote umeliweka kwenye simu Ondoa , kma mfuniko unatoka kiurahisi tafadhari toa mfuniko wa betri lako toa. Pia skrini protector toa. Alafu futa kwa kitambaa kikavu au shati lako ukimaliza isamamishe kwa dakika kadhaa.
3️⃣ Puliva sehemu za wazi
Usiweke pin kwenye port zako Yani ukatumbukiza pin kwenye sehemu ya Earphones au port ya chaji hapana hakikisha unapuliza sehemu hizo za port au tumia fan au Ac yako kuondoa unyevunyevu uliopo kwenye port ya Earphones, Port ya chaji na speaker.
4️⃣ Ondoa line yako
Ondoa line iliyopo ndani ya simu yako Kisha safisha sehemu ya kuweka line usipige pige wewe tumia mdomo wako au fani kuondoa maji maji yaliyopo ndani ya sehemu ya kuweka line.
5️⃣ Subiri simu yako ikauke
Tafuta sehemu yenye hewa safi iweke simu ikauke, tafadhari usiweke kwenye kabati au ndani ya mkoba wako au kwenye mchele utaua simu. Weka eneo la dirisha lako sehemu ambayo ni wazi kabisa.
𝐔𝐬𝐢𝐣𝐚𝐥𝐢𝐛𝐮 kuweka simu yako kwenye jua tafadhari weka Eneo la kivuli itakua salama sana. Weka sehemu ya kivuli tumia kitambaa kikavu kizito zito kiweke.
𝐉𝐢𝐡𝐚𝐝𝐡𝐚𝐫𝐢 𝐍𝐚 𝐡𝐮𝐮 𝐔𝐨𝐧𝐠𝐨👇
Je nikiweka kwenye mchele?! Usiweke simu kwenye mchele baada ya kuingia maji kwa kuwa utanyonya maji !!
Hapana akuna ukweli wa Namna hii mchele hauwezi kukausha kifaa chako maji weka tu sehemu iliyowazi ili kuwa salama.
Akuna simu inayoweza kukaa kwenye maji muda mrefu ikapona jihadhari simu kuna limit ya kukaa kwenye maji Yani nusu saa au one hour na isizidi meter 1 mpaka mbili.
*Simu yako ikingia maji unafanya jambo gani tuachie maoni yako ??*
#MR_POWER

👍5👎1
GbWhatsApp V9.70 Latest Version Updated By #FouadMods #GbWhatsApp #Gb_WhatsApp
https://kavymod.blogspot.com/2023/06/gbwhatsapp-v970-latest-version-updated.html

KaVyMods Official
GbWhatsApp V9.70 Latest Version Updated By #FouadMods #GbWhatsApp #Gb_WhatsApp
WhatsApp Mods, Instagram Mods ,Insta Mod, WhatsApp Mod Delta-whatsapp , DELTA WhatsApp AeroWhatsApp, NikkMods,GbPro, AlexMods, WhatsApp Mod Apk, TM WA
👍4👎1
MR POWER AIRTEL 💜.hc
32.7 KB
👍3🤷1😡1
👍3🤷♂1👎1
UPDATE YOUR HTTP CUSTOM
NEW VERSION AVAILABLE!
https://play.google.com/store/apps/details?id=xyz.easypro.httpcustom

👍2👎1
Jinsi ya kunondokana Permanent Ban
Kwanza tumia Whatsapp official toka soko la play
store alafu ukimaliza Sasa inabidi ufanye mambo
yafuatayo ili kuwa salama👇
Kama umepigwa Whatsapp Permanent Ban fanya hivi
chukua hii email ya support@whatsapp.com
Kisha fungua email yako usitumie email hii👇
support@smb.whatsapp.com haifanyi kazi
utakesha.
Fungua email yako kisha andika kuwa unajua
umekosa kuwa uliweza kufanya jambo ambalo
ukutegemea kama utafungiwa akaunti yako kisha
tumia hii email kuwatumia changamoto yako
support@whatsapp.com
Baada ya saa 4 mpaka 24hrs pia unaweza kupelekwa
ata siku mbili tatu kuweza kufunguliwa akaunti yako
hakikisha unaweka na namba ya simu ambayo
imefungiwa kutumia Whatsapp.
Jitahidi kutumia official Whatsapp ni salama kwako
kuliko Gb Whatsapp?? Vipi wewe ukipigwa banned
unafanya kitu Gani tuachie maoni yako?
@luhovero26code

👍2😡2❤1
MR POWER AIRTEL 🇹🇿.v2
2.7 KB
🤷♀1👍1
MR POWER AIRTEL🇹🇿.hc
31.8 KB
👍4🤷♂1👎1
MR POWER TIGO🇹🇿.hc
14.2 KB
👎4👍2😡2