POWER VPN UNLIMITED
1.36K subscribers
309 photos
7 videos
536 files
466 links
KAZI HIENDELEEE KARIBU TUJIFUNZE PAMOJA NA MR POWER VPN UNLIMITED
Download Telegram
VPN Mpya Ya Tigo Natoa Kwanza Maelekezo Link Ya Kwenda Kupakua Ntaweka Chini Hapo Baada Ya Maelekezo

Ukishapakua Hii VPN Utaingia Ndani Utaweka Tiki Hapo Nilipoweka Mie

Alafu Utabonyeza Ilo Neno Hapo

SHOW AD GET FREE UDP ACC

Ukishabonyeza Itatokea Ads Utaangalia Baada Ya Kuisha Utatoka VPN Itakurudisha Mwanzo Hapo Hapo

Sasa Connect Na Uinjoi

Ina Nguvu Sana Mpaka TikTok Inasukuma

Alafu Unlimited Sasa

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.zi.zivpn
👍16🤷‍♀5🤝21🤷1
*Umeshawahi kutumia intaneti kwa mfumo wa Bluetooth kupitia simu yako ? Najua wengi tunatumia simu kwenye mambo mengi tu ila wengi hatujui tunaweza share intaneti kwa kutumia Bluetooth?*

Watu wengi tunatumia njia ya hotspot kuweza ku share intaneti kwenye vifaa vingine lakini sio lazima unaweza tumia Bluetooth kuweza kushare intaneti kwenye kifaa kingine kama vile simu , kompyuta pamoja na tablet.

Kwenye simu zetu Kuna kitu kinaitwa Bluetooth tethering, ni njia moja wapo ya kutumia mfumo wa wireless kuweza kusambaza upendo wa intaneti kwenye vifaa vingine kupitia Bluetooth.

Tusema una bando Kuna mtu anahitaji kushare na wewe kidogo sio lazima uwashe hotspot unaweza tumia tu Bluetooth kuweza kushare intaneti na wengine.

Wala uhitaji password kuweza kuunganisha kwenye ivyo vifaa unafanyaje ku share intaneti kwa kutumia Bluetooth kupitia simu yako 👇
• ingia setting kwenye simu yako
• Kisha hotspot & tethering
• utagusa kwenye Bluetooth tethering
• hakikisha data Iko Kisha kwenye simu nyingine inahitajika kupata intaneti awashe tu Bluetooth ikishakua connected anaweza tumia intaneti bila password

Pia unaweza tumia njia hii kuunganisha na kompyuta yako kuweza kushare intaneti kwenye kompyuta kama upendi watu uwatajie password ya hotspot yako.

Umeshawahi kutumia hii njia au ndo unasikia Leo tuachie maoni yako ?*

#bluetooth sony Ericsson
*Mr-power 💙 Tips*
👍111
India try this with airtel
1
MR POWER AIRTEL 💙.npv4
4.1 KB
Android Napsternetv

ISP:Airtel

Status: 300MB

Time: Any Time

Vpn: Naspernet

☛ Join Link ╮

╭ 𝘾𝙝𝙖𝙣𝙣𝙚𝙡 @luhovero26code

╰ 𝙂𝙧𝙤𝙪𝙥 @Powervpn26
MR POWER AIRTEL 💙.v2
2.6 KB
Android E_v2ray

ISP:Airtel

Status: 300MB

Time: Any Time

Vpn: E_v2ray

☛ Join Link ╮

╭ 𝘾𝙝𝙖𝙣𝙣𝙚𝙡 @luhovero26code

╰ 𝙂𝙧𝙤𝙪𝙥 @Powervpn26
👍31
MR POWER AIRTEL 💙.hc
34.4 KB
Android Http custom

ISP:Airtel

Status: 300MB

Time: Any Time

Vpn: Http custom

☛ Join Link ╮

╭ 𝘾𝙝𝙖𝙣𝙣𝙚𝙡 @luhovero26code

╰ 𝙂𝙧𝙤𝙪𝙥 @Powervpn26
👍1
👍3👎1
MR POWER TIGO 💙.hc
13.8 KB
POWER VPN UNLIMITED

💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙


https://t.me/luhovero26code

💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙

   💙 TELEGRAM CHANNEL💙
👍4
To sub for the Mtn mpulse data
*344*2*1*4#
👍2👎1
Nifanye Nini simu yangu ikitokea imetumbukia kwenye maji ? Na nimeitoa !

Wengi  wanatumia vitu kama mchele, sijui chumvi lakini sio suluhisho Leo nakuambia Nini ufanye ikitokea simu imetumbukia kwenye maji ya chumvi au chooni, kwenye mtaro nk

1️⃣ Zima simu yako
Ukiona simu yako imetumbukia kwenye maji mara Moja baada ya kuitoa tafadhari izime wala usitumie hakikisha unaizima.

2️⃣ Ondoa kava
Kama kuna kava lolote umeliweka kwenye simu Ondoa , kma mfuniko unatoka kiurahisi tafadhari toa mfuniko wa betri lako toa. Pia  skrini protector toa. Alafu futa kwa kitambaa kikavu au shati lako ukimaliza isamamishe kwa dakika kadhaa.

3️⃣ Puliva sehemu za wazi
Usiweke pin kwenye port zako Yani ukatumbukiza pin kwenye sehemu ya Earphones au port ya chaji hapana hakikisha unapuliza sehemu hizo za port au tumia fan au Ac yako kuondoa unyevunyevu uliopo kwenye port ya Earphones, Port ya chaji na speaker.

4️⃣ Ondoa line yako
Ondoa line iliyopo ndani ya simu yako Kisha safisha sehemu ya kuweka line usipige pige wewe tumia mdomo wako au fani kuondoa maji maji yaliyopo ndani ya sehemu ya kuweka line.

5️⃣ Subiri simu yako ikauke
Tafuta sehemu yenye hewa safi iweke simu  ikauke, tafadhari usiweke kwenye kabati au ndani ya mkoba wako au kwenye mchele utaua simu. Weka eneo la dirisha lako sehemu ambayo ni wazi kabisa.

𝐔𝐬𝐢𝐣𝐚𝐥𝐢𝐛𝐮 kuweka simu yako kwenye jua tafadhari weka Eneo la kivuli itakua salama sana. Weka sehemu ya kivuli tumia kitambaa kikavu kizito zito kiweke.

𝐉𝐢𝐡𝐚𝐝𝐡𝐚𝐫𝐢 𝐍𝐚 𝐡𝐮𝐮 𝐔𝐨𝐧𝐠𝐨👇
Je nikiweka kwenye mchele?! Usiweke simu  kwenye mchele baada ya kuingia maji kwa kuwa utanyonya maji !!

Hapana akuna ukweli wa Namna hii mchele hauwezi kukausha kifaa chako maji weka  tu sehemu iliyowazi ili kuwa salama.

Akuna simu inayoweza kukaa kwenye maji muda mrefu ikapona jihadhari simu kuna limit ya kukaa kwenye maji Yani nusu saa au one hour na isizidi meter 1 mpaka mbili.

*Simu yako ikingia maji unafanya jambo gani tuachie maoni yako ??*

#MR_POWER
👍5👎1
14DAYS
EXPIRE:28-6-2023
👇👇👇
MR POWER AIRTEL💜.npv4
4.3 KB
POWER VPN UNLIMITED

💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜

https://t.me/luhovero26code

💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜

   💜TELEGRAM CHANNEL💜
👍41
MR POWER AIRTEL 💜.hc
32.7 KB
POWER VPN UNLIMITED

💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜

https://t.me/luhovero26code

💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜

   💜TELEGRAM CHANNEL💜
👍3🤷1😡1
MR POWER AIRTEL 💜.v2
2.8 KB
POWER VPN UNLIMITED

💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜

https://t.me/luhovero26code

💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜

   💜TELEGRAM CHANNEL💜
👍4👎1
CHECK SPEED💜💜💜
Anonymous Quiz
77%
💜💜💜💜
23%
💔💔💔💔
👍3🤷‍♂1👎1
👍2👎1
HTTP Custom - AIO Tunnel VPN_4.7.22_Apkpure.xapk
60.6 MB
New version http custom 🔥🔥🔥
👍5🤷4