Fransisco Magnetics- Mentorship
887 subscribers
485 photos
4 videos
1 file
46 links
Download Telegram
Hello !

Nakukaribisha kudownload app yangu ambayo nitakua nikitoa updates za soko.

Watu 20 watakaowahi kudownload leo na kunitumia screenshot ya hii app watapata offer ya kujiunga na premium kwa Tsh 50000/= kwa miezi miwili.

Karibuni, Ahsante!
You are invited to download our new App Fransisco G. Magnetics for both iPhone and Android from https://fransiscogmagnetics.appv.biz
Kwa wale ambao wanashindwa kulog in kwa kushindwa kupata verifications, Hii ni tatizo ambalo lipo kwenye namba za mtandao wa Tigo kwa sasa. Kama una alternative namba unaweza kutumia hio ili uwe unapata updates kama member. Tayari asubuhi hii updates zimeanza kuwekwa.
Leo Saa Saba mchana tutakua na live webnar trading kupitia Zoom online meeting.


Jiandae.
Merry Christmas friends, and members of the #ForexMoneyIndustry community, may you be full of love, health and peace, may your families be well with peace and health every day!
Tunaamini mwaka 2020 umeshajiwekea malengo au upo unaandaa malengo, Kama #FxMoneyIndustry pia tumejipanga kuhakikisha tunakusogeza sehemu fulani kimaarifa na hata kipato. Katika boxing day ya leo tunatoa offer ya punguzo ya asilimia 50% katika huduma zetu zote tunazotoa mpaka tarehe 31 disemba 2019. 🎁
.........
.........
Lakini kikubwa ni kwa wale ambao watataka kujifunza kuanzia basic kabisa. Kuanzia tarehe 6 January 2020, Huduma za training zitaanza kwa gharama ya $150 tu. Ila kupitia hii BOXING DAYS SALES, unaweza kulipia Tsh 100,000/= tu. Watu 15 wa kwanza watakaolipia mapema kuanzia leo baada ya mafunzo kukamilika, watapata Mentorship ya miezi 4 pamoja na kuwekewa capital ya $100 kwenye akaunti zao. πŸ’°
........
........
Karibu uanze safari yako ya kujikwamua kiuchumi mwaka 2020 na #ForexMoneyIndustry.

#Discipline #Experienced
Thank you for being blessing follower, we appreciate your presence and decision of following us. On This New Year we are wishing you Nothing but blessings on your hustle and everything you are fighting for.

Happy New Year πŸŽŠπŸŽˆπŸŽ†
Tunakukaribisha kutazama uchambuzi wa kwanza kabisa ndani ya mwaka 2020. Usisahau kulike, kuacha mawazo na mchango wako kwenye coment na kusubscribe ili usipitwe na video nyingine ambazo tutaendelea kuziweka.


https://youtu.be/2UyysgFqQyo
Hakuna kitu cha msingi katika jambo lolote kama kujitambua binafsi, kujua unataka nini ili uweze kutambua kama biashara au jambo unalotaka kufanya litaendana na wewe. Mabadiliko ni lazima sababu kama tabia au mazingira uliyopo hayaendani na kitu unachokihitaji kuna haja ya kubadilisha. Kwenye hii biashara jipime kupitia maswali/mtihani huu ambao nimekuandalia kwa mfumo wa e-book , kabla haujafanya trade yako ya kwanza kwa mwaka 2020.

#2020AddValue
Ukiwa ndani ya huduma yetu ya Premium, Unapata acces ya kupokea uchambuzi kama huu wenye maelezo yakinifu yatakayokusaidia kukuza maarifa katika biashara hii huku ukipata signal zinazoambatana na Stop loss pamoja na Take profit, updates za kila siku kuhusu trade tulizoingia kama kuendelea kuhold au kusecure kulingana na hali ya soko ilivyo, ili kukuza kipato chako pia. Tunapenda kukukaribisha kuanza na sisi mwaka huu pamoja ili kupata ladha ya mabadiliko katika safari yako ya hii biashara.
#2020AddValue
Fuatilia majadiliano tuliyofanya na mmoja ya member walio kwenye premium group, Juu ya matumizi ya Fibonacci tool na namna ambavyo mazoezi ya mara kwa mara yatakusaidia kukupa ujasiri wa kuamini uchambuzi na maamuzi yako sokoni.


https://youtu.be/KfJzkigRImI
#ForexMoneyIndustry tumeingia partnership rasmi na #FxPesa. Kwa wale watu 500 wa kwanza ambao watajisajili kwa kutumia link hii hapa chini kuna offer kubwa tofauti tofauti.

https://www.myfxpesa.com/Redirect?linkID=0013228

Ukishajisajili, Wasiliana na mimi WhatsApp +254743207120 kujua offer yako.

#2020AddValue
Forwarded from FOREX MONEY INDUSTRY
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tumia video hii kuangalia namna ya kujisajili kiurahisi kwa kutumia simu.
Hello Everyone πŸ‘‹

Ifikapo saa 7 mchna tutakuwa na live trading webnar kupitia application ya ZOOM ONLINE MEETING. Andaa pair ambazo utapenda tujadili kwa pamoja katika webnar hii.

Asubuhi njema 😊