Kanuni Za kuzifuata
Ili Ukitrade News *BROKER* Asikunyime withdrawal
1.Fungua account week kadhaa kabla ya week ya News
2.Deposit na uanze Kutrade kwa mwendelezo ili kutengenza history na broker sio unakuja siku ya news na kuondoka
3.Siku Ya News ikifika Usitengeneze pesa nyingi Sana kwa Mtaji mdogo at least mausozidi mala Tano ya capital mfano deposit 100 kisha Tengeneza 500$
Ukizidi hapo Kuna mawili upewe pesa yako au broker akunyime uishie kujisifia tu
4.Baada Ya kupiga profit Usitoe sababu broker ataona kama umekuja kuchukua pesa na kuondoka . chakufanya acha kama week Moja au mbili huku ukiendelea Kutrade Taratibu Kisha Anza withdrawal kidogo kidogo sio Zote kwa pamoja
Nakufundisha haya kwa experience ya 3 years
Broker wengi sana wamenifungia Account na kuninyima withdrawal sababu nilikuwa sielewi mambo
*Note*
Broker wote duniani wanachukia ukimake profit Asikudanganye mtu ata siku moja
Na pesa iliko kwa broker kama haijaingia mpesa au mikononi mwako sio yako maana kesho unaweza ukaamka ukakuta wamekufungia account

Kama Unatrade week ni Vyema unajua haya kwanza
Lasivyo italipa maumivu yake
Miezi miwili iliyopita, soko lilikuwa na hofu. Fed ilikuwa ikizungumzia kuongeza viwango vya riba. Maafisa watatu wa Feds walipiga kura kuunga mkono ongezeko hilo. Kila mtu aliamini kuwa viwango vya juu vya riba vilikuwa vinakuja.
Kwa hiyo, Gold ililisell hadi kushuka karibu $4,000, wakati Dollar ilipanda hadi $1.02.
Lakini mwezi huu,Kila kitu kilibadilika.
Tarehe 7 Agosti, ripoti ya ajira za Marekani ilitoka. Makadirio yalikuwa ajira 85,000, lakini matokeo yakaja negative 23,000 tu—upungufu wa zaidi ya ajira 100,000 dhidi ya matarajio.
Uchumi haukuwa tu unakua taratibu. Ulikuwa unapoteza ajira.
Na kupotea kwa ajira kulimaanisha Fed haikuwa tena na sababu kubwa ya kuongeza viwango vya riba.
Ghafla, simulizi lote la soko likabadilika.
Uwezekano wa soko kutarajia kushuka kwa viwango vya riba ulitoka karibu 82% hadi 30%, na kila mtu akaanza kuingia upande huo.
Gold ikapanda 5% ndani ya wiki moja, kurudi karibu $4,600.
Dollar ikaanza kushuka.
Halafu wiki iliyopita, Treasury ikaongeza mara mbili ununuzi wake wa bonds za muda mrefu, wakati huo huo deni la Marekani likivuka $40 trillion.
Kila mtu akaonekana kuwa upande mmoja wa boti.
Na hapo ndipo tulipo sasa.
Jumatano — saa 3:30 alasiri kwa muda wa Tanzania
PCE ndiyo itakuwa kwenye macho ya wengi.
Makadirio ni 0.2%, wakati mwezi uliopita ilikuwa 0.1%.
Lakini Ijumaa ndiyo siku ambayo kila mtu anaifuatilia.
Saa 5:00 Jioni — Kevin Watts atazungumza Jackson Hall. Hii itakuwa hotuba yake ya kwanza kabisa kama Mwenyekiti wa Fed.
Na hii ndiyo siku ambayo inaweza kuamua nani alikuwa sahihi.
Kuna scenarios tatu:
1. Hasemi kitu kipya.
69% ya fund managers wanatarajia scenario hii.
Kutakuwa na movement ndogo kwenye market, halafu kila kitu kitatulia.
Kwa sababu kila mtu tayari alikuwa sahihi.
2. Anasema inflation bado iko juu sana.
Hapa kila mtu atakuwa amekosea kwa wakati mmoja.
Fedha zote zilizoingia kwenye Gold mwezi huu zitaanza kutoka kwa kasi.
Gold itashuka.
Nasdaq itashuka.
Dollar itapanda.
Hii ndiyo siku ambayo positions nyingi zinaweza kulazimika kufungwa.
3. Anasema yuko comfortable na kiwango cha inflation.
Ni 7% tu wanaotarajia scenario hii.
Gold ↑
Nasdaq ↑
Dollar ↓
Na simulizi la sasa litaendelea.
Lakini kuna kitu ambacho watu wengi watakikosa.
Gold haikupanda wiki iliyopita kwa sababu ya Fed pekee.
Ilipanda pia kwa sababu ya Treasury na deni la Marekani lililovuka $40 trillion.
Kwa hiyo, kama ataonekana kuwa na wasiwasi siku ya Ijumaa, Gold bado huenda isishuke kwa kiwango kikubwa kama wengi wanavyotarajia.
Unaweza kufikiri chart yako imeharibika...
Lakini haijaharibika.
Unatazama stories mbili tofauti ndani ya bei moja ya Gold.
Nitapost update nyingine kabla ya PCE siku ya Jumatano—kuhusu mabadiliko yanayotokea ndani ya wiki na kile ambacho tayari kimewekwa kwenye bei ya market.
Kama unatrade siku ya Jackson Hall, follow ili usiingie market ukiwa hujui kinachoendelea.