GOGU NA MAGOGU WALIKUWA NI AKINA NANI?
MAGOGU ni kijana wa pili kati ya Vijana saba wa jafethi aliyetajwa kwenye meza ya mataifa kwenye (Mwanzo 10:2).
Wakati asili ya jina hili haipo wazi, Inasemekana Kwamba jina hili lilimaanisha neno Lydia mahali ambapo kwa sasa ndio nchi ya Uturuki, matumizi yake kwenye kitabu cha Ezekiel ukurasa wa 38 yanaelekea kuhusiana na masuala ya uharibifu na mwisho wa dunia.
Kwani Jamii kadhaa za kale na tamaduni za Ulaya ya miaka ya kati ilijengwa na kumbukumbu za kibiblia na kuongezewa maandishi ndani yake.
Asili ya neno Magogu haipo wazi kama tulivyosema hapo awali ,inawezekana jina hili lilikuja kutoka kwa Akkadian Mat Gug, yaani ardhi ya Gogi ardhi ya Gyyes. Ndani ya Biblia neno Magogu mara kwa mara linahusianishwa na mambo ya uharibifu, fujo na hofu, hasahasa likiunganishwa na kitabu cha Ezekiel 38 na 39" Neno la bwana likanijia na kusema, mwanadamu kaza uso wako umwelekee Gogu wa nchi ya Magogu ,mkuu wa Roshi, Mesheki, na Tubali ,ukatabiri juu yake " (Ezekiel 38:2)
Kitabu cha (Ufunuo 20:8) tunasoma ,;kwamba naye shetani atatoka kuwadanganya mataifa walio Katika pembe nne za nchi , Gogu na Magogu kuwakusanya kwa vita ,ambao hesabu yao ni kama mchanga wa bahari. Hapo neno Gogu na Magogu limetumika kama moja lakini likitumika kama alama ya maadui wa Mwenyezi Mungu.
Joseph alilitumia neno Magogu kama ni mtoto wa jafethi kama baba wa watu wahamaji wazawa wa huko Scythia au watu wa kusini mwa bahari nyeusi, kulingana na yeye Wagiriki waliitwa Magogu wa Scythia, Pia katika Kitabu cha Ezekiel 38:2 ameorodhesha majina katika Mpangilio kama "Magogu ni mkuu wa Roshi, Mesheki, na Tubali, " hayo ni majina ya kikabila ,yanaliweka jina la Magogu katikati ya majina hayo.
Kulingana na Rabbi Shlomo Ganzfried (Karne ya 19) kuhusu neno Magogu aliimanisha ni watu wa Mongolia ,alikumbusha juu ya raia mwarabu mwandishi aliyeandika juu ya ukuta mkubwa wa nchini China na kulitumia jina Magogu.
Jordanes Getica ,(ukurasa wa 55) alimtaja Magogu kama mtu wa kale wa nchi ya Goths, kama alivyofanya mwanahistoria Brittonum,Lakini Isidore, wa huko Seville (ukurasa wa 635) anasisitiza kwamba, mfanano wao ulikuwa maarufu kwasababu ya mlingano wa herufi ya mwisho (Etymologine,IX UK 89)
Johannes Magnus (UK wa 1488---1544) anasema, Magogu walihamia huko Scandinavia kupitia Finland, miaka 88 baada ya Mafuriko na kwamba watoto wake watano walikuwa ni Suenno,(mtu wa kale toka Sweden) Gethar( au Gogu, mtu wa kale huko Goths), Ubbo( ambaye baadae alitawala Sweden na kujenga ,Old Uppsala ya kale) Thor na pia Ujerumani.
Magnus alipotoa maelezo yake yalikuja kukubaliwa kwenye Mahakama ya nchini Sweden, kwa muda mrefu na kuja kusababisha mpangilio wa namba wa familia za watawala kuanza kupangwa upya kwa kufuata namba, Malkia Christina wa Sweden akajipangia kuwa yeye ni namba 249 kwenye Orodha ya wafalme wanaorudi Magogu.
Magnus pia aliwashawishi wanahistoria kadhaa wa kale baadae, kama vile Daniel Justenius (UK. Wa 1676--1752) ambaye alipokea mizizi ya wa--Finland kutoka kwa Magogu. Kulingana na wanahistoria wa Ireland ya miaka ya kati kale wengi wa Taifa la Ireland ni wazaliwa kutoka kwa watu wazamani akina Jafethi ambaye ni mtoto wa Magogu kutoka Scythia. Baath Mac Magog ,Jobhath na Fathochta ni Vijana watatu wa Magogu, Fenius Farsaid, Partholon, Nemed, Tuatha de Danana, na Milesians ni kati ya watangulizi wa Magogu.
Magogu pia ana mjukuu aliyeitwa Heber, ambaye watoto wake walitapakaa huko Mediterrania yote, pia kuna simulizi huko Hungary miaka ya kati kale inayoeleza kwamba kabila la Huns, na lile la Magyars ni mababu kutoka kwa ndugu mapacha walioitwa, Hunor na Magogu, walioishi Bahari ya Azov miaka hiyo baada ya Mafuriko ,na walijichukulia kutoka kwa Alans katika Toleo la historia hii ya karne ya 14.Pia Chronicon Pictum, anamlinganisha huyu Magor na Magogu kama mtoto wa Jafethi.
Neno Magogu pia limejitokeza Kwenye Koran takatifu na vyanzo vingine vya kiislamu likihusianishwa na fujo, na uharibifu, kwa kiarabu linatajwa kama (Ya 'juj wa Ma'juj) kwenye sura Al--Kahf ( The cave "18:83---89). Kwenye Koran,

karne ya saba baada ya kuzaliwa Nabii Issa kuna mtu aliitwa Dhul--Qarnayu( aliyekuwa na pembe mbili kwa moja kichwani). Alisafiri nchi ya mbali akipita kati ya milima miwili ambapo aliwakuta watu wakiteseka kutokana na usumbufu wa Gogu na Magogu ,Dhul--Qarnayu akajenga ukuta wa shaba na chuma ili kuwatoa nje hao Gogu na Magogu, lakini alionya kwamba ukuta huo utaondolewa miaka ya mwishoni mbele.
Kwenye sura 21,Al--Anbiya ( manabii ) ukuta umeorodheshwa tena, Pale ambapo Allah anamwambia nabii wake Muhammad ,kwamba, kuna zuio kati ya watu wa jiji ambao tuliwashambulia na kwamba watarudi wakati wowote ,mpaka bwawa la Gogu na Magogu litakapofunguliwa na tutawaona ,katika kila mlima wakishuka. Kulingana na tamaduni za kiislamu Gogu na Magogu ni binadamu na jiji lililoorodheshwa kwenye sura 21 ni Yerusalem.
Kwenye tamthilia ya Televisheni iitwayo; " Supernatural ,Magogu kaonekana kama ni shujaa akiwa na mtu mwingine aitwaye Gogu aliyepigana na wahusika waitwao, Castiel na Dean Winchester, Baada ya Dean Winchester kuwaua Gogu na Magogu ,wakajitokeza tena duniani wakiwa ni mijitu ya kale iliyoumbwa kwa mawe na mchanga ,aina ya viumbe ambao ,castiel aliamini walishapotea kipindi cha gharika ya Nuhu.
Pia kwenye season ya mwaka 1970 "Guards of Magog" kwenye nyimbo ya "Supper's Read" wakati mhusika mkuu msaidizi ,Gabble Ratchet, anaimba mubashara jukwaani, mwimbaji kiongozi Peter Gabriel, alivaa nguo kumwakilisha Magogu.
Pia katika tamthilia ya Televisheni "Andromeda" Magogu wanaonyeshwa kama kabila lenye chuki la kigeni linaloishambulia dunia na kupunguza watu ,Magogu wanaoonyeshwa wakizaliana kwa kutaga mayai kwenye makazi ya binadamu.
NAOMBA SUPPORT YAKO KWA KUANGALIA NA KUSUBSCRIBE CHANNEL YANGU YA YOUTUBE
https://youtu.be/K9uswBHDows

YouTube
HATUA NNE KABLA YA UJIO WA UTAWALA MPYA WA DUNIA
Written by BENJAMIN LAYTONE
MSIMULIAJI:ISAC DICKSON
Follow us on
https://www.instagram.com/chakushangaza_
https://www.facebook.com/chakushangazamedia
https://www.telegram.com/chakushangaza
#thestorybook #chakushangaza #benlaysh #benlayshFacts #chakushangazastory

Story ipi ifuate!?
Anonymous Poll
33%
Fallen angels
18%
Men in black
15%
Pablo escobar
18%
Bermuda triengle
16%
Titanic
PART 1; FALLEN ANGEL ( Malaika walio tupwa toka Mbingu)
Fallen angel hawa ni wale malaika waliotupwa , toka mbingu, baada ya kwenda kinyume na Mungu..katika historia ya hawa Fallen angel, baadhi ya Vitabu vinasema walikuwepo 200, na baadhi vina sema ni zaidi ya 200.
Majina ya fallen angel, yametokana na historia, fulani kutoka kila tamaduni na sheria mbali mbali za miaka mingi iliyo pita.
Haya majina ya fallen angel ,yame orozeshwa kulingana na mtiririko wa elufi, maana na matumizi ya kila tamaduni kwa wakati huo, ikiwemo Babylonian, Assyria na Egypty, pamoja na dini kama Jewish, christian and Muslim kwa sheria.
Katika tofauti, malaika wazuri wote majina yao mwishoni yanaishia na el, ambayo ina maana God(Mungu) au Yah , yenye maana ya (Lord). Matumizi ya el, katika tamaduni ya Angelic, hii imekuwa ikimaanisha, Malaika wa Mungu, hivyo hata baadhi ya fallen angel nao wanaingia katika maana hiyo.
Fallen angel, wametajwa kwenye vitabu vingi vya ya Uumbaji, Kama Bibilia, book of jubelee, the rost paradise, na haswa katika kitabu cha Enoch(Book of enoch), ambacho hichi ndio msingi mkuu wa Fallen angle kutoka katika ethiopian orthodox church na Qumran the book of giant.
Katika Vitabu kama bibilia ,(Ufunuo 12;7-10, Isaya 14; 4-7) imeelezea hawa fallen angel, walitupwa mbinguni baada ya kupigana vita na kushindwa na Archangel Michael, baada ya kwenda kinyume na Mungu wao wakiongozwa na Lucifer, ndipo walipo tupwa duniani.
Orotha ya Fallen angel na maana ya kila mmoja na kazi zake.
AZAZEL; maana yake ni "God strength"(nguvu ya Mungu), huyu ni moja kati ya malaika ambao, walikuja duniani kisha waka watamani wanawake na kufanya nao mapenzi, ambao hujulikana kama "sons of God" (wana wa mungu) katika bibilia agano la kale mwanzo 6:2-4, pia ametajwa sana katika kitabu cha Book of enoch, na kazi za huyu malaika hapa dunian baada ya kutupwa, huyu ndie anae ufundisha ulimwengu, katika kutengeneza vitu katika high technology, mfano...ujenzi wa ndege, meli, internet system, magorofa, computer, vifaa vya vita n.k , kwa ujumla huyu ndie anae husika katika kumfundisha binadamu , Teknolojia. ✨✨ITAENDELEA✨✨✨
Karibu YouTube

PART 2; FALLEN ANGEL(Malaika waliotupwa toka mbingu)
Orodha ya malaika walio tupwa toka mbingu , baada ya kumuasi Mungu.
SAMYAZA/SHEMYAZA; Maana yake ni "The reader of sons of God"( Kiongozi wa wana wa Mungu) huyu ni kiongozi na ni mmoja katika kundi lile la malaika ambao walimuasi mungu, kwa kuwatamani wana wake ,huyu ndie alie washauri wenzake Azael,Azazel,na wengine wafanye kitendo hicho.mwanzo (6;1-4), katika bibilia, ambapo walisababisha wanawake hao kuzaa viumbe vikubwa(wanefili). Katika kitabu cha Enoch, kimeeleza msingi wa kuhusu huyu shemyaza( Enoch 6;3-5, 10:9,10;11-12). Ambapo kimeeleza baada ya semyaza na wenzake kufanya uchafu huo,Mungu alimtuma archangel Gabriel, aka halibu kizazi cha wale wanefili, baada ya kusababisha wapigane wao kwa wao, kisha tena Mungu akamtuma archangel Mikael ,aende aka mkandamize na kumtupa Semyaza huko mlimani na kumwambia ata fungiwa huko mpaka siku ya hukumu itakapo fika.
LUCIFER/SATAN/IBILIS(shetani);Neno lucifer, ni neno la kigiriki ,lenye maana ya nyota ya asubuhi/sayari ya venus.
Katika historia ya tamaduni mbali mbali, mfano katika vitabu kama book of enoch, kimemtaja lucifer kama ni malaika aliye muasi Mungu, kitambo sana, kabla ya kizazi cha enoch, na badhi ya dini kama jewish, wao wame muelezea lucifer kama ni moja ya malaika ambao Mungu alipenda sana uumbaji wake na alimuumba katika uwezo wakipekee na Mungu alimpa mamlaka kama malaika mkuu, lakini baada ya kupewa hicho cheo, lucifer alijifananisha na Mungu, hivyo alitaka kumpindua , ndipo Mungu alipo mtupa.
Katika uislamu, huyu anajulikana kama ibilisi, japo katika uislamu , wao wanasema huyu hakuwa malaika , bali nijini ambae ali ishi mbinguni pamoja na malaika wa Mungu, na huyu katika uislamu , alitupwa na Mungu, baada ya kukataa kumuabudu binadamu yani Adamu na hawa.
Katika, ukristo, wao wanasema Lucifer alikuwa malaika wa Mungu, lakini baada ya kuasi na kutupwa , ndipo alipo badilika na kuitwa Satan/shetani, na huyu ndio alio ongoza vita Minguni baina ya malaika walio asi na malaika wa Mungu, ndipo walipo tupwa baada ya kushindwa vita na Archangel mikaeli(ufunuo 12;7-10)
Katika damaduni ya luciferism;
wao wana mtaja lucifer kam ✨ITAENDELEA✨
Karibu YOUTUBE

PART 3; FALLEN ANGELS(malaika walio tupwa kutoka Mbingu)
Orodha ya malaika waliotupwa kutoka mbingu, baada ya kumuasi Mungu.
LUCIFER/SATAN/IBILIS(shetani). Katika tamaduni ya Ruciferism, ambayo inahusisha dini kama Satanism, freemason, paganism and babylonian, wao wamemuelezea lucifer kama ni mungu, wa mwangaza(bear light) na sio devil(shetani), wana amini huyu ndie anae leta , mapinduzi kutoka kwa devil god..,enzi za mnala wa babeli (mfalme nimrod) , huyu alikuwa anaheshimiwa kama babylonian king.
Katika satanic bible,ya antony levey,huyu ametajwa kama ni mungu mwanga ambae anasimamia roho zote dunian.
Sasa, katika kazi za huyu apa duniani, huyu ana aminika kama fallen angel mwenye madhara sana katika wakati huu wasasa.
Kwanza kabisa huyu, yeye hakatai uwepo wa mungu, lakini huyu ndio anae husika katika kulaghai watu kupitia mgongo wa Mungu, huyu ndie anae wadanganya watu, kwa kuwafananisha na Mungu.
mfano, katika kipindi cha mnala wa babeli ,huyu ndie alie mdanganya Nimrod kuwa anauwezo kama wamungu, hivyo kumfanya nimrod ajenge ule mnala ili wamfikie mungu na kumuona.
Hapa duniani, huyu anamiliki dini nyingi sana, kupitia mgongo wa Mungu..Huyu ndie anae husika na manabii wa uwongo, ambao wanawadanganya watu kupitia mgongo wa Mungu, mfano kwa kutumia Neno la Mungu, lakini nyuma ya pazia wapo katika mlengwa wa huyo
Huyu ana walaghai watu, kwanza kwa kuwaaminisha Uwepo waMungu, kisha akisha waaminisha Uwepo wa Mungu, ndipo anapo wadanganya sasa, kua nao wanauwezo kama wa Mungu.
Mfano; katika dini(imani) zote za lucifer kama satan, freemason, paganism..ukitaka kujiunga, ili ukubaliwe lazima kwanza uwe na imani ya uwepo wa mungu, kwa maana ya kwamba lucifer hachukui mtu ambae hajitambui, kwasababu akimchukua huyo atakuwa hana hatia mbele za Mungu, lucifer sikuzote anamfuata mtu ambae anajitambua ili kusudi awe na hatia Mbele za Mungu..hata wachawi wanamfuata huyo, lakini hawa kosi kwenda sehemu za kuabudu.
Na huyu ndie fallen angel mwenye wafuasi wengi mpaka sasa apa duniani. ✨✨ITAENDELEA✨✨
KARIBU YOUTUBE support yako MUHIMU KWANGU

Kipi ni kiungo kikubwa kuliko vyote katika mwili wa binadamu!?
Anonymous Poll
33%
Moyo
22%
Ubongo
38%
Ngozi
7%
Ini
Chakushangaza
Kipi ni kiungo kikubwa kuliko vyote katika mwili wa binadamu!?
Kiungo kikubwa kuliko vyote katika mwili wa binadamu ni ngozi na kazi kubwa ya ngozi ni kukinga viungo mbalimbali vya mwili na vimelea/vijidudu vya magonjwa
Chakushangaza
Je kuna tofauti kati ya neno flamable na inflammable
Flammable na inflammable maneno yote hayo yanamaana moja yakimaanisha kitu chenye uwezo wa kushika moto kwa haraka
PART 5; FALLEN ANGEL(Malaika alie tupwa toka mbingu)
Orodha ya Malaika walio tupwa toka Mbingu baada ya Kuasi.
SORATH;Kama nilivyo ongelea kuhusu huyu fallen angel soroth, marufu kama 666.
Mambo yote mabaya yanayo fanyika hapa saizi Dunian ni kwa ajiri ya kumuandaa huyu 666, Tunapo ongelea Illuminat na mpango wao wa New Word order (NWO)/ utawala mmoja wa dunia ni kwamba tunamuongelea huyu.
Kuna baadhi ya tamaduni , wao wana amini huyu Sorath, na lucifer ni mmtu mmoja , pia kunavitabu kama bibilia , agano jipya kime tofautisha kati ya lucifer na 666.
Katika bibilia , imeeleza kama lucifer ndio mwenye nguvu zaidi, lakini punde atakapo kuja huyu sorath(666) lucifer na fallen angel wote wanye nguvu wata mkabithi nguvu zote huyu na kumfanya aketi katika kiti cha enzi cha mashetani , kilichokuwa kina kaliwa na lucifer.
Nukuu, katika bibilia, Ufunuo 13(1-18), inasema " Kisha nikaona mnyama akitoka katika bahari, mwenye pembe kumi, na vichwa saba, na juu ya pembe zake ana vilemba kumi,na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru. Nayule mnyama nilie muona alikuwa mfano wa chui na miguu yake ilikuwa kama miguu ya dubu,na kinywa chake kama kinywa cha simba .Yule joka akampa nguvu zake na kiti chake cha enzi na uwezo mwingi"
katika hiyo nukuu kutoka katika bibilia , tuna ona joka ambae ni lucifer/shetani, baada ya kuja 666 atampa nguvu zake na kitichake cha enzi naye atakuwa na uwezo mwingi.
Hiyo ni orodha fupi ya Fallen angel, ni meandika wale ambao wana madhara makubwa kwa sasa apa duniani , japo wapo wengi sana kama miambili hivi.
mfano, Naberius(huyu ni demon), amy(huyu anajulikana kama rais wa jehanamu/president of hell), Apollyon(huyu ni fallen angel wa kifo , maarufu kama Grim reaper/mkusanya roho za watu), lilith(huyu ni fallen angel kuna baadhi ya tamaduni zina sema huyu alikuwa mke wa kwanza wa adamu) n.k. ✨✨MWISHO✨✨

https://t.me/chakushangazagroup
Kwa kinachoendelea humu unaweza toa maoni yako katika group letu huku🙏🙏🙏

Telegram
Chakushangaza
Discussion | Ushauri | Kusaidiana | Mijadala ya ▶ maisha ▶ Mapenzi ▶ Changamoto za maisha | Hapa story mwanzo mwisho