Chakushangaza
4.64K subscribers
4.95K photos
168 videos
36 files
956 links
Njootukujuze tukushangaze tukuelimishe tuulishe ubongo wako madini

CHANNEL ILIANZISHWA RASMI MNAMO 11/06/2019
Download Telegram
#CHAKUSHANGAZA
Men whistle as a lady passes by, 1959...... She seems happy though 👀

Channel name @chakushangaza
Link t.me/chakushangaza


SAMBAZA MARA NYINGI UWEZAVYO
#CHAKUSHANGAZA
ALL LUCKY DUBE's SONGS

1.Lucky Dube - Remember Me
2.Lucky Dube - Prisoner
3.Lucky Dube - Slave
4.Lucky Dube - It's Not Easy
5.Lucky Dube - I've Got You Baby
6.Lucky Dube - Mama
7.Lucky Dube - House of Exile
8.Lucky Dube - Together As One
9.Lucky Dube - Back to My Roots
10.Lucky Dube - The Way It Is
11.Lucky Dube - Victims
12.Lucky Dube - Reggae Strong
13.Lucky Dube - Hold On
14.Lucky Dube - Crazy World
15.Lucky Dube - Different Colours / One People
16.Lucky Dube - How Will I Know
17.Lucky Dube - Don't Cry
18.Lucky Dube - Love Me (The Way I Am)
19.Lucky Dube - I Want To Know What Love Is
20.Lucky Dube - Release Me
21.Lucky Dube - God Bless the Women
22.Lucky Dube - Oh My Son (I'm Sorry)
23.Lucky Dube - Kiss No Frog
24.Lucky Dube - Romeo
25.Lucky Dube - Truth In The World
26.Lucky Dube - You Stand Alone
27.Lucky Dube - War And Crime
28.Lucky Dube - Ding Ding Licky Licky Licky Bong
29.Lucky Dube - Feel Irie
30.Lucky Dube - Guns & Roses
31.Lucky Dube - The One
32.Lucky Dube - Good Girl
33.Lucky Dube - The Hand That Giveth
34.Lucky Dube - Fugitive
35.Lucky Dube - I've Got Jah
36.Lucky Dube - The Other Side
37.Lucky Dube - Respect
38.Lucky Dube - Teach the World
39.Lucky Dube - Good Things
40.Lucky Dube - Born to Suffer
41.Lucky Dube - Can't Blame You
42.Lucky Dube - My Brother, My Enemy
43.Lucky Dube - Affirmative Action
44.Lucky Dube - Jah Live
45.Lucky Dube - Usizi
46.Lucky Dube - Group Areas Act
47.Lucky Dube - Celebrate Life
48.Lucky Dube - Changing World
49.Lucky Dube - Is This the Way
50.Lucky Dube - Mirror Mirror
51.Lucky Dube - Peace, Perfect Peace
52.Lucky Dube - Rasta Man's Prayer
53.Lucky Dube - Rastas Never Dies
54.Lucky Dube - Reap What You Sow
55.Lucky Dube - Shembe Is The Way
56.Lucky Dube - Steel Bars
57.Lucky Dube - Till You Lose It All
58.Lucky Dube - You've Got a Friend
59.Lucky Dube - Crime and Corruption
60.Lucky Dube - False Prophets
61.Lucky Dube - Running, Falling
62.Lucky Dube - Taxman
Channel name @chakushangaza
Link t.me/chakushangaza


SAMBAZA MARA NYINGI UWEZAVYO
#CHAKUSHANGAZA
Taarifa ya mtandao wa Daily Mail wa Uingereza ya February 4, 2012 ilimuandika mwanaume Craig Lewis raia wa Texas US aliyekuwa na umri wa miaka 55 kuwa alikuwa anaishi bila moyo.

Mwezi March 2011 Craig alikuwa amebakiza muda mchache tuu kufariki kutokana na matatizo ya moyo, lakini madaktari wawili Dr Billy Cohn na Dr Bud Frazier katika hospitali ya moyo mjini humo waliamua kumpa maisha zaidi

Madaktari hao waliamua kumtengenezea kifaa maalumu kilichounganiswa katika mwili wake na kufanya kazi ya kusukuma damu kama moyo.

Walichokifanya ni kumfanyia upasuaji Craig, wakauchomoa moyo wake, mirija yake wakaiunganisha kwenye kifaa hicho, baada ya kazi hiyo ya siku moja hatimae mgonjwa aliamka na kuongea vizuri tuu na madaktari.

Kabla ya hapo walikuwa wakijaribu kifaa hiki kwa kukiunganisha kwa wanyama ambako kilikuwa kinafanya kazi ya moyo vizuri pamoja na kuratibu matendo kama kawaida kama vile kulala, kula na kutembea, hatimaye sasa kilikuwa kinafanya kazi kwa binadaku ambaye alitolewa kabisa moyo.

Licha ya madaktari kusema kuwa kifaa hicho kitamsaidia Craig kuishi zaidi kwa masaa 12 pekee lakini aliendelea kuishi kwa wiki tano mbele, napo alifariki kwa tatizo tofauti kabisa na hilo. Katazame picha zaidi telegram, link kwenye bio.

Channel name @chakushangaza
Link t.me/chakushangaza


SAMBAZA MARA NYINGI UWEZAVYO
#CHAKUSHANGAZA
Mwaka 2016 Julio Macias Gonzalez (17) Raia wa Mexico Alifariki Baada ya Kupigwa Love Bite na Mpenzi Wake. Madaktari Walisema Kitendo Hicho Kilipelekea Damu Kusafiri Hadi Kwenye Ubongo. Mwaaka 2010 Mwanamke wa Miaka 44 Kutoka New Zealand Alifariki Kwasababu Hii Pia.


Channel name @chakushangaza
Link t.me/chakushangaza


SAMBAZA MARA NYINGI UWEZAVYO
Do your best to SHARE the link of the group to reach as many as possible

Mjitahidi KUSHARE link ya group tuwafikie wengi
#CHAKUSHANGAZA
Uchunguzi wa bahari ambao mwanadamu ameweza kuufanya mpaka sasa ni wa kiwango kidogo sana kulingana na ukubwa wote wa bahari zilizopo duniani .

Mpaka sasa ni asilimia chache sana za bahari ndizo zimeweza kuchunguzwa na kupatikana kwa ramani zake .

Umbali mrefu zaidi ambao umewahi kufikiwa na mwanadamu chini ya bahari ni kiasi cha futi 35,853 kusini mwa Mariana Trench katika bahari ya Pacific .

Moja ya changamoto kubwa ambayo imetokea juu ya uchunguzwaji wa bahari ni uwepo wa mgandamizo mkubwa sana ambao unapatikana kwa kadri unavyoweza kwenda chini zaidi baharini .

Changamoto nyengine ambayo imerekodiwa na wanasayansi wakati wakifanya moja ya chunguzi zao baharini ni uwepo wa hali mbaya ya mazingira inayopelekea macho ya mwanadamu kutokuweza kuona chochote kile .

Changamoto nyengineyo ni uwepo wa hali ya baridi kali zaidi ambalo linahitaji vifaa zaidi kuweza kumruhusu mwanadamu kumudu .

Ni rahisi sana kufanya uchunguzi wa anga za mbali kwakuwa mazingira yanaruhusu kwa mwanadamu kuweza kwenda mbali zaidi kama tu ataunda chombo kitakachoweza kumfikisha

Wanasayansi wanasema kuwa kadri chombo kinavyozidi kuelekea juu angani mgandamizo wa hewa hupungua sana na kupelekea chombo kupata mazingira rahisi ya kusafiri tofauti na kama utaamua kupeleka chombo chini ya bahari ambapo mgandamizo wa hewa huzidi kuwa kubwa zaidi hivyo hupelekea mazingira ya mwenendo wa chombo kuwa magumu zaidi .



Channel name @chakushangaza
Link t.me/chakushangaza


SAMBAZA MARA NYINGI UWEZAVYO
#CHAKUSHANGAZA
Hizi ni baadhi ya kumbi za dansi na starehe miaka ya 80s na mwanzoni mwa miaka ya 90s jijini Dar
1.Wapi wapi's - Chang'ombe
2. Mundo bar - Temeke
3. Dimax bar - Tandika
4. Mango bar - Tandika
5. Jambo Inn- Mwananyamala
6. CCM kata 14 -Temeke
7. Stereo bar - Temeke
8. African stereo Temeke
9. Ruvuma mpaka Maputo- Airport
10. Magereza- Ukonga
11. Field force - Ukonga
12. Super Fanaka - Buguruni
13. Kigongo bar - Buguruni
14. Y2K - Buguruni
15. Rozana - Buguruni
16. Flamingo bar - Kigamboni
17. Highway- Kurasini
18. Kwetu bar- Mbagala
19. Equator bar - Mtoni
20. DDC - Kariakoo
21. DDC - Keko
22. DDC - Magomeni Kondoa
23. DDC Mlimani park
24. Mpakani bar-
25. Silent Inn- Mwenge
26. Lufungira- Mwenge
27. White house- Kimara
28. Safari resort- Kimara
29. Riverside- Ubongo
30. Urafiki social hall- Ubungo
31. Uzuri bar - Tandale
32. Midizini bar- Manzese
33. Jitulize bar - Keko
34. Semeni bar Keko
35. Omax bar - Keko
36. Lusaka by night- Keko
37. Polisi ufundi- Kilwa road
38. Polisi barracks- Mgulani
39. JKT - Mgulani
40. Mkirikiti bar- Msasani
41. Vijana social hall - Mwananyamala
42. Mango garden - Mwananyamala
43. Friends corner- Manzese
44. Makutano bar - Mabibo
45. Chogeza Inn Mabibo
47. MCA - Mabibo
48. Motomto bar Mburahati
49. Uhemeri bar - Luhanga
50. First Inn- Kigogo
51. Lengo la jijini- - Magomeni
52. Randa bar - Kigogo
53. Lumpopo hall - Fire/Upanga
54. Amana social hall- Ilala
55. Railway club - Gerezani
56. Harbours club - Kurasini
57. Wami bar - Mwananyamala
58. African stereo - Kinondoni
59. Manyanya- Kinondoni
60. Lang'ata- Kinondoni
61. Miembeni bar - Ilala Bungoni
62. Super Min - Temeke
63. Musoma bar - Temeke
64. Super Rose - Temeke
65. Tumaini bar - Kiwalani

Channel name @chakushangaza
Link t.me/chakushangaza


SAMBAZA MARA NYINGI UWEZAVYO
#CHAKUSHANGAZA
Mwonekano wa simu za Pixel 9 zimevuja, na tetesi zinaonyesha Google itaweka design mpya ambayo itakuwa na kingo ambazo ni flat.

Simu za Pixel 9 zitakuwa na design mpya pembeni ya simu, pembeni zitakuwa ni flat (kingo zake zitakuwa ni butu) hivyo zitakuwa zinafanana na iPhone.

Samsung pia ilianza kuweka design hii katika simu za Galaxy S24 na hii ni style ambayo ilianza kuzoeleka sana katika iPhone 5 na Apple ilirudi kuendelea kutumia style hiyo kuanzia iPhone 12 na mpaka sasa inatumia style hiyo katika iPhone 15.

Xiaomi pia inatumia style hii.

Nini kinachoendelea duniani? kampuni kubwa za kutengeneza simu zinahamia katika hii design. Inaonekana ni design ambayo inapendwa sana na watumiaji wengi.

Pia kamera bump (cyclops-visor) za Pixel 9 zitakuwa na kingo flat zaidi ya mwanzo. Ili kufanana na kingo za pembeni ya simu.


Cc: swahili tek
_______________
#SimuMpya #GooglePixel

Channel name @chakushangaza
Link t.me/chakushangaza


SAMBAZA MARA NYINGI UWEZAVYO
I am receiving comments and advice today about our channel.
What should be improved?
What should be added?
What should be changed?


Napokea maoni na ushauri leo kuhusu hii channel yetu
Nini kiboreshwe?
Nini kiongezwe?
Nini kibadilishwe?


Bila kusahau weekend offer ipo kwa vitabu vyote njoo ununue kitabu admin apate pesa ya bando ya kuendesha channel
Karibuni
@benlash