𝗚𝗧𝗔 𝟲 𝗶𝗻𝗮𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱
Kampuni ya Rockstar imeachia trailer la game mpya ya Grand theft Auto Sehemu ya 6 Leo jumanne ikiwa na muhusika mkuu ni Mwanamke.
Game hii tofauti na matoleo ya zamani ambayo yalikua yanachukua nafasi kubwa Toka Jiji la Los Angeles na New York City lakini kwenye Gta 6 Sehemu kubwa imechukuliwa kwenye Jiji la Leonida , Miami na Florida.
Kama kweli wew ni shabiki wa Gta Vice city utakumbuka jinsi ilivyokuwa Miami Miaka ya 2002 , sasa Iko kwenye Jiji la jirani na Miami ambapo ni Leonida na Sehemu nyingi Duniani mtaweza kuziona mpaka Tanzania ikiwemo 😊.
Game hii inatarajiwa kuachiwa mwaka 2025 tunatarajia kuiona mwishoni mwaka 2024 kuelekea 2025.
Sogeza picha kuangalia trailer lake ila watoto wadogo hawaruhusiwi kucheza 😮
Usisahau kutembelea channel Yetu ya Whatsapp 👇
https://whatsapp.com/channel/0029VaCz0qk5kg773qoesy3R

❤2👍2
𝗠𝗲𝘀𝘀𝗮𝗴𝗲 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗶𝗹𝗶𝘁𝘂𝗺𝘄𝗮 𝗠𝗶𝗮𝗸𝗮 𝟯𝟭 𝗶𝗹𝗶𝘆𝗼𝗽𝗶𝘁𝗮
Imepita zaidi ya Miaka 31 tangu message ya kwanza kutumwa duniani kupitia simu mpaka kufikia Leo hii Kuna zaidi ya message trilioni zimetumwa ulimwenguni kupitia simu.
Turudi Nyuma mpaka mwaka 1992 kampuni ya Vodafone ndo ilikua kampuni ya kwanza kuruhusu watu kuweza kurushiana message kwa Kila mmoja wao.
Maneno ya mwanzo kutumwa yalikua Toka kwenye simu ya mkononi Ya Orbitel 901 japo kuwa ilichukua mda mpaka message kumfikia mlengwa kupata taarifa
Ujumbe huo ulikua "Merry Christmas" Miaka hiyo ya 1992 hakukuwa na emoji au reactions yoyote ilikua message tu imetumwa ya kawaida lakini sasa maendeleo ya teknolijia imepelekea utumaji wa message uko kwa namna tofauti tofauti.
Mpaka kufikia mwaka 2002 kulikua na jumla ya message bilioni 250 zimetumwa ulimwenguni na ilipofika mwaka 2008 wamarekani ndo wakaletq mfumo wa kulipia wakati mtu anatuma message kupitia simu.
👍5❤1🤬1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Jamani 😁 kumbe Ile voice assistant ya Amazon Alexa imeundwa na mtanzania mdogo kabisa na hamjasema aisee
Unasemaje hapa tumepigwa au ??
Unasemaje hapa tumepigwa au ??
👍4❤2😁1
𝗚𝗧𝗔 𝟲 𝘆𝗮 𝗺𝗽𝗶𝗿𝗮 𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝗯𝗶𝗸𝗶 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘂𝗻𝗱𝗮 𝘄𝗮𝗵𝘂𝘀𝗶𝗸𝗮 𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶
Baada ya siku kadhaa kutoka kwa trailer la game mpya ya Gta 6 ambayo itaachiwa mwaka 2025, mashabiki nao wapenzi wa mpira wameunda Gta 6 la mpira 😃.
Magwiji mbalimbali wa soka ulimwenguni kama vile Messi, Cristiano Ronaldo, Neymar,salah, Bellingham, Mbappe na wengineyo wamechapishwa Kama wahusika wa GTA 6 na kufikia kutolewa mpaka trailer lake.
Messi ameonyeshwa akiwa mtu ambaye yuko kwenye jiji la Miami wakati mchezaji wa Al Nasser Cristiano Ronaldo akiwa kwenye vazi la aveators akiwa amevaa medali za Retro.
Bellingham akiwa na muoneokano wa kijana wa hovyo (kiuni) , wakati salah akiwa tajiri flani hivi 💰 nk.
👍5
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
𝗦𝗮𝘀𝗮 𝘂𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗺𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗺𝘁𝘂 𝘃𝗼𝗶𝗰𝗲 𝗮𝘀𝗶𝗸𝗶𝗹𝗶𝘇𝗲 𝗺𝗮𝗿𝗮 𝗠𝗼𝗷𝗮 𝘁𝘂
Tukirudi mwaka 2021 Whatsapp waliweza kutambulisha feature ya mtu kuangalia mara moja picha na videos ambayo mtu amekutumia kwenye huo mtandao wa Whatsapp.
Lakini sasa Whatsapp wameongezea feature nyingine ya kuweza kutuma voice message inayowezwa kusikilizwa mara Moja tu.
Whatsapp wamesema lengo ni kuongeza usalama wa watu wanapokuwa wanatumia mtandao wa Whatsapp dhidi ya taarifa zao kuvujishwa hovyo.
Kwaiyo kupitia view once voice message mtu ataweza kusikiliza mara Moja voice utakayotumia kwenye Whatsapp haitawezekana kuji save kwenye simu yake akitaka kuichukua.
Hakikisha umefanya update ya Whatsapp 😉.

👍9❤5
Jishindie milioni Moja
Hivi unajua Unaweza kujishindia milioni moja toka Kampuni ya Infinix hii ni Bure kabisa kama unahitaji kushindana kucheza game kupitia simu basi hii sio ya kukosa
Soma🚀 zaidi 👇
https://www.instagram.com/p/C0pM-8PrLRP/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ==
👍10❤7