assengaonline.com_πŸ‡ΉπŸ‡Ώ For all Updates Tanznaia
5.05K subscribers
526 photos
20 videos
226 files
6.84K links
I blog about Jobs and Education
Buy ads: https://telega.io/c/assengaonline1

Pata Taarifa mbali mbali za
● ELIMU
● Scholarships
● Internships
● Volunteering
● Job

For other more visit
www.assengaonline.com
Download Telegram
Mahojiano ya Mwandishi na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam

Mwandishi: Lakini ndugu Chalamila mafuriko haya tunayoyazungumzia yameathiri karibu wilaya zote, tangu mbagala hadi mbezi, mbweni, tegeta na kila eneo la jiji la Dar es salaam limekumbwa na mafuriko, ko wote hawa wamejenga kwenye mito?

Chalamila: Mpaka muda huu navoongea mimi na wewe, ata mimi usingenipata kama mafuriko hayo yameweza kuleta mafuriko makubwa katika mkoa wa Dar es salaam, ningekuwa nimesomwa na maji nimekufa, narudia kusema, maji yameadhiri nyumba zilizoko kando kando ya mito.

Mwandishi: Tumeona vile vile miundo mbinu ya serikali imeondolewa na maji, madaraja na barabara umetaja mwanzo, nyie pie mlijenga miundo mbinu iyo kwenye njia za mito?

Sikiliza Jibu la Chalamila kwenye coment apo alivojibuπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://youtu.be/zgqhW6IFyAM
Ngoja tuone watu wanavoingia chaka
NAFASI ZA KAZI HOTEL YA JOHARI ROTANA

Wanahitajika WAHUDUMU WA CHAKULA NA VINYWAJI

Apply HapaπŸ‘‡πŸ‘‡
https://assengaonline.com/2024/01/29/food-beverage-host-hostess-at-johari-rotana/