assengaonline.com_πŸ‡ΉπŸ‡Ώ For all Updates Tanznaia
5.07K subscribers
526 photos
20 videos
226 files
6.84K links
I blog about Jobs and Education
Buy ads: https://telega.io/c/assengaonline1

Pata Taarifa mbali mbali za
● ELIMU
● Scholarships
● Internships
● Volunteering
● Job

For other more visit
www.assengaonline.com
Download Telegram
#MICHEZO, ENGLAND PREMIER LEAGUE, MSIMAMO WA LIGI KUU YA ENGALND

⚽️Mashabikiwa ARSENAL wanasema Kileleni kuna baridi kaliiiii
⚽️Cheki hapa msiamamo wa ligi baada ya CHELSEA kupokeo kipigo cha magoli 3 kutoka kwa LEADS UNITED leo

Bofya hapa kucheki msiamo
https://assengaonline.com/2022/08/21/msimamo-ligi-kuu-england-2022/
πŸ‡ΉπŸ‡ΏTUNAKUMBUSHIA, MAFUNZO YA BURE YA UJUZI NA UJASIRIAMALI KATIKA SHIRIKA LA KIBAHA EDUCATION CENTRE

✳️Shirika la Elimu Kibaha limepata Ruzuku kutoka mfuko wa kuendeleza Ujuzi kupitia mamlaka ya elimu tanzania (TEA) ambayo itatoa nafasi za Bure kwa mafunzo ya Ujuzi na Ujasiriamali kwa njia ya Mtandao
✳️MWISHO WA KUTUMA MAOMBI: 22/08/2022
✳️Wanawake Wanahimizwa Kuomba

Bofya Hapa Kufahamu zaidi Jinsi ya Kutuma MaombiπŸ‘‡πŸ‘‡
https://assengaonline.com/2022/08/17/kibaha-education-centre/
πŸ‡ΉπŸ‡ΏSENSA 2022: HAYAWI HAYAWI HATIMAE SIKU YA SENSA IMEWADIA, NBS ORODHA YA MASWALI YATAKAYOULIZWA KWENYE SENSA KESHO

✳️NBS wametoa Muongozo wa Maswli yatakayoulizwa kwenye sensa na dhumuni la maswali hayo

Bofya Hapa kucheki πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://assengaonline.com/2022/08/22/maswali-ya-sensa-2022/
πŸŽ“TCU LIVE UPDATES, WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU KWA MWAKA WA MASOMO 2022/23

✳️Round ya Kwanza ya majina waliochaguliwa kujiunga na vyuo Vikuu Tanzania
✳️Orodha ya Vyuo vyote Vilivyotoa Majina.
✳️Jinsi ya Kuconfirm Chuo kimoja kama umechaguliwa chuo zaidi ya kimoja (Multiple selected)

Bofya Hapa kucheki Taarifa za TCU Selection 2022πŸ‘‡
https://assengaonline.com/2022/08/22/tcu-selected-applicants-2022-23/
πŸŽ“TCU LIVE UPDATES, WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU KWA MWAKA WA MASOMO 2022/23

✳️Round ya Kwanza ya majina waliochaguliwa kujiunga na vyuo Vikuu Tanzania
✳️Orodha ya Vyuo vyote Vilivyotoa Majina.

Bofya Hapa kucheki waliochaguliwa vyuo vyote πŸ‘‡
https://assengaonline.com/2022/08/22/tcu-selected-applicants-2022-23/


✳️Wanafunzi waliochaguliwa zaidi ya Chuo kimoja bofya japa πŸ‘‡πŸ‘‡
https://assengaonline.com/2022/08/22/tcu-multiple-selected-applicants-2022/

SHARE NA WANAFUNZI WENGINE
Makarani wa SENSA mshapasi nguo lakini??

Tujiandae kuhesabiwa kesho