Hamas yawapongeza mabalozi wa zamani wa Ufaransa na Uingereza wanaotaka Israel iwekewe vikwazo
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imepongeza muungano wa wanadiplomasia zaidi ya 100 wa zamani wa Ufaransa na Uingereza wanaozitaka serikali za nchi zao kushirikiana kulinda sheria za kimataifa katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina. Mabalozi hao pia wametaka Israel iwekewe vikwazo.
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140902-hamas_yawapongeza_mabalozi_wa_zamani_wa_ufaransa_na_uingereza_wanaotaka_israel_iwekewe_vikwazo

Rais wa zamani wa Kongo, Joseph Kabila, apinga vikwazo vya US mahakamani
Katika kesi iliyofanyika mahakamani huko Washington, Joseph Kabila ambaye aliongoza Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuanzia 2001 hadi 2019 ametaka jina lake liondolewe kwenye orodha nyeusi ya Wizara ya Fedha ya Marekani.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140900-rais_wa_zamani_wa_kongo_joseph_kabila_apinga_vikwazo_vya_us_mahakamani

Mwisho wa satwa ya Marekani: Asia Magharibi Katika Ukingo wa Mfumo Mpya
Katika uchambuzi wake wa hivi karibuni, jarida la Foreign Affairs linataja vita dhidi ya Iran kama hatua muhimu inayoharakisha kuporomoka kwa mfumo wa kikanda unaoongozwa na Marekani na kudhihiri taratibu mabadiliko yanayoweza kubadili mitazamo na mikakati ya kiusalama ya mataifa ya Asia Magharibi katika miaka ijayo.
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140898-mwisho_wa_satwa_ya_marekani_asia_magharibi_katika_ukingo_wa_mfumo_mpya

Radio Tehran (SW)
ya
PGSA: Iran itazuilia na kutwaa meli zinazokiuka sheria za Lango-Bahari la Hormuz
Mamlaka ya Lango-Bahari la Ghuba ya Uajemi (PGSA), ambayo ni chombo cha udhibiti cha Iran cha Lango-Bahari la Hormuz, imetangaza kwamba meli zinazokiuka itifaki za Iran za njia hiyo ya majini ya kimkakati zitakabiliwa na vikwazo kwenye njia za baadaye, ikiwa ni pamoja na faini, kuzuiliwa, au kutwaliwa.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140918-pgsa_iran_itazuilia_na_kutwaa_meli_zinazokiuka_sheria_za_lango_bahari_la_hormuz

Utafiti: Kampuni ya Uingereza ilisafirisha Waafrika kama watumwa hadi Guyana baada ya kukomeshwa
Gazeti la The Guardian limefichua kuwa, kampuni ya kibiashara ya Uingereza iliendelea kusafirisha Waafrika kama watumwa kwenda Guyana, miaka kadhaa baada ya kukomeshwa utumwa katika sehemu kubwa ya makoloni ya Uingereza.
https://parstoday.ir/sw/news/world-i140916-utafiti_kampuni_ya_uingereza_ilisafirisha_waafrika_kama_watumwa_hadi_guyana_baada_ya_kukomeshwa

Kamanda Qaani: Palestina ni fikra iliyo hai na isiyobadilika
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema: "Suala la kukomboa Palestina, kuanzia baharini hadi mtoni, (ardhi ya Palestina kuanzia Bahari ya Mediterania hadi Mto Jordan) liko hai zaidi na linawezekana kutimizwa sasa kuliko hapo awali."
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140914-kamanda_qaani_palestina_ni_fikra_iliyo_hai_na_isiyobadilika

Waziri wa ulinzi aliyetimuliwa Ukraine: Ufisadi mkubwa unazuia kuhitishwa vita
Waziri wa ulinzi aliyefukuzwa kazi wa Ukraine amekosoa kiwango cha ufisadi nchini humo, akisema kwamba ufisadi uliokita mizizi unazuia kukomeshwa vita na ujenzi mpya wa Ukraine.
https://parstoday.ir/sw/news/world-i140912-waziri_wa_ulinzi_aliyetimuliwa_ukraine_ufisadi_mkubwa_unazuia_kuhitishwa_vita

Mufti Mkuu wa Russia asifu juhudi za Iran za kuunganisha Umma wa Kiislamu
Mkuu wa Baraza la Mufti na Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu wa Russia amepongeza hatua za Tehran kuimarisha umoja wa Umma wa Kiislamu.
https://parstoday.ir/sw/news/world-i140910-mufti_mkuu_wa_russia_asifu_juhudi_za_iran_za_kuunganisha_umma_wa_kiislamu

Leo ni Jumatatu tarehe 11 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1448 Hijria sawa na 24 Agosti, 2026.
Siku kama ya leo miaka 155 iliyopita alizaliwa mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Allamah Agha Bozorge Tehrani.
https://parstoday.ir/sw/radio/programs-i140920-jumatatu_24_agosti_2026

Hakuna nchi inayopasa kutuhofia iwapo haiwasaidii wavamizi
Iran imesema kuwa nchi hazipaswi kuwa na wasiwasi wowote kuhusu Jamhuri ya Kiislamu, isipokuwa pale zinapozipatia pande zinazotekeleza vitendo vya uhalifu na uvamizi vituo, miundombinu au zana ili kutekeleza mashambulizi dhidi yake.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140932-hakuna_nchi_inayopasa_kutuhofia_iwapo_haiwasaidii_wavamizi

Iran ndiyo nguvu mpya ya kikanda, si Marekani au 'Israel': The Atlantic
Mtaalamu maarufu wa masuala ya kimikakati wa kihafidhina wa Marekani amesema kwamba vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran vimekuwa na matokeo kinyume na matarajio, na vimeshindwa kuilazimisha Tehran kusalimu amri, na badala yake vimeimarisha ushawishi wa Iran wa kikanda, vikifichua mipaka ya nguvu za kijeshi za Marekani na kugeuza Lango-Bahari la Hormuz kuwa chanzo kikuu cha ushawishi wa Jamhuri ya Kiislamu.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140930-iran_ndiyo_nguvu_mpya_ya_kikanda_si_marekani_au_'israel'_the_atlantic

Serikali ya Kenya: Haturuhusu ICC kuchunguza visa vya mashambulizi ya “wahuni”
Serikali ya Kenya imekataa wito wa upinzani na mashirika ya kiraia kwa Mahakama ya Kimataifa unaotaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) ichunguze ongezeko la ghasia za kisiasa nchini humo katia kipindi hiki cha kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2027.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140928-serikali_ya_kenya_haturuhusu_icc_kuchunguza_visa_vya_mashambulizi_ya_wahuni

Ripota Maalumu wa UN atoa wito wa kupelekwa haraka kikosi cha kimataifa cha kulinda Wapalestina Ukingo wa Magharibi na Gaza
Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu katika Maeneo Yanayokaliwa kwa ya Palestina, Francesca Albanese, ametoa wito wa kupelekwa haraka kikosi cha kimataifa cha kuwalinda Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Ukanda wa Gaza.
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140926-ripota_maalumu_wa_un_atoa_wito_wa_kupelekwa_haraka_kikosi_cha_kimataifa_cha_kulinda_wapalestina_ukingo_wa_magharibi_na_gaza

Watu wasiopungua 30 wamefariki dunia kufuatia kuporomoka rundo kubwa la taka huko Conakry, Guinea
Watu wasiopungua 30 wamefariki dunia baada ya rundo kubwa la taka kuporomoka katika dampo kubwa zaidi huko Conakry, nchini Guinea. Mkasa huo umetokea jana Jumapili katika dampo la taka la Dar Es Salaam nchini Guine Conakry baada ya mvua kubwa iliyonyesha usiku kucha kusababisha maporomoko ya udongo.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140924-watu_wasiopungua_30_wamefariki_dunia_kufuatia_kuporomoka_rundo_kubwa_la_taka_huko_conakry_guinea

TAHARIRI
Vita vya Kiuchumi vya Trump Dhidi ya Iran: Chombo Ambacho Hakifanyi Kazi Tena
Katika kujibu vitisho vipya vya Donald Trump dhidi ya Iran, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, "kung'ang'ania sera zilizofeli kutapelekea tu kushindwa zaidi na kuchochea chuki ya wananchi wa Iran dhidi ya watawala wa Marekani."
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140922-vita_vya_kiuchumi_vya_trump_dhidi_ya_iran_chombo_ambacho_hakifanyi_kazi_tena