Salehi-Amiri: Afrika Kusini ni lango la Iran kuingia katika soko la utalii barani Afrika
Waziri wa Urithi wa Utamaduni, Utalii na Kazi za Mikono wa Iran, Seyyed Reza Salehi-Amiri, amesema Afrika Kusini inaweza kuwa lango la Iran kuingia katika soko la utalii barani Afrika, akisisitiza umuhimu wa kubadilisha mazungumzo ya kisiasa na kidiplomasia kuwa ushirikiano wa kivitendo na wa kiuchumi.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140876-salehi_amiri_afrika_kusini_ni_lango_la_iran_kuingia_katika_soko_la_utalii_barani_afrika

Kaimu Waziri wa Ulinzi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitasalimu amri kwa kuwekewa mashinikizo
Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema, taifa hili limeishinda kimkakati Marekani na utawala wa Kizayuni kwa kutegemea uwezo wake wa ndani, na akasisitiza kwamba: Jamhuri ya Kiislamu haitasalimu amri katu kwa kuwekewa mashinikizo.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140894-kaimu_waziri_wa_ulinzi_jamhuri_ya_kiislamu_ya_iran_katu_haitasalimu_amri_kwa_kuwekewa_mashinikizo

Katibu Mkuu wa UN: Hatua kali zaidi zichukuliwe kukomesha ubaguzi kwa sababu ya dini
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi kukomesha vurugu na ubaguzi dhidi ya watu kwa sababu ya dini au imani yao, akionya kuwa mashambulizi dhidi ya jumuiya za kidini ni shambulio dhidi ya haki za binadamu na utu wa binadamu.
https://parstoday.ir/sw/news/world-i140892-katibu_mkuu_wa_un_hatua_kali_zaidi_zichukuliwe_kukomesha_ubaguzi_kwa_sababu_ya_dini

UNICEF: Mgogoro wa njaa kwa watoto Somalia wazidi kuwa mbaya baada ya kupunguzwa misaada
Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umeonya kuwa, utapiamlo unaotishia maisha miongoni mwa watoto nchini Somalia unaongezeka kwa kasi, huku zaidi ya vituo 200 vya afya na lishe vikilazimika kufungwa kutokana na kupunguzwa misaada ya kimataifa.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140890-unicef_mgogoro_wa_njaa_kwa_watoto_somalia_wazidi_kuwa_mbaya_baada_ya_kupunguzwa_misaada

Tunisia yaopoa miili ya wahamiaji wanne baada ya boti kuzama karibu na pwani ya nchi hiyo
Mamlaka za Tunisia imepata miili ya wahamiaji wanne wasio na vibali karibu na pwani ya Ben Guerdane, kusini-mashariki mwa nchi hiyo, baada ya boti iliyokuwa imebeba watu 15 kupinduka. Haya yameelezwa jana na Shirika la Kutetea Haki za Binadamu.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140888-tunisia_yaopoa_miili_ya_wahamiaji_wanne_baada_ya_boti_kuzama_karibu_na_pwani_ya_nchi_hiyo

Maafisa wa jeshi la Israel: Netanyahu anataka kushadidisha vita ili uchaguzi usifanyike
Maafisa waandamizi wa jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel wanamshuku waziri mkuu Benjamin Netanyahu kwamba anaweza akataka kushadidisha vita katika Ukanda wa Ghaza ili kujaribu kuvuruga au kuahirisha uchaguzi ujao wa bunge wa utawala huo ghasibu.
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140886-maafisa_wa_jeshi_la_israel_netanyahu_anataka_kushadidisha_vita_ili_uchaguzi_usifanyike

Vitisho Visivyo na Uzito vya Trump na Kudhoofika kwa Nguvu ya Marekani
Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine tena ametishia kuishambulia Oman kwa mabomu, nchi iliyo na nafasi muhimu katika mazungumzo yanayohusu Iran pamoja na masuala yanayohusiana na usafiri wa baharini katika Lango Bahari la Hormuz.
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140896-vitisho_visivyo_na_uzito_vya_trump_na_kudhoofika_kwa_nguvu_ya_marekani

Pezeshkian: Ulimwengu umeshangazwa na ustahimilivu wa Iran katika vita vya Marekani na Israel
Rais Masoud Pezeshkian amesema kuwa tathmini ya adui kwamba Iran itasambaratika kutokana na mashinikizo makubwa haikuwa sahihi kwa na kwamba mshikama na umoja wa taifa hili vimeishangaza dunia.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140908-pezeshkian_ulimwengu_umeshangazwa_na_ustahimilivu_wa_iran_katika_vita_vya_marekani_na_israel

Mkuu wa Usalama: Iran itaendelea kufunga Hormuz hadi Marekani itimize majukumu yake
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itafubaza mashinikizo ya kiuchumi ya Marekani ikiwa ni pamoja na kuzichukulia hatua nchi ambazo zinashiriki katika “vita vya kiuchumi” vya Marekani dhidi ya Iran.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140906-mkuu_wa_usalama_iran_itaendelea_kufunga_hormuz_hadi_marekani_itimize_majukumu_yake

Malik Agar: Chaguo letu ni suluhisho la kijeshi hadi mazingira ya mazungumzo yatakapotimizwa
Malik Agar, naibu mkuu wa Baraza Kuu la Utawala nchini Sudan, amesema kwamba chaguo la sasa ni suluhisho la kijeshi mpaka pale mazingira ya kufanyika mazungumzo yatakapotimizwa, akisisitiza kwamba Khartoum inalitaka kundi la Rapid Support Forces (RSF) kuondoka katika miji na maeneo ya makazi ya raia kabla ya mazungumzo yoyote kuanza.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140904-malik_agar_chaguo_letu_ni_suluhisho_la_kijeshi_hadi_mazingira_ya_mazungumzo_yatakapotimizwa

Hamas yawapongeza mabalozi wa zamani wa Ufaransa na Uingereza wanaotaka Israel iwekewe vikwazo
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imepongeza muungano wa wanadiplomasia zaidi ya 100 wa zamani wa Ufaransa na Uingereza wanaozitaka serikali za nchi zao kushirikiana kulinda sheria za kimataifa katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina. Mabalozi hao pia wametaka Israel iwekewe vikwazo.
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140902-hamas_yawapongeza_mabalozi_wa_zamani_wa_ufaransa_na_uingereza_wanaotaka_israel_iwekewe_vikwazo

Rais wa zamani wa Kongo, Joseph Kabila, apinga vikwazo vya US mahakamani
Katika kesi iliyofanyika mahakamani huko Washington, Joseph Kabila ambaye aliongoza Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuanzia 2001 hadi 2019 ametaka jina lake liondolewe kwenye orodha nyeusi ya Wizara ya Fedha ya Marekani.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140900-rais_wa_zamani_wa_kongo_joseph_kabila_apinga_vikwazo_vya_us_mahakamani

Mwisho wa satwa ya Marekani: Asia Magharibi Katika Ukingo wa Mfumo Mpya
Katika uchambuzi wake wa hivi karibuni, jarida la Foreign Affairs linataja vita dhidi ya Iran kama hatua muhimu inayoharakisha kuporomoka kwa mfumo wa kikanda unaoongozwa na Marekani na kudhihiri taratibu mabadiliko yanayoweza kubadili mitazamo na mikakati ya kiusalama ya mataifa ya Asia Magharibi katika miaka ijayo.
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140898-mwisho_wa_satwa_ya_marekani_asia_magharibi_katika_ukingo_wa_mfumo_mpya

Radio Tehran (SW)
ya
PGSA: Iran itazuilia na kutwaa meli zinazokiuka sheria za Lango-Bahari la Hormuz
Mamlaka ya Lango-Bahari la Ghuba ya Uajemi (PGSA), ambayo ni chombo cha udhibiti cha Iran cha Lango-Bahari la Hormuz, imetangaza kwamba meli zinazokiuka itifaki za Iran za njia hiyo ya majini ya kimkakati zitakabiliwa na vikwazo kwenye njia za baadaye, ikiwa ni pamoja na faini, kuzuiliwa, au kutwaliwa.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140918-pgsa_iran_itazuilia_na_kutwaa_meli_zinazokiuka_sheria_za_lango_bahari_la_hormuz

Utafiti: Kampuni ya Uingereza ilisafirisha Waafrika kama watumwa hadi Guyana baada ya kukomeshwa
Gazeti la The Guardian limefichua kuwa, kampuni ya kibiashara ya Uingereza iliendelea kusafirisha Waafrika kama watumwa kwenda Guyana, miaka kadhaa baada ya kukomeshwa utumwa katika sehemu kubwa ya makoloni ya Uingereza.
https://parstoday.ir/sw/news/world-i140916-utafiti_kampuni_ya_uingereza_ilisafirisha_waafrika_kama_watumwa_hadi_guyana_baada_ya_kukomeshwa

Kamanda Qaani: Palestina ni fikra iliyo hai na isiyobadilika
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema: "Suala la kukomboa Palestina, kuanzia baharini hadi mtoni, (ardhi ya Palestina kuanzia Bahari ya Mediterania hadi Mto Jordan) liko hai zaidi na linawezekana kutimizwa sasa kuliko hapo awali."
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140914-kamanda_qaani_palestina_ni_fikra_iliyo_hai_na_isiyobadilika

Waziri wa ulinzi aliyetimuliwa Ukraine: Ufisadi mkubwa unazuia kuhitishwa vita
Waziri wa ulinzi aliyefukuzwa kazi wa Ukraine amekosoa kiwango cha ufisadi nchini humo, akisema kwamba ufisadi uliokita mizizi unazuia kukomeshwa vita na ujenzi mpya wa Ukraine.
https://parstoday.ir/sw/news/world-i140912-waziri_wa_ulinzi_aliyetimuliwa_ukraine_ufisadi_mkubwa_unazuia_kuhitishwa_vita

Mufti Mkuu wa Russia asifu juhudi za Iran za kuunganisha Umma wa Kiislamu
Mkuu wa Baraza la Mufti na Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu wa Russia amepongeza hatua za Tehran kuimarisha umoja wa Umma wa Kiislamu.
https://parstoday.ir/sw/news/world-i140910-mufti_mkuu_wa_russia_asifu_juhudi_za_iran_za_kuunganisha_umma_wa_kiislamu

Leo ni Jumatatu tarehe 11 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1448 Hijria sawa na 24 Agosti, 2026.
Siku kama ya leo miaka 155 iliyopita alizaliwa mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Allamah Agha Bozorge Tehrani.
https://parstoday.ir/sw/radio/programs-i140920-jumatatu_24_agosti_2026