Kamanda wa majeshi ya Iran azionya nchi za Ghuba ya Uajemi kuhusu kulisaidia jeshi la Marekani
Mkuu wa Majeshi ya Iran amezionya nchi za kusini mwa Ghuba ya Uajemi kuhusu kulisaidia au kuliruhusu jeshi la Marekani kutumia ardhi za nchi hizo katika uchokozi wake dhidi ya Iran.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140800-kamanda_wa_majeshi_ya_iran_azionya_nchi_za_ghuba_ya_uajemi_kuhusu_kulisaidia_jeshi_la_marekani

Iran yawatimua wanadiplomasia wawili wa Ufaransa kutokana na mienendo yao haramu
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewatangaza wanadiplomasia wawili wa Ufaransa wanaofanya kazi katika Ubalozi wa Ufaransa mjini Tehran kuwa ni watu wasiostahili kutokana na shughuli zao zinazotambuliwa kuwa kinyume na sheria za kimataifa na Mkataba wa Vienna wa 1961 kuhusu Mahusiano ya Kidiplomasia.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140794-iran_yawatimua_wanadiplomasia_wawili_wa_ufaransa_kutokana_na_mienendo_yao_haramu

Gaza na Sudan zaongoza katika orodha ya maeneo hatari zaidi kwa watoa misaada ya kibinadamu
Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba mwaka 2025 ulishuhudia viwango vya juu vya ukatili dhidi ya wafanyakazi wa misaada ya kibinadamu, ambapo wafanyakazi 907 wa sekta hiyo wameuawa, kujeruhiwa au kutekwa nyara.
https://parstoday.ir/sw/news/world-i140798-gaza_na_sudan_zaongoza_katika_orodha_ya_maeneo_hatari_zaidi_kwa_watoa_misaada_ya_kibinadamu

Rais wa Zambia aahidi kukuza uchumi baada ya kushinda uchaguzi
Rais Hakainde Hichilema wa Zambia amesema kuwa atatumia muhula wake mpya kukuza uchumi wa nchi hiyo na kuandaa fursa zaidi kwa wananchi ili kupunguza gharama za maisha.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140796-rais_wa_zambia_aahidi_kukuza_uchumi_baada_ya_kushinda_uchaguzi

Mwanasheria Mkuu Kenya akosa kujibu iwapo waliotimuliwa afisini wanaweza kuwania urais au la
Mvutano wa kisheria kuhusu iwapo viongozi waliotimuliwa afisini kupitia Bunge wanaweza kugombea nyadhifa za kisiasa kabla ya kesi zao kukamilika bado utaendelea kutokota nchini Kenya.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140792-mwanasheria_mkuu_kenya_akosa_kujibu_iwapo_waliotimuliwa_afisini_wanaweza_kuwania_urais_au_la

WHO: Inawezekana kuitokomeza Ebola ndani ya miezi 3
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa bado kuna uwezekano wa kudhibiti mlipuko wa Ebola ambao unaenea kwa kasi inayopiku juhudi za kuuzuia, na ambao umekuwa mlipuko wa pili kwa ukubwa kuwahi kurekodiwa.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140790-who_inawezekana_kuitokomeza_ebola_ndani_ya_miezi_3

UCHAMBUZI WA KISIASA
Kwa nini Nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi Zimepoteza Imani na Marekani?
Hali ya kutoridhishwa na Marekani inazidi kuongezeka miongoni mwa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi.
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140788-kwa_nini_nchi_za_kiarabu_za_ghuba_ya_uajemi_zimepoteza_imani_na_marekani

IRGC: Vikizuka vita vipya, Iran itatumia silaha zinazosababisha uharibifu mkubwa zaidi
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa, kama vitazuka vita vipya litatumia silaha zinazosababisha uharibifu mkubwa zaidi na za kisasa zaidi kuliko zile zilizotumika katika vita vilivyopita.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140834-irgc_vikizuka_vita_vipya_iran_itatumia_silaha_zinazosababisha_uharibifu_mkubwa_zaidi

Ripoti: Vita vikishtadi, yamkini Iran ikavishambulia vituo vya Marekani barani Ulaya
Gazeti la Financial Times limeripoti kuwa Iran inafikiria kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya ikiwa Rais wa Marekani Donald Trump atashadidisha vita, wakati Tehran inazingatia pia machaguo ya kupanua wigo wa mzozo hadi nje ya Mashariki ya Kati.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140832-ripoti_vita_vikishtadi_yamkini_iran_ikavishambulia_vituo_vya_marekani_barani_ulaya

Upinzani Kenya wamtaka Mwendesha Mashtaka wa ICC achukue hatua dhidi ya Rais Ruto
Vyama vya upinzani nchini Kenya vimetoa wito kwa Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchukua hatua dhidi ya Rais wa nchi hiyo William Ruto, kufuatia ghasia za hivi karibuni za kisiasa zilizoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali ya nchi.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140828-upinzani_kenya_wamtaka_mwendesha_mashtaka_wa_icc_achukue_hatua_dhidi_ya_rais_ruto

Baada ya kukana kwa zaidi ya miaka 2, Israel yakiri kumuua mtoto wa Kipalestina Hind Rajab
Kwa mara ya kwanza, jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limekiri kuwa lilimuua Hind Rajab mtoto wa Kipalestina mwenye umri wa miaka mitano huko Ghaza, na hivyo kubatilisha makanusho yake ya hapo awali, na kutangaza kwamba limeshaagiza kufanyika uchunguzi wa kijinai kuhusiana na mauaji yake.
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140826-baada_ya_kukana_kwa_zaidi_ya_miaka_2_israel_yakiri_kumuua_mtoto_wa_kipalestina_hind_rajab

ICC yalaani na kupinga vikali vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya maafisa wake
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC, imelaani na kupinga vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Rais wa Mahakama hiyo, Jaji Tomoko Akane kutoka Japan, na Wakili Mwandamizi wa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka, Abdoulaye Seye kutoka Senegal.
https://parstoday.ir/sw/news/world-i140824-icc_yalaani_na_kupinga_vikali_vikwazo_vipya_vya_marekani_dhidi_ya_maafisa_wake

TAHARIRI
Namna shambulio la kijeshi dhidi ya Iran lilivyoikatisha tamaa Ulaya
Vita vinavyoendeshwa na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran si mgogoro wa kijeshi wa eneo dogo tu katika Asia Magharibi. Kufungwa Lango-Bahari la Hormuz na kuvurugika kimataifa usambazaji wa nishati kumetikisa uchumi wa dunia nzima, ambapo madhara yake yanaonekana wazi hadi katika kitovu cha Ulaya na Uingereza.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140822-namna_shambulio_la_kijeshi_dhidi_ya_iran_lilivyoikatisha_tamaa_ulaya

Meja Jenerali Safavi: Jina la Iran linapaswa kuwa jinamizi la daima kwa tawala vamizi
Mshauri Mkuu wa Kiongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Meja Jenerali Sayyed Yahya Rahim Safavi, amesema uzoefu wa Iran katika vita na makabiliano yake na Marekani na utawala wa Israel unaonesha umuhimu wa kuimarisha uwezo wa kiulinzi na kujenga nguvu ya kuzuia uchokozi.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140880-meja_jenerali_safavi_jina_la_iran_linapaswa_kuwa_jinamizi_la_daima_kwa_tawala_vamizi

Iran yalaani vikwazo vipya vya Marekani na kuvitaja kuwa hujuma dhidi ya mamlaka ya nchi
Iran imelaani vikali vikwazo vipya vya kiuchumi vilivyotangazwa na Marekani, ikisema hatua hiyo ni ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala nchi huru na jaribio la Washington la kujipa mamlaka juu ya mataifa mengine.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140878-iran_yalaani_vikwazo_vipya_vya_marekani_na_kuvitaja_kuwa_hujuma_dhidi_ya_mamlaka_ya_nchi

Rais Samia azindua mradi mkubwa utakaochangia nusu ya umeme unaozalishwa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Julius Nyerere, hatua inayofungua rasmi kuanza kwa kazi ya mojawapo ya miradi mikubwa zaidi ya miundombinu nchini humo na mradi mkubwa zaidi wa kuzalisha umeme unaofadhiliwa na serikali.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140882-rais_samia_azindua_mradi_mkubwa_utakaochangia_nusu_ya_umeme_unaozalishwa_tanzania

Salehi-Amiri: Afrika Kusini ni lango la Iran kuingia katika soko la utalii barani Afrika
Waziri wa Urithi wa Utamaduni, Utalii na Kazi za Mikono wa Iran, Seyyed Reza Salehi-Amiri, amesema Afrika Kusini inaweza kuwa lango la Iran kuingia katika soko la utalii barani Afrika, akisisitiza umuhimu wa kubadilisha mazungumzo ya kisiasa na kidiplomasia kuwa ushirikiano wa kivitendo na wa kiuchumi.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140876-salehi_amiri_afrika_kusini_ni_lango_la_iran_kuingia_katika_soko_la_utalii_barani_afrika

Kaimu Waziri wa Ulinzi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitasalimu amri kwa kuwekewa mashinikizo
Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema, taifa hili limeishinda kimkakati Marekani na utawala wa Kizayuni kwa kutegemea uwezo wake wa ndani, na akasisitiza kwamba: Jamhuri ya Kiislamu haitasalimu amri katu kwa kuwekewa mashinikizo.
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140894-kaimu_waziri_wa_ulinzi_jamhuri_ya_kiislamu_ya_iran_katu_haitasalimu_amri_kwa_kuwekewa_mashinikizo

Katibu Mkuu wa UN: Hatua kali zaidi zichukuliwe kukomesha ubaguzi kwa sababu ya dini
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi kukomesha vurugu na ubaguzi dhidi ya watu kwa sababu ya dini au imani yao, akionya kuwa mashambulizi dhidi ya jumuiya za kidini ni shambulio dhidi ya haki za binadamu na utu wa binadamu.
https://parstoday.ir/sw/news/world-i140892-katibu_mkuu_wa_un_hatua_kali_zaidi_zichukuliwe_kukomesha_ubaguzi_kwa_sababu_ya_dini

UNICEF: Mgogoro wa njaa kwa watoto Somalia wazidi kuwa mbaya baada ya kupunguzwa misaada
Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umeonya kuwa, utapiamlo unaotishia maisha miongoni mwa watoto nchini Somalia unaongezeka kwa kasi, huku zaidi ya vituo 200 vya afya na lishe vikilazimika kufungwa kutokana na kupunguzwa misaada ya kimataifa.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140890-unicef_mgogoro_wa_njaa_kwa_watoto_somalia_wazidi_kuwa_mbaya_baada_ya_kupunguzwa_misaada