AFYA YAKO LEO
2.5K subscribers
15.4K photos
6.55K videos
14 files
16.4K links
Download Telegram
Pandikizi: Moyo Wa Nguruwe Kwa Binadamu
Jaribio la pili la kupandikiza moyo wa nguruwe kwa binadamu limefanyika kwa ufanisi mkubwa. Jaribio hili lilihusisha binadamu wawili ambao kila mmoja aliwekewa moyo mpya wa nguruwe baada ya kufariki, huku wakiendelea kuwepo kwenye mashine maalumu za usaidizi wa kutunza uwezo wa moyo katika kusukuma damu. Jaribio hili lililodumu kwa siku tatu ni la pili [โ€ฆ]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Ushauri kutoka Sister... - The Aga Khan Hospital, Mwanza | By The Aga Khan Hospital, Mwanza | Ushauri kutoka Sister Neema, Muuguzi Mkuu katika Hospitali ya Aga Khan, Mwanza. Kwa taarifa zaidi piga 0686 364 540.

#agakhanhospitalmwanza...

The Aga Khan Hospital, Mwanza

views, 0 likes, 0 loves, 0 comments, 0 shares, Facebook Watch Videos from The Aga Khan Hospital, Mwanza: Ushauri kutoka Sister Neema, Muuguzi Mkuu katika Hospitali ya Aga Khan, Mwanza. Kwa taarifa...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Hii ndio tiba sahihi ya kuimarisha mishipa ya uume wako (mwanaume ngangari)
_____________________________________

KWA MATIBABU USHAURI UCHUNGUZI NA UTAFITI WASILIANA NA NAMBA
+255 718 726 265
Kwa kujua Mambo ya Afya Na Tiba Asili gusa link/kuinganishi kifuatacho
Whatโ€™sApp๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

https://wa.me/message/DHQ5LUNMEOCPL1

YouTube ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

https://youtube.com/channel/UC-bVmQFAQvhhZOkiV-SrgOA
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tiba Ya Maumivu Ya Tumbo Baada Ya Kutoa Mimba Fanya Mambo 3 Tu
#DrTobiasi#TibaYaMaumivuYaTumbo#BaadaYaKutoaMimba#Nini husababisha maumivu ya tumbo baada ya kutoa mimba?

Endapo maumivu ya tumbo yanadumu kwa zaidi ya wiki 2 baada ya kutoa mimba kwa dawa, siku zote humaanisha, kuendelea kwa ujauzito, mimba kutoka nusu na maambukizi ndani ya mfuko wa uzazi.
Ujauzito unaweza kuwa unaendelea kwa kwa sababu haujatoka, mimba imetungwa nje ya mfuko wa kizazi au kuwa na mimba zaidi ya moja. Endapo ujauzito unaendelea, yaani haujatoka vema, mara nyingi dalili zake huwa kuendelea kutoka kwa damu ukeni na maumivu ya tumbo zaidi ya siku 7 hadi 8. Ili kuweza kutibu mimba inayoendelea, inapaswa kufika hospitali ili kusafishwa kizazi.

Kubakia kwa mabaki ya Mimba iliyotoka nusu huambatana na dalili za maumivu ya tumbo na kutokwa na damu. mimba kutoka nusu kutokana na matumizi ya dawa ...
Tiba Fasta

Mazoezi husaidia utendaji mzuri wa mwili kutia ndani moyo hivyo kufanya msukumo mzuri wa damu mwili hasa kwenye viungo vya uzazi na kufanya mwanaume afanye tendo la ndoa kwa ufanisi.