AFYA YAKO LEO
2.5K subscribers
15.4K photos
6.53K videos
14 files
16.4K links
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

DAWA YA BAWASIRI mp4
Fahamu tiba ya Bawasiri bure kabisa na babu Haji,,,,huna haja ya kuhangaika,,,mjulishe na mwenzio inshallah...
Watu wa tiba asili wana โ€œvipimo vya kisasaโ€ vinavyopima maradhi yote.

Make hapo ngoja ncheke kwanza.
Bonge La Afya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Watu wa tiba asili wana โ€œvipimo vya kisasaโ€ vinavyopima maradhi yote.

Make hapo ngoja ncheke kwanza.
tweet
Bonge La Afya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
RT @FrankensteinJM: Kwahiyo daktari anamuona mgonjwa na kufanya vipimo hadi kugundua ugonjwa na kumuandikia dawa

Lakini nyie mnakubali diagnosis ya daktari na kuamini vipimo vya maabara..lakini kwenye dawa mnataka mtoe kwa ugonjwa mtu mwingine amediagnose??

Nauliza ili nielewe tu https://t.co/7mQdDSjL3N
@Dr_Mjemmas @FrankensteinJM Mfumo wa tiba una watu watatu muhimu

Daktari
Mtu wa maabara
Mtu wa madawa

Baada ya kubainika ugonjwa tunakupa Dawa
- Herbalist
tweet
AFYA YAKO LEO
Photo
Zayd โœช
Mioyo mizuri zaidi ni ile inayotoa licha ya uhitaji wao, Mioyo hiyo inapendwa na Allah.๐Ÿ’— https://t.co/iK7IrawkKC
tweet
Bonge La Afya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
RT @Pastore_Tz: 1. Mahusiano vurugu
2. Pesa hatuna
3. Gharama za maisha juu
4. Ajira mtihani
5. Presha kutoka ndani na nie https://t.co/M9IQAe95Qv
Watu wako na msongo wa mawazo sana. Tuwavumilie, tuwasaidie. - Bonge La Afya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
tweet
Bonge La Afya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Unajisifu siku hizi una appetite kumbe ni minyoo.
tweet
Bonge La Afya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
That awkward moment mpo kwenye foleni ya watu wengi halafu una yule jamaa anakupigisha stori nyingi kwanguvu ๐Ÿ˜‚
tweet
AFYA YAKO LEO
Photo
Zayd โœช
Ogopa sana kuiumiza roho ambayo haina uwezo wa kulipa kisasi, ila italeta malalamiko ambayo hakuna anayeweza kuyasikia isipokuwa Allah pekee. https://t.co/Q0n8yyGxP4
tweet
Bonge La Afya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Ukikazana kuutafuta ubaya ndani ya mtu utaupata.
tweet
AFYA YAKO LEO
Photo
Tiba Fasta
Je, wajua? Wanawake wenye matatizo ya kukosa hamu ya kujamiana wana dawa za kuongeza hamu hiyo vinavyojulikana kama flibanserin vikifananishwa na viagra ya wanaume. https://t.co/6dqXY9XHSM
tweet
AFYA YAKO LEO
Photo
Tiba Fasta
Ungana na Dr. Mabula hapo kesho asubuhi kufahamu mengi kuhusu afya ya uzazi kwa wanaume.

cc @drmabula https://t.co/1OaHxGPsJm
tweet
AFYA YAKO LEO
Video
Bonge La Afya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Mnawezaje kukaa bila kusikiliza nyimbo za Kisukuma? Why? ๐Ÿ˜‚ https://t.co/rwz9bsxFXq
tweet