AFYA YAKO LEO
2.5K subscribers
15.8K photos
6.64K videos
27 files
16.4K links
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Jitibu

KISOMO CHA KUMVUTA MPENZI AJE HARAKA WATSAPP+255763314206
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Jitibu

Je Utosi WA Kichanga Huanza Kucheza Lini? | Utosi Huacha Kucheza Lini KWA Kichanga?
Utosi wa Kichanga,Utosi Kucheza,Utosi wa Mtoto Mchanga huanza kucheza lini,Utosi wa Kichanga Huacha kucheza lini, Utosi wa Mtoto Mchanga Kubonyea,Utosi wa Kichanga kuvimba, Dalili mbaya kwa kuangalia Utosi,Kucheza kwa Utosi wa Kichanga,Utosi wa Kichanga kucheza kwake nakutoa kucheza na Dr.Mwanyika.

Bonyeza link hii hapa chini ili kusubscribe channel hii
https://bit.ly/3zQ3IU0

Madhara ya Kitovu kuangukia sehemu sa siri za Kichanga. https://youtu.be/A6ojB0KxVZ4

Kichanga anatakiwa kunyolewa lini nywele zake? https://youtu.be/AsEvban5ySw

Kubemenda Mtoto Mchanga au Kunyonyesha Kichanga ukiwa Mjamzito https://youtu.be/V9qOBje4JHE

Homa kwa Mtoto Mchanga https://youtu.be/yQzr-IALYgM

Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.
https://youtube.com/c/DrMwanyika

Nifuatilie Instagram kwa aji...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Jitibu

HIVI NDIVYO ZAWADI MSHINDI BONANZA KUELEKEA SIKU YA AFYA DUNIANI
Katika Mashindano ya Mpira wa Miguu utakaoanza kesho April 4 hadi 7,2024 katika Uwanja wa CCM Kihawala Kijiji cha Manyinga Kata ya Diongoya Tarafa ya Turiani Mkoani Morogoro ikiwa ni kuelekea Maadhimisho ya Afya Duniani Grace Msemwa kutoka Wizara ya Afya, Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma anafafanua zawadi zitakazotolewa kwa Washindi.

Ikumbukwe kuwa Mashindano hayo ni katika kuadhimisha Siku ya Afya Duniani April, 7, 2024 ambayo yanakwenda sambamba na Kaulimbiu isemayo "Afya Yangu,Haki Yangu hivyo licha ya mchezo wa Mpira wa Miguu Huduma mbalimbali za Afya zitatolewa bure katika viwanja hivyo ikiwemo Upimaji wa Shinikizo la juu la damu, Saratani ya Mlango wa akizazi, Kisukari, Afya ya Uzazi ,Lishe,vyeti vya kuzaliwa Kwa watoto walio na umri chini ya miaka 5,
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Jitibu

VIONGOZI WA MPIRA MVOMERO WAFUNGUKA KUHUSU BONANZA KUELEKEA SIKU YA AFYA DUNIANI
Baadhi ya Viongozi wa Mpira Mvomero walichozungumza kuhusu kuanza kwa Michezo kuelekea Maadhimisho ya Wanawake Duniani.
Chango ni ile hali ya mwanamke kupata maumivu makali ya tumbo la uzazi hasa kipindi cha hedhi.

Kitaalamu hali hiyo tunaita DYSMENORHEA .

Hizi imegawanyika katika makundi mawili :

A.PRIMARY DYSMENORHEA

-Hii ni ile ya kawaida tu.

-Yani unapata maumivu makali siku 1 au 2 kabla hujaanza period

-Huisha au kupungua sana baada ya mwanamke kujifungua ,

B.SECONDARY DYSMENORHEA

Hii ni kwamba maumivu yanaweza anza wiki hata mbili kabla ya period.

Na ni maumivu makali ambayo pia hudumu kwa siku nyingi na wakati mwingine hata zile siku za period

Sababu huwa ni uzalishaji wa prostaglandins.

Hii ni kemikali inayozaliwa wakati wa hedhi ..

Kemikali hii ikizalishwa kupita kiasi ni kwamba ule mkazo wa kuta za mji wa uzazi huwa mkubwa zaidi na hii hufanya mwanamke apate maumivu makali na anaweza pia kutokwa na damu nyingi kuliko kawaida .

Chango inaweza kutokana na :-

Endometriosis:

Hii ni hali inayotokea baada ya tishu za kuta za kizazi kua nje ya>>>>>>

Endelea kus...

View original post
USIKU WA KIZA: Zingatia yafuatayo kwa Afya yako.

1. Usilale na simu ikiwa karibu nawewe.
2. Usilale na chupi, sidilia au boxa ,vaa Nguo nyepesi au lala uchi kabsa.
3. Usilale na saa, cheni, pete, hereni nk.
5. Lala masaa 7-8 ndani ya 24hrs kwa afya njema ya akili.

MWISHO: USILALE NA MKE WAMTU....
Enjoy Every Moment Because Death is unexpected....
Leo nimechelewa kufika nyumbani nikaona nisipitishe ratiba ya code ya kila siku kama kawaida.

Nikapitia chimbo moja hivi hapa mtaani, Code ya uakika hii. Japo huwa napendelea kuandaa mwenyewe.

Zingatia Code Zingatia Ratiba ya kilasiku, Nimuhimu katika kuimarisha afya yako.

INGREDIENTS.....

1. Koroshi.
2. Maziwa fresh.
3. Tende.
4. Asali Mbichi
5. Mafuta ya Habat soda.

NB: No additional sugar
Kamwe usitumie viganja vyako vya mikono yako kutenda dhambi.
HUYU NINANI....??
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mh @ummymwalimu Hongera sana kwa kulitazama hili kwa jicho la pili. katika kukabiliana na changamoto za wenye matatizo yao ya ulemavu na usonji.

Katika yote 9 Sijaona kipengele cha kukabiliana na ongezeko la watoto kuzaliwa na changamoto hizo za abnormality.

Nina machache yakuongezea ilikukabiliana na changamoto hizo.

Nimuhimu kuweka mkazo katika elimu ya afya ya uzazi kabla ya mimba inaweza kupunguza hatari ya watoto kuzaliwa na ulemavu, ikiwa ni pamoja na ulemavu wa akili kama Usonji.

Elimu hii inaweza kusaidia wanawake kuelewa jinsi ya kudumisha afya yao wakati wa ujauzito, kuepuka vitu vinavyoweza kusababisha ulemavu kama vile pombe na sigara, na kuhakikisha wanapata huduma bora za afya wakati wa ujauzito na kujifungua.

Kuhamasisha upimaji wa kina wa afya ya mtoto kabla ya kuzaliwa (genetic screening) pia ni muhimu ili kugundua mapema uwezekano wa ulemavu na kuchukua hatua stahiki.

Nawasilisha... 🙏 https://twitter.com/ummymwalimu/status/1775473633902637165#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Jitibu

FAIDA UNAZOWEZA PATA UKINYWA JUICE YA ROZELLA. Rozella au wengine uita choya. Wengi wetu tumekuwa tukitumia kwa ajili ya kuongeza damu tuu, lakini hatuja jua faida zingine unazoweza pata. Acha nikujuze kwa ufupi tuu. 🔰. Ina rekebisha kiwango cha pressure ya damu, Sukari na cholesterol. 🔰. Inasaidia kupunguza uzito kwa vibonge tuu. 🔰. Inasaidia kuongeza damu na kuzuia ugonjwa wa upungufu wa damu anaemia. 🔰. Juice ya Rozella ina kiwango kikubwa cha antioxidants ambazo zina punguza kasi ya kuzeka na kupambana na maradhi mbalimbali. 🔰. Pia inasaidia maumivu wakati wa hedhi kwa wanawake. Rozella Zina uzwa kwa wingi kwenye supermarket mbalimbali. Kama unapenda makala zetu comment Asante, like, share, subscribe na tufollow.@biolife
😆😆
Tomorrow is so late to live and so early to die. Cherish each moment of your life as last one.
MUNGU akutibu kila kinachokuumiza, aondoe maumivu yako, hofu yako, matatizo uliyonayo na akupe afya njema, furaha na amani ya moyo.. 🤲
KUNA UKWELI KATIKA HILO: Wasichana wanaoolewa katika umri mdogo wanaweza kukabiliwa na changamoto za uzazi kutokana na miili yao kutokuwa tayari kwa ujauzito na kujifungua.

Kuna hatari kubwa ya matatizo wakati wa ujauzito na kujifungua, kama vile upungufu wa damu, hatari kubwa ya kufariki, na hatari kubwa ya mtoto kuzaliwa kabla ya muda wake (premature birth).

Nb: Ni muhimu kuelimisha jamii kuhusu madhara ya kuoa na kushika mimba katika umri mdogo ili kuzuia matatizo haya.

#NdoaZaUtotoni #SheriaYaNdoa https://twitter.com/hellen_sisya/status/1775835950150513009#m
NGOJA NIWAPE SABABU KWANINI NGUVU ZA KIUME LIMEKUA JANGA💦,

1. Mabadiliko ya Mitindo ya Maisha Hasa Kwa "usasa" uliopo na kukua Kwa kasi.

2. Aina za Vyakula wanavyokula vijana, vimekua vingi ni vilivyojaa mafuta na kukosa virutubisho ASILIA.

3. Kukosa Mazoezi ya kuupa Mwili nguvu na kuimarisha Mzunguko wa Damu, kutokana na wengi kuwa na kazi zisizotumia nguvu Nyingi.

4. Unene uliopitiliza ambao umekua chanzo kikubwa Cha upungufu au kukosa kabisa Nguvu za KIUME.

5. Ukitaka Mabadiliko, huwezi kuyapata Kwa siku 1, itafaaa Kubadili kwanza Aina na Mitindo ya Maisha na kuanza Kufuata Hatua za Kuijenga na kuimarisha Afya Njema!

ANZA SASA!