JamiiCheck
1.46K subscribers
3.4K photos
472 videos
2.11K links
A citizen-centered approach in countering Misinformation and Disinformation Online and Offline by JamiiForums
Download Telegram
JamiiCheck found that a letter circulating online, allegedly from the office of Kenya's fourth president, Uhuru Kenyatta, is fabricated. The fake document falsely claimed that the retired president rejected a meeting with former Deputy President Rigathi Gachagua.

Read More https://jamii.app/KenyattaGachaguaLetter

#JamiiCheck #HakikiTaarifa #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Ukiwa na maumivu ama matatizo kwenye sikio waone wataalamu wa afya, aidha tumia vyanzo sahihi kupata taarifa sahihi kuhusu afya.

Zaidi Soma https://jamii.app/KitunguuMajiSikioni

#JamiiCheck #HakikiTaarifa #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck
Some parts of the statement may be altered to distort the original meaning. Before sharing the viral claim, look for trusted sources to get the whole context

Read More https://jamii.app/RutoNewConstitution

#JamiiCheck #HakikiTaarifa #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck
Visit JamiiCheck.com for verified facts, trusted information, and tips on how to spot Mis/Disinformation and verify what you see online.

Read More https://jamii.app/MuseveniVie2031

#JamiiCheck #FactCheck #FactChecking #VerifyBeforeYouShare #VisitJamiiCheck
Ujumbe wa Mohammed Dewji unakumbusha umuhimu wa kuzungumza ukweli wakati wote ili kujenga uaminifu wako kwa watu.

#JamiiCheck #FactCheck #FactChecking #VisitJamiiCheck
Una swali ama madai yoyote na unahitaji kufahamu uhalisia wake? Tumia JamiiCheck.com kwa uhakiki wa Taarifa.

Zaidi Soma https://jamii.app/WatuKukusemaKujingata

#JamiiCheck #HakikiTaarifa #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck
Picha ya Seneta Edwin Sifuna akiwa na mavumbi mwilini na kuelezwa kuwa ni hali aliyoipata baada ya kufika Homa Bay, Kenya imehaririwa kwa AI kutoka katika picha halisi ya Aprili, 2026.

Tumia JamiiCheck.com kuthibitisha Taarifa, Picha ama Video.

Zaidi Soma https://jamii.app/SifunaHomaBay

#JamiiCheck #FactCheck #FactChecking #VerifyBeforeYouShare #VisitJamiiCheck
Tembelea Jukwaa la JamiiCheck.com kusoma Taarifa nyingine zilizopatiwa uhalisia wake.

#JamiiCheck #HakikiTaarifa #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck
An online investigation found that the image circulating online, allegedly showing President Yoweri Museveni sitting alone and looking sad and lonely with the caption “Power is lonely,” was AI-generated.

Submit claims that need verification on JamiiCheck.com.

#JamiiCheck #FactCheck #FactChecking #VerifyBeforeYouShare #VisitJamiiCheck