Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.33K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Namna ya kuzuia simu yako isiwe inakula bando sana na isiwe na matumizi makubwa ya Mb #simukitaa #sanukakitaani #ijuesimuyako
Google Waachana Na Tundu La ‘EarPhone’ Kuanzia Toleo La Pixel 6A!

Google Pixel ni simu janja nzuri sana na zinasifika sana katika katika swala zima la picha na hata utendaji wake wa kazi. Google kupitia simu yao mpya inayokwenda kwa jina la Google Pixel 6A, ambayo wameitangaza hivi karibuni, inakuja na vipengele vingi lakini sio tundu la spika za masikio. Hii kwa maana nyingine Google kupitia...

The post Google Waachana Na Tundu La ‘EarPhone’ Kuanzia Toleo La Pixel 6A! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/google-waachana-na-tundu-la-earphone-kuanzia-toleo-la-pixel-6a/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=google-waachana-na-tundu-la-earphone-kuanzia-toleo-la-pixel-6a
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KWA NINI TEKNOLOJIA YA BLUETOOTH IMEPEWA JINA LA 'BLUETOOTH'?
Fahamu historia ya jina la teknolojia ya Bluetooth.

Soma habari mbalimbali mpya kuhusu teknolojia ya Bluetooth kwa kutembelea Teknokona Kona ya Teknolojia - https://teknolojia.co.tz/?s=bluetooth
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

FAHAMU KUHUSU TESLA NA MAGARI YA TESLA. #MagariYanayotumiaUmeme
Fahamu zaidi kuhusu Tesla na magari yake.

Soma zaidi kuhusu habari za Tesla kupitia Kona ya Teknolojia - https://teknolojia.co.tz/teknolojia/tesla/
Jinsi ya Kushare kwa Haraka Document Yoyote Kupitia Link

Kama wewe ni kama mimi na mara nyingi umekuwa ukijihusisha na kutuma na kupokea document mbalimbali basi huwenda njia hii ikwa bora kwako. Kupitia hapa nitakuonyesha njia rahisi ya kushare document kwa mtu yoyote kupitia link moja kwa moja. Njia hii ni bora sana kwa sababu inarahisisha na mtu ataweza kuedit file moja kwa moja […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/05/share-document-kupitia-link/
Google Translate Yaongeza Lugha 24, Kati Ya Hizo 10 Ni Kutoka Africa!

Google ni mtandao mkubwa sana na hivi karibuni katika huduma yake ya kutafsiri lugha ijulikano kama Google Translate kuna maboresho yamefanyika. Mpaka sasa zimeongezwa lugha 24 ambazo zinaongelewa kwa watu Zaidi ya milioni mia tatu. Ukaichana na hiyo kizuri ni kwamba lugha kutoka Afrika zimeongezwa 10. Hii inamaanisha kuwa katika mtandao huo kutakua na jumla...

The post Google Translate Yaongeza Lugha 24, Kati Ya Hizo 10 Ni Kutoka Africa! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/google-translate-yaongeza-lugha-24-kati-ya-hizo-10-ni-kutoka-africa/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=google-translate-yaongeza-lugha-24-kati-ya-hizo-10-ni-kutoka-africa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Ijue Jinsi Ya Kutuma Picha Na Video whatsap na unae mtumia aione Mara moja tu Baada Ya Hapo Ifutike automatically #simukitaa #sanukakitaani #ijuesimuyako
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Simu yako inakusumbua kuwasha Hotspot/Wifi Angalia video hii mpaka mwisho #simukitaa