Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.57K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

SHIMO REFU ZAIDI DUNIANI
Naam leo tutaangalia shimo lenye kina kirefu zaidi kuwahi kuchimbwa na binadamu, Kola superdeep

FOLLOW US πŸ“Ά
Instagram:https://www.instagram.com/newzfid/
Facebook: https://www.facebook.com/newzfidmagazine/
TeknoKona (Facebook)

Kuongeza umakini unapokuwa kazini hakikisha unazima ujio wa taarifa zote za kwenye mitandao ya kijamii. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Tumia njia za kidigitali kukuza na kuendeleza biashara yako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - SAMBAZA MCHONGO NA SIO UONGO | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Tumia mitandao ya kijamii kutafuta/kusambaza michongo na sio uongo.

#SambazaMchongoNaSioUongo
TeknoKona (Facebook)

Tinder na Spotify zashirikiana kutengeneza kipengele kipya kwenye App ya Tinder cha 'Music Mode'. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://teknolojia.co.tz/tinder-inashirikiana-na-spotify-kuzindua-kipengele-kipya-cha-music-mode/
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu jinsi ya kuweka sahihi yako kwenye barua pepe unazotuma kupitia Gmail.

https://teknolojia.co.tz/jinsi-ya-kuweka-au-kutumia-saini-kwenye-gmail/
TeknoKona (Facebook)

Ili kulinda faragha yako, Tumia incognito katika kivinjari chako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Unafahamu teknolojia gani mpya inayotengenezwa sasa hivi? Tembelea tovuti yetu uweze kuzifahamu https://teknolojia.co.tz/