Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.59K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Ili kufahamu zaidi pakua App ya "Posta Kiganjani" na ufurahie huduma zilizorahisishwa na Teknolojia ya Mawasiliano Nchini.

#wikiyapostaduniani
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

Mambo 6 hatari ambayo utakiwi kufanya kwenye simu yako (mitandaoni)

Kukua kwa teknolojia kumepelekea mambo mengi kutumia intaneti hivyo kusaidia kufanyika Kwa shughuli mbalimbali ulimwenguni.

Jiepushe na mambo haya unapokuwa mtandaoni

1๏ธโƒฃ Usiandike kila kitu kuhusu maisha binafsi
Tunaelewa mitandao ya kijamii imewekwa Kwa ajili ya kuburudisha ,Kuelimisha Lakini isikufanye uweke kila kitu kukuhusu wewe juu ya maisha yako binafsi mtandaoni.

Unamkuta mtu kupitia mtandaoni unajua location aliyopo , eneo analokaa , maisha anayoishi hivyo jihadhari kutumia simu yako kuonyesha maisha yako yote binafsi.

2๏ธโƒฃ Usipende kutembelea tovuti au App ambazo zinavunja sheria

Kikawaida unaweza kufikiria ni stroy tu ziko kwenye movies kama angel has fallen nk lakini tabia ya kutembelea tovuti zenye kuvunja sheria kwa njia moja au nyingin...

View original post
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Ziara ya Wanafunzi wa Kidato cha Tano kutoka Shule ya Sekondari Jangwani iliyopo Jijini Dar es Salaam kutembelea Makumbusho ya Mawasiliano iliyopo Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), leo tarehe 05/10/2021. Kufuatia maadhimisho ya Wiki ya Posta Duniani, wanafunzi hao walipata wasaa wa kujionea mabadiliko ya teknolojia kwenye utoaji wa huduma za Posta kuanzia zama za kale hadi sasa.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Tufuatilie kwa pamoja uzinduzi wa Wiki ya Posta Duniani mubashara kutoka Dodoma kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kwa kufungua link hii ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

https://youtu.be/ioQe1YqDgI4
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) ametembelea banda la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwenye shughuli za uzinduzi wa Wiki ya Posta Duniani zilizoenda sambamba na uzinduzi wa duka la posta mtandaoni na maonesho ya huduma za posta, leo tarehe 06/10/2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma. Shughuli hizo za uzinduzi zimehudhuriwa pia na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari.

Kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Posta Duniani ni tarehe 9 Oktoba ambayo ni Siku ya Posta Duniani.
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

๐—ก๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜‚๐—ป๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—œ๐—ป๐˜€๐˜๐—ฎ๐—ด๐—ฟ๐—ฎ๐—บ

Ni kitu kizuri na chenye furaha sana kuwa na likes nyingi pale unapokuwa unatumia mitandao ya kijamii. Haina maana kama uta post picha yako nzuri lakini hakuna mtu yeyote anaye itazama.

Follow unfollow? NO

Najua ulivyoona nimekwambia ntakuonyesha namna ya kuongeza followers tayari ukajua nitakuelekeza kutumia njia ya Follow Unfollow ambayo ni maarufu lakini ni ngumu sana kufanikiwa.

We tumia njia hizi utafanikiwa๐Ÿ‘‡

1๏ธโƒฃ pendezesha akaunti yako

Kabla ujawaza kuhusu utapata wapi followers wengi ebu fanya kupendezesha akaunti yako. Unajua akuna jambo zuri kama mtu akingia kwenye page yako alafu akakuta Ina mpangilio mzuri na WA kuvutia hivi unafikiri hatachaje kuku follow ? ๐Ÿ˜ณ

hakikisha umependezesha kuanzia bio , image zako , caption...

View original post