Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Ziara ya Wanafunzi wa Kidato cha Tano kutoka Shule ya Sekondari ya St. Joseph’s Cathedral iliyopo Jijini Dar es Salaam kutembelea Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania na kujifunza kuhusu TCRA na majukumu yake kwa ujumla. Katika ziara hiyo, Wanafunzi walipata wasaa wa kutembelea Chumba cha Ufuatiliaji wa Maudhui ya Utangazaji kwa njia ya Televisheni (Content Monitoring Section) pamoja na kufika kwenye Makumbusho ya Mawasiliano ya TCRA leo Tarehe 14 Septemba, 2021.