KUHUSU: URL? |Cracked Software ? | Cookies na kuzifuta |PC kuzima zima | DarkWeb |Win11| Blue Screen โ NK- Computer Training
https://youtu.be/jHYMY1xPl94 1:13:30
https://youtu.be/jHYMY1xPl94 1:13:30
YouTube
KUHUSU: URL? |Cracked Software ? | Cookies na kuzifuta |PC kuzima zima | DarkWeb |Win11| Blue Screen
KUHUSU: URLndio nini? |Cracked Software ni salama ? | Cookies zina kazi gani na jinsi ya kuzifuta | PC kuzima zima nini tatizo? | DarkWeb ipoje? |Windows 11 ishaanza matumizi?| Blue Screen inasababishwa na nini?
*MASAWALI YA LEO:*
1- 05:09 URL ni kitu ganiโฆ
*MASAWALI YA LEO:*
1- 05:09 URL ni kitu ganiโฆ
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Karibu utembelee Makumbusho ya Mawasiliano iliyopo Makao Makuu ya TCRA Buree kabisa kwa Siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa Tatu asubuhi hadi saa Tisa Mchana.
โVya Kale ni Dhahabuโ #tutumiemawasilianokujileteamaendeleo

Watoa huduma za Mawasiliano ya Simu hufuata mwongozo Maalum pindi wanapotoa huduma kwa wateja waoโฆ Fahamu haya na mengine mengi kupitia kipindi cha Mawasiliano kwa Maendeleo kinachorushwa kila siku ya Jumatatu saa Tatu na nusu Usiku na marudio ni siku ya Alhamisi saa Sita kamili mchana kupitia Chaneli ya TBC 1.
Usikubali kupitwa!

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority ะฝะฐ Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Watoa huduma za Mawasiliano ya Simu hufuata mwongozo Maalum pindi wanapotoa huduma kwa wateja waoโฆ
Fahamu haya na mengine mengi kupitia kipindi cha...

HAJIMURON255๐ (Instagram)
๐จ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ๐ฏ๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ๐ต๐ฎ๐ ๐ฝ๐ฎ๐๐๐๐ผ๐ฟ๐ฑ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ ๐
Unajua ulimwengu teknolojia Duniani una mambo mengi ya Siri ambayo ๐ก hatuwezi kuyajua yote , ila page yetu ni kazi yetu kukusogezea mambo muhimu ili kujua zaidi ๐.
Najua watu wengi wamejiunga katika mitandao mbalimbali ulimwengu hivyo anajikuta Kila sehemu unapojiunga unabidi huweke password hili huweze kuhifadh kama kumbukumbu ndo itakua kama I'd yako vile ya kuingilia eneo Hilo โ.
Nafahamu sio rahisi kukumbuka password zako zote za akaunti zako unazotumia naelewa hivyo upelekea wewe kazi kubonyeza reset password tu ๐ Kila ukitaka ku log in.. ila kwanini huwe na tabia hiyo ?
Binafsi hata mimi Niko na password nyingi tu sio zangu tu Kuna zingine za wateja wangu na zote natakiwa nizijue sio jambo rahisi ๐ฑ.
Hivyo nimekuletea njia rahisi ya kuweza kutunza pa...
View original post

Washtue Wadau, waambie Mawasiliano baina ya Mtoa Huduma za Mawasiliano ya simu na mteja wake ni kupitia namba 100 Tuuโฆ
#kamasionamba100potezeaa

MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU MARIOO โ Newzfid
https://youtu.be/h8Y9ONwY9Kw 9:12
https://youtu.be/h8Y9ONwY9Kw 9:12
YouTube
MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU MARIOO
Marioo ni mmoja wapo wa wasanii hao, chini ya miaka 5 ndani ya industry ya mziki ameweza kusimika jina lake kando na wasanii nguli na wanaobamba Tanzania, hadi kumfanya miongoni mwa wasanii top 10 leo hii kama Diamond platnumz, Alikiba,Harmonize na Rayvanny.Katikaโฆ
HAJIMURON255๐ (Instagram)
๐ ๐๐ฃ๐จ๐ ๐ฎ๐ ๐ ๐ช๐ก๐๐ฃ๐๐ ๐๐ข๐๐๐ก ๐๐ ๐๐ช๐ฃ๐ฉ๐ ๐ฎ๐๐ ๐ค ๐ ๐ช๐๐ช๐ ๐๐ก๐๐ฌ๐
Unajua email ni moja ya jambo muhimu Sana kwenye masuala ya kibiashara au mpaka kwenye mitandao ya kijamii , baadhi ya watu huweza kutumia email kuweza kuwasiliana na watu kufanya biashara na hata mambo mengine.
Lakini je Email yako una uwakika kuwa ni salama haiwezi kudukiliwa ? ๐ฑ
Hilo ni swali muhimu unapaswa kujiuliza Sana haswa kama wewe unapenda kutumia email yako kwenye kutuma ujumbe kujiunga na social media au tovuti tofauti tofauti kwenye simu au kompyuta yako.
Kesi za watu kuibiwa akaunti zao za mitandao ya kijamii zimekua nyingi Sana Tanzania watu wanalalamika kuibiwa au hata kupoteza akaunti zao baada ya mtu kumuambia afanye jambo Fulani.
Fanya njia hizi muhimu kuweza kulinda akaunti yako hisiweze kudukiliwa na mtu yeyote yul...

Mawasiliano baina ya Mtoa Huduma za Mawasiliano ya Simu na Mteja wake ni kupitia namba 100 Tuu! Epuka Matapeli wanaotumia namba binafsi kupiga simu na kujitambulisha kama watoa huduma kutoka mtandao wa simu unaotumia.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari amekutana na wawakilishi wa Chama cha Watoa Maudhui ya Televisheni kwa njia ya Kebo (TACOA) kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali yanayohusu huduma za Maudhui zinazotolewa na chama hicho. Mkutano huo umefanyika Leo Tarehe 8 Septemba, 2021 katika Makao Makuu ya TCRA Jijini Dar es Salaam.

MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU HASSAN MWAKINYO โ Newzfid
https://youtu.be/P36d0wJDu-s 9:05
https://youtu.be/P36d0wJDu-s 9:05
YouTube
MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU HASSAN MWAKINYO
#Mwakinyo #Boxing
Waweza kunitumia TIP ๐ MPESA 0768712711 โโ
Hassan mwakinyo ama unaweza kumuita Champez onetime ni Bingwa wa ABU uzito wa Super Welter na bondia namba moja barani Afrika.Kwa taarifa tu, super welter ni division ya wanamasumbwi wenye uzitoโฆ
Waweza kunitumia TIP ๐ MPESA 0768712711 โโ
Hassan mwakinyo ama unaweza kumuita Champez onetime ni Bingwa wa ABU uzito wa Super Welter na bondia namba moja barani Afrika.Kwa taarifa tu, super welter ni division ya wanamasumbwi wenye uzitoโฆ
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - Bambo la Mtaa!! | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Usikose kufuatilia kipindi cha Bambo la Mtaa kinachorushwa kila siku ya Alhamisi kuanzia Saa Mbili na nusu (2:30) Usiku kupitia Chaneli ya Clouds TV....