Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

Fahamu app Bora za kujifunza kupika kwenye simu

Unajua Simu zimeleta ushindi mkubwa Sana kwenye ulimwengu wa teknolojia japo watu wengi wanazichukulia poa Sana tu. Hivi unajua kuwa unaweza kujifunza kupika kitu chochote kile kupitia simu yako.

Unajua hata Mimi nimejifunza kupika vyakula kadhaa kupitia simu kama vile kutengeneza burgers ๐Ÿ” , pizza๐Ÿ•, eggychop , ugali pilau nk.๐Ÿฅš kwaiyo Niko vizuri kwenye Hilo ๐Ÿ˜€ suala usinichukulie poa......!!!

Sasa Leo nakuletea njia za kipeke Sana za kujifunza kupika vyakula tofauti tofauti kupitia simu yako ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

1๏ธโƒฃ cookpad
Hii ni moja ya app nzuri Sana ya kujifunza kupika kupitia simu yako kwani utajifunza kupika vitu mbalimbali ๐Ÿ”ฅ , kwani utaweza kutafuta chakula Gani unataka kupika na ๐Ÿ˜€ na kuanza kazi kupitia simu yako.watu wengi wanashare vyakula vyao tofauti kupitia app hii hivyo i...

View original post
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

Jinsi ya kukuza akaunti yako Instagram

Unatumia instagram ? Of course naelewa kama unatumia instagram. Instagram Ina zaidi ya watumiaji bilioni 1.2. Duniani kote hivyo kufanya kuwa na asilimia 15% ya ongezeko la watumiaji kwenye Dunia.

Achana na mambo ya kununua akaunti za watu sio nzuri endelea kufuatilia page yetu nitawaeleza kwanini usinunue akaunti mitandaoni.

ngoja Leo niwaeleze njia rahisi ya kukuza brand yako kupitia instagram njia hii ni nzuri Sana ๐Ÿ‘‡

1๏ธโƒฃ Username
Hii ni kitu ni Muhimu Sana kama unataka akaunti yako ikue faster unajua tafuta username ambayo itamvutia mtu na kufanya atembele page yako hivyo epuka kutumia majina ambayo magumu pia ๐Ÿค” sio rafiki Kwa watu.

2๏ธโƒฃ Wajue watu wako ( followers )
Katika ulimwengu wa masuala ya mitandao ya kijamii ni Muhimu kuwajua watu wako hii itakufanya kupata watu wapya K...

View original post
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Karibu utembelee Makumbusho ya Mawasiliano iliyopo Makao Makuu ya TCRA Buree kabisa kwa Siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa Tatu asubuhi hadi saa Tisa Mchana.

โ€œVya Kale ni Dhahabuโ€ #tutumiemawasilianokujileteamaendeleo
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Watoa huduma za Mawasiliano ya Simu hufuata mwongozo Maalum pindi wanapotoa huduma kwa wateja waoโ€ฆ Fahamu haya na mengine mengi kupitia kipindi cha Mawasiliano kwa Maendeleo kinachorushwa kila siku ya Jumatatu saa Tatu na nusu Usiku na marudio ni siku ya Alhamisi saa Sita kamili mchana kupitia Chaneli ya TBC 1.

Usikubali kupitwa!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority ะฝะฐ Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Watoa huduma za Mawasiliano ya Simu hufuata mwongozo Maalum pindi wanapotoa huduma kwa wateja waoโ€ฆ
Fahamu haya na mengine mengi kupitia kipindi cha...
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

๐—จ๐—ป๐—ฎ ๐˜๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐˜‚ ๐—ฝ๐—ฎ๐˜€๐˜€๐˜„๐—ผ๐—ฟ๐—ฑ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐Ÿ”‘

Unajua ulimwengu teknolojia Duniani una mambo mengi ya Siri ambayo ๐Ÿ’ก hatuwezi kuyajua yote , ila page yetu ni kazi yetu kukusogezea mambo muhimu ili kujua zaidi ๐Ÿ˜Š.

Najua watu wengi wamejiunga katika mitandao mbalimbali ulimwengu hivyo anajikuta Kila sehemu unapojiunga unabidi huweke password hili huweze kuhifadh kama kumbukumbu ndo itakua kama I'd yako vile ya kuingilia eneo Hilo โœŠ.

Nafahamu sio rahisi kukumbuka password zako zote za akaunti zako unazotumia naelewa hivyo upelekea wewe kazi kubonyeza reset password tu ๐Ÿ˜€ Kila ukitaka ku log in.. ila kwanini huwe na tabia hiyo ?

Binafsi hata mimi Niko na password nyingi tu sio zangu tu Kuna zingine za wateja wangu na zote natakiwa nizijue sio jambo rahisi ๐Ÿ˜ฑ.

Hivyo nimekuletea njia rahisi ya kuweza kutunza pa...

View original post
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Washtue Wadau, waambie Mawasiliano baina ya Mtoa Huduma za Mawasiliano ya simu na mteja wake ni kupitia namba 100 Tuuโ€ฆ
#kamasionamba100potezeaa
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

๐™…๐™ž๐™ฃ๐™จ๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ก๐™ž๐™ฃ๐™™๐™– ๐™€๐™ข๐™–๐™ž๐™ก ๐™–๐™ ๐™–๐™ช๐™ฃ๐™ฉ๐™ž ๐™ฎ๐™–๐™ ๐™ค ๐™ ๐™ช๐™™๐™ช๐™ ๐™ž๐™ก๐™ž๐™ฌ๐™–

Unajua email ni moja ya jambo muhimu Sana kwenye masuala ya kibiashara au mpaka kwenye mitandao ya kijamii , baadhi ya watu huweza kutumia email kuweza kuwasiliana na watu kufanya biashara na hata mambo mengine.

Lakini je Email yako una uwakika kuwa ni salama haiwezi kudukiliwa ? ๐Ÿ˜ฑ

Hilo ni swali muhimu unapaswa kujiuliza Sana haswa kama wewe unapenda kutumia email yako kwenye kutuma ujumbe kujiunga na social media au tovuti tofauti tofauti kwenye simu au kompyuta yako.

Kesi za watu kuibiwa akaunti zao za mitandao ya kijamii zimekua nyingi Sana Tanzania watu wanalalamika kuibiwa au hata kupoteza akaunti zao baada ya mtu kumuambia afanye jambo Fulani.

Fanya njia hizi muhimu kuweza kulinda akaunti yako hisiweze kudukiliwa na mtu yeyote yul...

View original post