Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Janjaruka! Usikubali Kutapeliwa!
Ni namba 100 PEKEE
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Usikose kufuatilia kipindi maalumu cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) mubashara kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Siku ya Ijumaa kuanzia saa Saba kamili Mchana.
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

๐—ณ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ฆ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐˜† ๐˜€๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ

tunajua Kuna wakati simu yuko hiko kama mwanadamu Muda wowote inaweza hikapatwa na tatizo lolote, moja la tatizo linalowaumiza watu Sana tatizo la Kushindwa kudownload kitu play store.

unakuta unaingia play store unakutana na shida kama hizi kwenye simu Yako ๐Ÿ‘‡
โ€ข Huwezi kudownload app yoyote kwenye Soko la play store

โ€ขuna Download kitu kinafika asilimia 90 inajikata

โ€ข play store Yako inashindwa ku load au kufunguka

โ€ข download pending kwenye play store
โ€ข Google play store app zime crashes baada ya kufungua na nk.

Sasa fanya hivi Ili kutatua tatizo lako kwenye play store Kwa njia rahisi sana ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

โฌ‡๏ธ hakikisha Mobile data network Yako hiko vizuri kama unaona upati ujumbe wowote wa social media baada...

View original post
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilikutana na Wanazuoni kutoka Vyuo Vikuu mbalimbali kujadili jitihada za kukuza Bunifu za TEHAMA Nchini, Jana Tarehe 25 Agosti, 2021 katika Makao Makuu ya TCRA jijini Dar es Salaam.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - Kukuza Bunifu za TEHAMA Nchini. | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Yaliyojiri kwenye Mkutano baina ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Wanazuoni kutoka Vyuo Vikuu mbalimbali Nchini kwa lengo la kujadili jitihada...
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

fahamu maujanja kwenye instagram yako

Leo nakutelea maujanja ambayo utaweza kuokoa muda wako wewe mfanyabiashara au mtumiaji wa kawaida kwenye instagram.

1๏ธโƒฃ Pangilia machapisho yako
tumia App ya business suite kwa kuweza kufanya kupangilia post zako na video kwa kuweza kuchagua muda na siku ya kujipost zenyewe ๐Ÿ”ฅ, hakikisha umeandaa vizuri vitu vyako muhimu kama picha , video , caption ( maelezo) pamoja na hashtags.

2๏ธโƒฃ Tengeneza frequently asked questions instagram wametuletea uwezo wa kutengeneza maswali ambayo yanaulizwa Sana na watu wakifuata kwenye dm ya akaunti yako ( direct message) .

maswali haya utokea kwa mtu ambaye mara ya kwanza ndo anakutumia ujumbe hivyo hataweza kuchagua hii inasaidia sana kwa wale waze wa kutuma ujumbe wa mambo , hii au hlw na nk.

Ingia setting kwenye instagram alafu >> business &g... ...