Ontime
11 subscribers
172 photos
9.37K videos
1 file
23.7K links
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

ADAM MCHOMVU NA MCHONGO WA MA-DJ AFUNGUKA “FIESTA WAMEIPA MUDA"
Mtangazaji wa Clouds Media Adam Mchomvu amezungumza kuhusu Tour ya muziki itakayowahusisha Ma-DJ 7 kutoka nje ya nchi na Ma-DJ saba wa hapa bongo ambao watazunguka mikoa saba kutoa burudani, pia Mchomvu amegusia swala la FIESTA kufanyika mwaka huu.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Duh.! Heche na Peter Msigwa waja na mkakati huu kumtoa Mbowe Jela, wadai mahakama haiaminiki tena
Bongo Sihami, ni Channel ya habari za siasa zinazohusu Tanzania. Tunajitahidi kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote kisiasa.
Tumeipa jina la Bongo Sihami kwa kuwa tunaipenda sana Tanzania, hatutahama Tanzania kwa shida ama kwa raha
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia
Super Market ilifungwa ili Michae Jackson ajaribu kufanya jambo ambalo binadamu wengine hufanya. — BONGO FASTA
https://youtu.be/sa0Hes_0upw 2:12
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MWANAFUNZI ALIYETENGEZA APP AZAWADIWA, BABA YAKE APEWA MILIONI 6
Moses Mbaga (15) ni Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Al Muntazir Upanga Dar es salaam ambaye amefanikiwa kutengeneza Application ya ExamNet ambayo itamuwezesha Mwanafunzi kufanya mitihani mbalimbali kwa njia ya mtandao na kisha ikasahihishwa na akapata majibu yake.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KAMISHNA MKUU TRA AWAPA POLE WAFANYABIASHARA 'TRA YA SASA IMEBADILIKA'
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Alphayo Kidata amekutana na Wafanyabiashara Mkoani Kagera kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali yahusuyo kodi na namna bora ya kutatua changamoto zinazowakabili.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Makazi ya kuwatunza wanyama wazee Ujerumani
Bila shaka umeshawahi kusikia kuhusu makazi maalumu wanakotunzwa wazee lakini safari hii kutoka kaskazini mwa Ujerumani utafahamu kuhusu makazi maalumu yaliyoanzishwa kwa ajili ya kuwatunza wanyama wazee, hasa ng'ombe! Kurunzi Ujerumani 21.10.2021
Ready or Not : Movie review trailer in (Swahili) mambo yaliyo ya siri kwenye familia zenye pesa — Bongotech255
https://youtu.be/Mb0TlFuoK0w 2:31
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Marufuku kukata tamaa
Licha ya kukumbwa na mafuriko yaliyomwacha bila makazi Aprili mwaka uliopita, Nabintu Francine, ameamua kusonga mbele. Ni mama wa miaka 55. Anatengeneza majiko kwa kukusanya vipande vya mabati kisha anayauza ili kujikimu akiwa katika kambi ya waathiriwa wa mafuriko Uvira. Video na Mitima Delachance. Kurunzi 21.10.21
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

SHAHIDI KESI YA SABAYA AUGUA GHAFLA TUMBO MAHAKAMANI
Shahidi wa saba wa Jamhuri Ramadhani juma katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita ameshindwa kutoa ushahidi wake baada yakusumbuliwa na tumbo.

Shahidi wa kesi ya Sabaya augua ghafla tumbo Mahakamani,Kesi yaahirishwa.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Ready or Not Movie trailer : Usiombe yakukute kama Camara ‎@Bongotech255
msichana mdogo Camara anaingia kwenye mtihani mzito kwenye maisha yake baada ya kwenda kuolewa na familia ya bhana mark O brien.

familia ya Mme wa Camara Wana Mila na desturi zao ambazo mtu anapoingia kwenye familia Yao huweza kuchagua mchezo baada ya hapo ukifanikiwa kushinda basi unakua mmoja wa Wana familia ila

Kuna kufa au kupona je Camara atafanikiwa ? 😲 tizama hiyo movie alafu usisahau kutuachia comment Yako tujifunze nasi

subscribe kwa video nyingi

YouTube link
🔻 usisahau ku subscribe kwenye chaneli yetu

https://youtube.com/channel/UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️

social media zetu 👇 :
1. Tik tok 🔻 https://www.tiktok.com/@UCFiobXmrLv4S6vNqF91_-NA

2. Instagram🔻 https://instagram.com/bongotech255

3. YouTube🔻 https://youtube.com/channel ...