Ontime
11 subscribers
172 photos
9.37K videos
1 file
23.7K links
Download Telegram
JPM: SITAKI KUZURULA ULAYA WANANIFUATA WENYEWE WANAJUA NCHI YETU NI TAJIRI — MWALIMU ISAYA BENSON
https://youtu.be/JtAatlxYqww 13:36
DAKTARI hakutaka kugusa VIFUA VYA WANAWAKE,hivyo akaunda kifaa hiki MAARUFU. — BONGO FASTA
https://youtu.be/7lil4q9MAb0 1:08
NDEGE NYINGINE KUBWA YATUA ZNZ, MARA YA MWISHO ILIKUA 1974 — Millard Ayo
https://youtu.be/RTGu8WIbcJ4 3:45
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

WAFANYABIASHARA WALIOIBUKA NA MABANGO KWA RAIS SAMIA WAIBUKA TENA
Wafanyabiashara wa maduka 396 yaliyopo stendi ndogo jijini Arusha ambao waliibuka na mabango kwenye ziara ya siku mbili aliyoifanya Rais wa Tanzania Samia Hassan Jijini Arusha, wameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro uliokuwepo na kudai kwamba wanataka kunyang'anywa maduka yao na Halmashauri.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

ADAM MCHOMVU NA MCHONGO WA MA-DJ AFUNGUKA “FIESTA WAMEIPA MUDA"
Mtangazaji wa Clouds Media Adam Mchomvu amezungumza kuhusu Tour ya muziki itakayowahusisha Ma-DJ 7 kutoka nje ya nchi na Ma-DJ saba wa hapa bongo ambao watazunguka mikoa saba kutoa burudani, pia Mchomvu amegusia swala la FIESTA kufanyika mwaka huu.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Duh.! Heche na Peter Msigwa waja na mkakati huu kumtoa Mbowe Jela, wadai mahakama haiaminiki tena
Bongo Sihami, ni Channel ya habari za siasa zinazohusu Tanzania. Tunajitahidi kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote kisiasa.
Tumeipa jina la Bongo Sihami kwa kuwa tunaipenda sana Tanzania, hatutahama Tanzania kwa shida ama kwa raha
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia
Super Market ilifungwa ili Michae Jackson ajaribu kufanya jambo ambalo binadamu wengine hufanya. — BONGO FASTA
https://youtu.be/sa0Hes_0upw 2:12
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MWANAFUNZI ALIYETENGEZA APP AZAWADIWA, BABA YAKE APEWA MILIONI 6
Moses Mbaga (15) ni Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Al Muntazir Upanga Dar es salaam ambaye amefanikiwa kutengeneza Application ya ExamNet ambayo itamuwezesha Mwanafunzi kufanya mitihani mbalimbali kwa njia ya mtandao na kisha ikasahihishwa na akapata majibu yake.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KAMISHNA MKUU TRA AWAPA POLE WAFANYABIASHARA 'TRA YA SASA IMEBADILIKA'
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Alphayo Kidata amekutana na Wafanyabiashara Mkoani Kagera kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali yahusuyo kodi na namna bora ya kutatua changamoto zinazowakabili.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Makazi ya kuwatunza wanyama wazee Ujerumani
Bila shaka umeshawahi kusikia kuhusu makazi maalumu wanakotunzwa wazee lakini safari hii kutoka kaskazini mwa Ujerumani utafahamu kuhusu makazi maalumu yaliyoanzishwa kwa ajili ya kuwatunza wanyama wazee, hasa ng'ombe! Kurunzi Ujerumani 21.10.2021