Ontime
11 subscribers
172 photos
9.37K videos
1 file
23.7K links
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Wakili Peter Madeleka aichambua hukumu ya Mbowe iliyotolewa na Jaji Syani
Bongo Sihami, ni Channel ya habari za siasa zinazohusu Tanzania. Tunajitahidi kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote kisiasa.
Tumeipa jina la Bongo Sihami kwa kuwa tunaipenda sana Tanzania, hatutahama Tanzania kwa shida ama kwa raha
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia
MWANZO MWISHO MAPINDUZI YA GUINEA RAIA WALIFURAHIA UTAWALA WA KIJESHI
Saved by @InstantMediaBot

MWANZO MWISHO MAPINDUZI YA GUINEA RAIA WALIFURAHIA UTAWALA WA KIJESHI
PLEASE SUPPORT US THROUGH AIRTEL MONEY +255 787 694 242
M-PESA +255 764 247 363 Thank you.
Mwenyezi Mungu awabariki sana kwa kuendelea kufuatilia makala zetu kwenye channel hii. Pia unaweza kuwasiliana nasi kwa whatsapp number +255 787 694 242.

SEHEMU YA KWANZA LINK HII HAPA: https://youtu.be/muS5g-lyUPw

SEHEMU YA PILI LINK HII HAPA: https://youtu.be/egaPZopsFcU
Waridi wa BBC: 'Sikuweza kula wala kunywa chochote katika siku tatu…
Saved by @InstantMediaBot

Waridi wa BBC: 'Sikuweza kula wala kunywa chochote katika siku tatu nilizobakwa'
Mchungaji Cecilia Muthoni Ssewagaba, alibakwa akiwa na miaka 17 na tukio hilo hatawahi kulisahau maishani mwake. Lakini tukio hili ambalo alilipitia utotoni limeacha kovu moyoni mwake, lakini bila shaka halikumkatisha tamaa ya kusonga mbele na maisha na kuwasaidia wengine waliopitia masaibu kama yake.
#bbcswahili #waridiwabbc #wanawake
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MANARA: GOLI LA FEISAL VS KMC NDIO GOLI BORA DUNIANI LA MWEZI
Kikosi cha Yanga SC kimerejea leo jijini Dar es Salaam kikitokea Songea ambapo kilikuwa kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu vs KMC ambapo baada ya kurejea Msemaji wao Haji Manara ameongea yafuatayo.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MWALIMU MKUU AMPIGA NGUMI MWALIMU WAKIKE, AMNG'OA JINO,
Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mkuyuni Morogoro Vijiji, Mussa Hasira kwa tuhuma za kumpiga hadi kumng'oa jino la juu Mwalimu mwezake, Witnes Makoti huku chanzo kikiwa bado hakijulikani.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV — BBC News Swahili
https://youtu.be/IF363DoihxU 28:20
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Lekki toll gate: 'The massacre without blood or bodies' BBC Africa
The biggest protests in a generation swept through Nigeria in 2020.
Thousands of young people protested against police brutality. But on 20 October, the Nigerian army opened fire on protesters at the Lekki toll gate in Lagos. Despite it being filmed by people there and even live streamed on Instagram, the army denies the shooting happened and says it was 'fake news'.
The government called it 'a massacre without blood or bodies'.
The BBC's Yemisi Adegoke investigates what happened that night.
Filmed and edited by Joshua Akinyemi
Produced by Charlotte Pamment and Paul Harris
Graphics and animation by Catarina Bakker
Additional animation by Jilla Dastmalchi

#lekkitollgate #endsars #lekki

Subscribe: http://bit.ly/subscribetoafrica
Website: https://www.bbc.com/africa
Facebook: https://ww ...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KESI YA SABAYA: PINGAMIZI LATUPWA, KUMBUKUMBU ZA SIMU ZAPOKELEWA
Ulitamani kufahamu ni kitu gani kilichoamuliwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuhusu pingamizi la kutaka nyaraka mbalimbali zikiwemo kumbukumbu za kupiga na kupokea simu, kutuma na kupokea ujumbe mfupi wa simu za aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya zisipokelewe kama kielelezo katika kesi ya uhujumu uchumi? hii video ina kila kitu unachopaswa kufahamu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MTANZANIA ALIYEUAWA MAREKANI, FAMILIA YASIMULIA "ALIGONGA GARI KWA NYUMA"
AyoTV na millardayo.com zimefika nyumbani kwa Familia ya Mtanzania Humphrey Magwira Kijana mwenye umri wa miaka 20 ambaye ameuwawa kwa kupigwa risasi njia panda ya Beechnut, Houston Texas Marekani.
VISA Sehem ya4 Olanda / Tinwhite /dagobert / Mwelesi — WHITE FILMS
https://youtu.be/lBDcJ9nllI0 14:44
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

"MUZIKI WAZIMWA BAA" COSOTA WAANZA KUPITA KUMBI ZA STAREHE ZINAZOCHEZA BONGOFLEVA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan aliagiza Taasisi ya haki Miliki Tanzania (COSOTA) kuhakikisha Inakusanya mirabaha kwenye maeneo yanayotumia kazi za Wasanii ili Wasanii waanze kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao kutumika kwenye maeneo mbalimbali kuanzia December 2021.

Sasa kutoka Dodoma imefanyika operesheni maalumu ikiwahusisha COSOTA na Jeshi la Polisi ambapo wamepita kwa ajili ya kukagua maeneo mbalimbali yanayotumia kazi za ubunifu hasa muziki bila kulipia mirabaha ambapo AyoTV imeshuhudia baadhi ya Baa muziki ukizimwa kwa waliokaidi kulipa, video hii imenasa kila kitu.