Ontime
11 subscribers
172 photos
9.37K videos
1 file
23.7K links
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

BINADAMU ALIYEFANANISHWA NA SOKWE RWANDA APELEKWA SHULE, MIAKA 22 HAJUI KUZUNGUMZA
Wengi wetu tumezisoma sana habari kuhusu Zanzimana Ellie (22) wa Rweanda ambaye amekuwa gumzo kutokana na kufananishwa na Nyani ama Sokwe ambapo Mama yake alisema Kijana huyu toka alipozaliwa amekua akipenda kukaa msituni na kujitenga na shughuli nyingine za kawaida za Binadamu, taarifa mpya ya leo inasema wamejitokeza Wasamaria wema na kumpeleka Shule.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Amina Abdallah atuzwa kwa kuwakimu wagonjwa wa akili
Wahenga walisema, ''tenda wema wende zako'', na hivyo ndivyo Amina Abdallah na kituo chake cha kuwasaidia watu wenye magonjwa ya akili mjini Mombasa, Kenya walivyofikiria katika kuwafanyia hisani binadamu hao wanyonge. Lakini, kwa wema huo, Amina Abdallah ametambuliwa katika Sikukuu ya Mashujaa inayoadhimishwa leo Jumatano nchini Kenya. Vidio hii ya #Kurunzi inamulika huduma zinazotolewa katika kituo hicho kijulikanacho kama Mombasa Women Empowerment Network.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Ufugaji wa mabuu kama chakula cha mifugo Uganda
Katika dunia inayobadilika haraka, sekta ya ajira nayo inakabiliwa na changamoto nyingi. Kwa vijana wengi, ili kuweza kujiingizia kipato, lazima kwanza kuchemsha ubongo na kuja na mapya. Protein Kapital ni mradi uliozaliwa kwa njia hiyo nchini Uganda, ukijikita katika ufugaji wa mabuu ambayo ni chakula murua kabisa kwa wanyama. Elewa zaidi unavyofanya kazi kupitia vidio hii ya #Kurunzi.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Wakili Peter Madeleka aichambua hukumu ya Mbowe iliyotolewa na Jaji Syani
Bongo Sihami, ni Channel ya habari za siasa zinazohusu Tanzania. Tunajitahidi kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote kisiasa.
Tumeipa jina la Bongo Sihami kwa kuwa tunaipenda sana Tanzania, hatutahama Tanzania kwa shida ama kwa raha
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia
MWANZO MWISHO MAPINDUZI YA GUINEA RAIA WALIFURAHIA UTAWALA WA KIJESHI
Saved by @InstantMediaBot

MWANZO MWISHO MAPINDUZI YA GUINEA RAIA WALIFURAHIA UTAWALA WA KIJESHI
PLEASE SUPPORT US THROUGH AIRTEL MONEY +255 787 694 242
M-PESA +255 764 247 363 Thank you.
Mwenyezi Mungu awabariki sana kwa kuendelea kufuatilia makala zetu kwenye channel hii. Pia unaweza kuwasiliana nasi kwa whatsapp number +255 787 694 242.

SEHEMU YA KWANZA LINK HII HAPA: https://youtu.be/muS5g-lyUPw

SEHEMU YA PILI LINK HII HAPA: https://youtu.be/egaPZopsFcU
Waridi wa BBC: 'Sikuweza kula wala kunywa chochote katika siku tatu…
Saved by @InstantMediaBot

Waridi wa BBC: 'Sikuweza kula wala kunywa chochote katika siku tatu nilizobakwa'
Mchungaji Cecilia Muthoni Ssewagaba, alibakwa akiwa na miaka 17 na tukio hilo hatawahi kulisahau maishani mwake. Lakini tukio hili ambalo alilipitia utotoni limeacha kovu moyoni mwake, lakini bila shaka halikumkatisha tamaa ya kusonga mbele na maisha na kuwasaidia wengine waliopitia masaibu kama yake.
#bbcswahili #waridiwabbc #wanawake
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MANARA: GOLI LA FEISAL VS KMC NDIO GOLI BORA DUNIANI LA MWEZI
Kikosi cha Yanga SC kimerejea leo jijini Dar es Salaam kikitokea Songea ambapo kilikuwa kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu vs KMC ambapo baada ya kurejea Msemaji wao Haji Manara ameongea yafuatayo.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MWALIMU MKUU AMPIGA NGUMI MWALIMU WAKIKE, AMNG'OA JINO,
Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mkuyuni Morogoro Vijiji, Mussa Hasira kwa tuhuma za kumpiga hadi kumng'oa jino la juu Mwalimu mwezake, Witnes Makoti huku chanzo kikiwa bado hakijulikani.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV — BBC News Swahili
https://youtu.be/IF363DoihxU 28:20