Ontime
11 subscribers
172 photos
9.37K videos
1 file
23.7K links
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

'Ninapowavusha watoto na walemavu najihisi vizuri''
Si kila mtu anaweza kujitolea kuitumikia jamii kwa njia kama hii ya kuyahatarisha maisha ili tu aisadie jamii yake kutokana na ajali za mara kwa mara.

Festo Ramadhan kutoka nchini Tanzania amejitokeza na kuongoza magari na watembea kwa miguu ili kila mtu apate nafasi ya kuitumia barabara vizuri.

Je ungependa kufahamu shujaa huyu anapitia maswaibu gani? Ungana na @frankmavura aliyetuletea habari hii.

#bbcswahili #Tanzania #Usalama
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Gerson Msigwa ashuhudia Sabaya alikuwa akipora fedha wafanyabiashara awamu ya Magufuli
Bongo Sihami, ni Channel ya habari za siasa zinazohusu Tanzania. Tunajitahidi kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote kisiasa.
Tumeipa jina la Bongo Sihami kwa kuwa tunaipenda sana Tanzania, hatutahama Tanzania kwa shida ama kwa raha
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia
Hivi ndivyo MAPAPA wa KANISA KATOLIKI wanavyochaguliwa kwa SIRI KUBWA — BONGO FASTA
https://youtu.be/z6WnSUBDO34 10:26
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Duh.! Kiongozi wa Machinga Dar amvaa RC Makalla: Amefanya zimamoto, hatafanikiwa kuhamisha Machinga
Bongo Sihami, ni Channel ya habari za siasa zinazohusu Tanzania. Tunajitahidi kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote kisiasa.
Tumeipa jina la Bongo Sihami kwa kuwa tunaipenda sana Tanzania, hatutahama Tanzania kwa shida ama kwa raha
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia
VISA Sehem ya pili Olanda /kilangaso/Mbembe/ Tinwhite — WHITE FILMS
https://youtu.be/DsXYwYczKkQ 14:28
Matangazo ya Dira ya Dunia TV — BBC News Swahili
https://youtu.be/vxpq91MEC9k 28:07
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

AFRIKA INAMTEGEMEA MZUNGU SIO MUNGU NI LAANA UTAJIRI WAKE UNAIBWA NA MABEBERU
PLEASE SUPPORT US THROUGH AIRTEL MONEY +255 787 694 242
M-PESA +255 764 247 363 Thank you.
Mwenyezi Mungu awabariki sana kwa kuendelea kufuatilia makala zetu kwenye channel hii. Pia unaweza kuwasiliana nasi kwa whatsapp number +255 787 694 242.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Samsung Galaxy S8 Unboxing | Fahamu sifa na Bei yake
Key Specifications:

DISPLAY
Size: 5.8 inches
Display Type: Super AMOLED
Resolutions: 1440 x 2960 pixels.

CAMERAS:
Single on rear with 12MP
Single selfie with 16MP

CAPACITY:
OS: Android 7 upgraded to 9.0
Chipset: Exynos 8855
CPU: Octa-core (2x2.05 GHz Cortex-A76 & 6x2.0 GHz Cortex-A55)

RAM: 2GB & Storage: 64GB/128GB

BATTERY

Type: Li-Po with 3000 mAh, Non removable battery.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Mnyika amkosoa vikali Jaji wa kesi ya Mbowe: Alihongwa cheo na Samia ndio maana akatoa hukumu hii
Bongo Sihami, ni Channel ya habari za siasa zinazohusu Tanzania. Tunajitahidi kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote kisiasa.
Tumeipa jina la Bongo Sihami kwa kuwa tunaipenda sana Tanzania, hatutahama Tanzania kwa shida ama kwa raha
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tengeneza Highlights kwenye Instagrams || how to create highlights on Instagram @Bongotech255
fahamu njia rahisi ya kuweza kutengeneza Highlights nzuri na ya kupendeza kwenye Instagram akaunti Yako

weka akaunti Yako kwenye Hali ya kuvutia zaidi