Ontime
11 subscribers
172 photos
9.37K videos
1 file
23.7K links
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Kabudi atema cheche, azungumzia Royal Tour ya Samia: Wazungu wanatuuzia vumbi, ni ujinga wetu
Bongo Sihami, ni Channel ya habari za siasa zinazohusu Tanzania. Tunajitahidi kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote kisiasa.
Tumeipa jina la Bongo Sihami kwa kuwa tunaipenda sana Tanzania, hatutahama Tanzania kwa shida ama kwa raha
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia
/list@rss2tg_bot
Your subscriptions:
BBCSwahili.com | Habarihttp://feeds.bbc.co.uk/swahili/index.xml
DW-WORLD´s Kiswahili Homepagehttp://rss.dw-world.de/rdf/rss-kis-all
Send the link again to remove it from subscriptions.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

tumia simu Yako kujua tabia unazifanyaga usiku bila wewe kujua @Bongotech255
𝘂𝘁𝗮𝗷𝘂𝗮𝗷𝗲 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝘂𝘀𝗶𝗸𝘂 𝘂𝗸𝗶𝗹𝗮𝗹𝗮 𝘂𝗻𝗮𝘁𝗲𝗺𝗯𝗲𝗮 𝗮𝘂 𝗸𝘂𝗽𝗶𝗴𝗮 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗸𝗲𝗹𝗲𝗹𝗲

kwa kutumia simu Yako fahamu tabia ambazo unazifanyaga usiku ila Bila wewe kujijua 😀 yani utajua kha ukilala usiku unatembea , unapiga kelele au unakoloma.

tumia simu Yako sasa 😊.

#maujanja #simu #bongotech255 #apps
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Hatua Za Kubadilisha Kazi - Joel Nanauka
Kama umejifunza vitu kupitia video hii na unapenda nikusaidie upate maarifa zaidi nashauri upate usaidizi kwa namna zifuatazo:

Soma eBooks Zangu: Whatsapp 0745 252 670

Jiunge na Kozi Zangu : Whatapp 0762 312 117

Book Mafunzo / Ushauri Wangu: Piga 0756 094 875

See You At The Top

Joel Nanauka.

Unaweza kunifuatilia katika mitandao yangu ya kijamii:

Facebook: https://web.facebook.com/jnanauka/

Instagram: https://www.instagram.com/joelnanauka_/

YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCned...

#Timizamalengoyako #Seeyouatthetop #JoelNanauka #Nanauka
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

'Ninapowavusha watoto na walemavu najihisi vizuri''
Si kila mtu anaweza kujitolea kuitumikia jamii kwa njia kama hii ya kuyahatarisha maisha ili tu aisadie jamii yake kutokana na ajali za mara kwa mara.

Festo Ramadhan kutoka nchini Tanzania amejitokeza na kuongoza magari na watembea kwa miguu ili kila mtu apate nafasi ya kuitumia barabara vizuri.

Je ungependa kufahamu shujaa huyu anapitia maswaibu gani? Ungana na @frankmavura aliyetuletea habari hii.

#bbcswahili #Tanzania #Usalama
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Gerson Msigwa ashuhudia Sabaya alikuwa akipora fedha wafanyabiashara awamu ya Magufuli
Bongo Sihami, ni Channel ya habari za siasa zinazohusu Tanzania. Tunajitahidi kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote kisiasa.
Tumeipa jina la Bongo Sihami kwa kuwa tunaipenda sana Tanzania, hatutahama Tanzania kwa shida ama kwa raha
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia
Hivi ndivyo MAPAPA wa KANISA KATOLIKI wanavyochaguliwa kwa SIRI KUBWA — BONGO FASTA
https://youtu.be/z6WnSUBDO34 10:26