Ontime
11 subscribers
172 photos
9.37K videos
1 file
23.7K links
Download Telegram
ShutikaliTV latest record:
JK Comedian ahama Yanga Sikia alichowambia ,Aitaja Timu mpya
https://www.youtube.com/watch?v=M9FGus9Mna8
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Maswali Muhimu Ya Kujiuliza - Joel Nanauka
Kama umejifunza vitu kupitia video hii na unapenda nikusaidie upate maarifa zaidi nashauri upate usaidizi kwa namna zifuatazo:

Soma eBooks Zangu: Whatsapp 0745 252 670

Jiunge na Kozi Zangu : Whatapp 0762 312 117

Book Mafunzo / Ushauri Wangu: Piga 0756 094 875

See You At The Top

Joel Nanauka.

Unaweza kunifuatilia katika mitandao yangu ya kijamii:

Facebook: https://web.facebook.com/jnanauka/

Instagram: https://www.instagram.com/joelnanauka_/

YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCned...

#Timizamalengoyako #Seeyouatthetop #JoelNanauka #Nanauka
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Bila kuogopa Askofu Shoo amueleza Samia maneno haya mazito: Taifa lna majeraha
Bongo Sihami, ni Channel ya habari za siasa zinazohusu Tanzania. Tunajitahidi kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote kisiasa.
Tumeipa jina la Bongo Sihami kwa kuwa tunaipenda sana Tanzania, hatutahama Tanzania kwa shida ama kwa raha
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU SQUID GAME
Squid Game ni series ya televisheni kutokea Korea Kusini inayosimamiwa na kuonyeshwa na mtandao wa Netflix. Kwa wale ambao bado hawajaitazama series hii ya Kikorea, Squid game inahusu kundi la watu, ambao kutokana na madeni makubwa waliyonayo, wanajikuta wakishiriki na kushindana katika safu ya michezo rahisi ya utotoni, mshindi atapata donge nono ambalo litalipa madeni yote- ila kwa wataoshindwa, wanauawa mara moja. Donge nono hilo ni pesa ya kikorea Won Bilioni 45.6 ambayo kwa makadirio ni sawa na shilingi bilioni 89.

0:00​ | Introduction
1:06​ | Squid Game vs Hunger Games, Dark,na La Casa de Papel?
1:47​ | Squid Game inapatikana Netflix
2:43​ | Bajeti ya Netflix
3:41 | Squid Game ni stori ya kweli
4:31 | Mchezo halisi wa Squid Game
5:06​ | Maana ya maumbo ya Squid Game, Mduara,pembetatu na mraba
6:05​ ...
MATANGAZO YA V.O.A.SWAHILI LEO JUMAMOSI TAR.16.10.2021 — MKATAVI TV
https://youtu.be/JA6EXI8EexQ 2:18:54
Maisha na Afya: Tatizo la dawa feki linavyoathiri Afrika
Saved by @InstantMediaBot

Maisha na Afya: Tatizo la dawa feki linavyoathiri Afrika
Wiki hii Maisha na Afya inaangazia tatizo la dawa feki na linavyoathiri jamii zetu
SITOSAHAU GAMBOSHI: Sehemu ya Nne 4⃣ Simulizi ya kweli 👹
SITOSAHAU GAMBOSHI: Sehemu ya Nne 4⃣ Simulizi ya kweli 👹
SEHEMU YA 4 YA SIMULIZI YA KWELI inayomuhusu kijana ZABRONI MWITA akiwa katika upambanaji wa maisha ya kila siku na kujikuta akiingia katika Mambo ya Uchawi na Kuchukuliwa na wachawi na kutumika katika mambo ya kichawi.

MSIMULIAJI: Zabron Mwita
KITUO CHA SIMULIZI: Radio Free Africa (RFA)
KIPINDI: Sitosahau
MTANGAZAJI: Yusuph Magasha
DJ AFRO AMIGOS KIMODA Apocalypto JAGUAR PAW clip🔥🔥🔥🔥 SUBSCRIBE for the full movie — Dennis
https://youtu.be/F-64Cd5Bx7U 3:01