Ontime
11 subscribers
172 photos
9.37K videos
1 file
23.7K links
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Lema afunguka mazito kuhusu Sabaya kufungwa: Magufuli alipanga kumfanya Mkuu wa Mkoa
Bongo Sihami, ni Channel ya habari za siasa zinazohusu Tanzania. Tunajitahidi kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote kisiasa.
Tumeipa jina la Bongo Sihami kwa kuwa tunaipenda sana Tanzania, hatutahama Tanzania kwa shida ama kwa raha
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Mchezo wa kukimbiza Ngalawa maarufu sana maeneo ya pwani
Mashindano ya Ngalawa ni moja ya mashindano yaliobeba utamaduni wa watu wa pwani, utamaduni huu wa kushindana pia ni sehemu ya burudani kwa watu wa mwambao, hufanyika mashindano haya pale endapo jamii inahitaji kukusanyika au kusheherekea jambo fulani. Vidio na Yakub Talib #kurunzi
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

WANATUMIA VYAKULA KAMA SUMU YA KUUA WATU WEUSI
PLEASE SUPPORT US THROUGH AIRTEL MONEY +255 787 694 242
M-PESA +255 764 247 363 Thank you.
Mwenyezi Mungu awabariki sana kwa kuendelea kufuatilia makala zetu kwenye channel hii. Pia unaweza kuwasiliana nasi kwa whatsapp number +255 787 694 242.
/list@rss2tg_bot
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Apps za Muhimu Kuwa Nazo Kwenye Android TV Yoyote
Kama unayo Android TV na unataka kuinstall app mbalimbali basi ni muhimu kuangalia video hii ambayo nimekuonysha apps za muhimu kuwa nazo kwenye TV yako ya Android.

Apps hizi ni muhimu kuwa nazo kwani zitaweza kusaidia kufanya mambo mbalimbali kwenye TV yako ya Android kwa haraka na urahisi. Unaweza kudownload app hizi kupitia link hapo chini.

LINK MAALUM

1. App ya Kwanza - https://url.tanzaniatech.one/aXg

2. App ya Pili - https://url.tanzaniatech.one/7mM

3. App ya Tatu - https://url.tanzaniatech.one/vMD

4. App ya Nne - https://url.tanzaniatech.one/wvO

5. App ya Tano - https://url.tanzaniatech.one/29D

6. App ya Sita - https://url.tanzaniatech.one/UcT

7. App ya Saba - https://url.tanzaniatech.one/lNy

FOLLOW US

1. TikTok - https://www.tiktok.com/@tanzania ...