Swahili News
3.77K subscribers
109K photos
58.7K videos
28 files
266K links
🐾
Download Telegram
RAIS MAGUFULI ATEUA BARAZA LA MAWAZIRI β€” JamiiForums
https://youtu.be/5AIK_Jyh8v4 8:08
Swahili News
Photo
Voice of America
Bodi ya kitaifa ya kusimamia filamu Nigeria yakerwa na filamu 'Ife'

Bodi ya kitaifa ya kusimamia filamu nchini Nigeria imetishia kumchukulia hatua mtengenezaji filamu inayoitwa 'Ife' ambapo inadai kuwa inahamasisha ushoga kitendo ambacho ni kinyume cha sheria.
Swahili News
Photo
Voice of America
Wasomali wamuomba Biden kubadili uamuzi wa Trump kuondoa majeshi

Uamuzi wa Rais Donald Trump kuwaondoa wanajeshi wa Marekani nchini Somalia katika siku za mwisho za urais wake, umechochea malalamiko kutoka kwa baadhi ya Wasomali, ambao wamemuomba rais ajaye Joe Biden kubadili uamuzi huo.
Swahili News
Photo
Voice of America
Shinikizo laongezeka kwa jeshi la polisi Hong Kong kuwajibika

Uamuzi wa Mahakama moja Hong Kong umeimarisha matakwa ya kuwepo mfumo huru wa kupokea malalamiko dhidi ya polisi wakati kunaongezeko la kilio ndani na nje ya nchi juu ya madai ya kukamatwa watu kiholela na polisi kutumia nguvu kupita kiasi.