Swahili News
@HabariTz
3.75K
subscribers
111K
photos
59.7K
videos
28
files
268K
links
🐾
Download Telegram
Join
Swahili News
3.75K subscribers
Swahili News
👉
@HabariTz
https://www.youtube.com/watch?v=KwXHwzPuSWU
YouTube
MAAJABU: MTOTO AKUTWA KWENYE KIBANDA CHA CHIPSI AKIWA NA UJUMBE
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwili wa mtoto mchanga umekutwa kwenye kibanda cha kuuzia chipsi katika kata ya sokoni one mkoani Arusha
Swahili News
👉
@HabariTz
https://www.youtube.com/watch?v=tyX_cfZcr5Q
YouTube
BUNGE LAELEZWA HATUA ZILIZOCHUKULIWA KUPAMBANA NA CORONA
Swahili News
Chidi Benz ampa sharti 1 Harmonize,akishindwa basi
https://ift.tt/2UCEu8d
Habari TZ
🇹🇿
Chidi Benz ampa sharti 1 Harmonize,akishindwa basi
Mkali wa HipHop hapa nchini Chidi Benz, amesema kama atataka kufanya kazi na msanii Harmonize basi itabidi achukue jukumu la kumuandiakia na kumtafutia wazo msanii huyo.Chid Benz amesema sasa hivi …
Swahili News
Msaada kutoka Uturuki waelekea nchini Uhispania na Italia
https://ift.tt/2UxblLA
Habari TZ
🇹🇿
Msaada kutoka Uturuki waelekea nchini Uhispania na Italia
Baada ya kukumbwa na janga la virusi vya corona Italia na Uhispania, Uturuki yatuma msaada wa vifaa vya matibabuBaada ya kukumbwa na janga la virusi vya corona Italia na Uhi…
Swahili News
movies_point255 - Instagram Bridge
Name: The Cave (2019)...
➖
@HabariTz
➖
Instagram
Movies Point.
Name: The Cave (2019) Genre: adventure, drama ,thriller Rate: 6.3/10 Plot: A Thai youth football team is trapped in a cave while rescue workers scramble to save them
Swahili News
movies_point255 - Instagram Bridge
▶
Name: The Cave (2019)...
➖
@HabariTz
➖
Instagram
0:58
Movies Point.
Name: The Cave (2019) Genre: adventure, drama ,thriller Rate: 6.3/10 Plot: A Thai youth football team is trapped in a cave while rescue workers scramble to save them
Swahili News
movies_point255 - Instagram Bridge
Name: The impractical jokers the movie (2020)...
➖
@HabariTz
➖
Instagram
Movies Point.
Name: The impractical jokers the movie (2020) Genre: comedy Rate: 6.8/10 Plot: The story of a humiliating high school mishap from 1992 that sends the Impractical Jokers on the road competing in hidden-camera challenges for the chance to turn back the clock…
Swahili News
movies_point255 - Instagram Bridge
▶
Name: The impractical jokers the movie (2020)...
➖
@HabariTz
➖
Instagram
0:58
Movies Point.
Name: The impractical jokers the movie (2020) Genre: comedy Rate: 6.8/10 Plot: The story of a humiliating high school mishap from 1992 that sends the Impractical Jokers on the road competing in hidden-camera challenges for the chance to turn back the clock…
Swahili News
movies_point255 - Instagram Bridge
Name: Locuts (2019)...
➖
@HabariTz
➖
Instagram
Movies Point.
Name: Locuts (2019) Genre: Crime thriller Rate: 6/10 Plot: Two estranged brothers who are reluctantly reunited in their remote hometown at their father's funeral, become the target of an extortion scam at the hands of a gang of violent local thugs.
Swahili News
📱
@habariTz
'Chochote kinachopita karibu ya shimo hilo huvutwa na kupotea ndani yake'
Bbc Swahili
BBC News Swahili
Wanasayansi wapata ushahidi wa shimo jeusi angani
Wanasayansi wanasema kwamba wamepata ushahidi bora zaidi kuhusu mashimo meusi ambayo ni vigumu kuyaona
Swahili News
Idadi ya wagonjwa wa Coronavirus Kenya yapanda hadi 81
https://ift.tt/2xHsAR8
Habari TZ
🇹🇿
Idadi ya wagonjwa wa Coronavirus Kenya yapanda hadi 81
Watu 22 zaidi wamekutwa na virusi vya ugonjwa wa corona, na hivyobasi kuweka jumla ya watu waliopatikana na ugonjwa huo Kenya kufikia 81.Akizungumza na vyombo vya habari waziri wa Afya Mutahi Kagwe…
Swahili News
Mbeya: 9 wawekwa Karantini
https://ift.tt/3dRBtIP
Habari TZ
🇹🇿
Mbeya: 9 wawekwa Karantini
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema kuwa watu zaidi ya tisa kutoka Mataifa mbalimbali ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), wamewekwa karantini chini ya ulinzi wa Mkoa wa huo…
Swahili News
Mwanaume Kama Unajua Huna Hela Usifanye Haya
https://ift.tt/2QZWlnm
Habari TZ
🇹🇿
Mwanaume Kama Unajua Huna Hela Usifanye Haya
Maisha siku zote yana pande mbili pande ya kupata na pande ya kukosa na watu wote unaowaona mtaani jua kabisa wanapitia pande zote hizi mbili za maisha hata mabilionea wakubwa dunia wamewahi kupiti…
Swahili News
Heche : CCM haiwezi kuwa mhariri wa hotuba ya upinzani
https://ift.tt/340gXRs
Habari TZ
🇹🇿
Heche : CCM haiwezi kuwa mhariri wa hotuba ya upinzani
Mbunge wa Tarime vijijini (Chadema), John Heche, amehoji hutuba yao ya upinzani wanataka kuiandika wao CCM au wanataka wawasifie. Heche aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa twitter huk…
Swahili News
📱
@habariTz
Stoltenberg ataka NATO ijiimarishe dhidi ya COVID-19
Dw Kiswahili
Deutsche Welle
Stoltenberg ataka NATO ijiimarishe dhidi ya COVID-19
Katibu mkuu wa jumuiya ya NATO, Jens Stoltenberg amesema ushirika huo unapaswa kuzuia janga la virusi vya corona kugeuka kuwa tishio la usalama na kuonya Urusi au makundi ya kigaidi huenda yakatumia vibaya janga hilo.
Swahili News
ikulu_mawasiliano - Instagram Bridge
Salamu za rambirambi
➖
@HabariTz
➖
Instagram
Ikulu Tanzania
Salamu za rambirambi
Swahili News
👉
@HabariTz
https://www.youtube.com/watch?v=attEAOEAM3Y
YouTube
SHEIKH AFUNGUKA KIFO CHA MWANDISHI WA TBC, AELEZA KILICHOTOKEA
Swahili News
Ligi ya Mabingwa, Europa Ligi zapigwa ‘stop’ kwa muda usiojulikana
https://ift.tt/3bGAUiN
Habari TZ
🇹🇿
Ligi ya Mabingwa, Europa Ligi zapigwa ‘stop’ kwa muda usiojulikana
NYON, USWISI.Shirikisho la soka la Ulaya (UEFA) limearisha mechi zote za Ligi ya Mabingwa Ulaya na Europa Ligi kwa muda usiojulikana kutokana na janga la virusi vya corona.Jambo hilo linakwenda sam…
Swahili News
Msako wa watoto wanaojihusisha na biashara masokoni
https://ift.tt/2UA5Sna
Habari TZ
🇹🇿
Msako wa watoto wanaojihusisha na biashara masokoni
Mkuu wa mkoa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga ametoa agizo la kufanyika kwa msako wa kuwakamata watoto wote wanaohusishwa na shughuli za kibiashara katika maeneo ya masoko ikiwa ni…
Swahili News
Makonda atoa maagizo kwa wenye nyumba
https://ift.tt/3dO9Q2X
Habari TZ
🇹🇿
Makonda atoa maagizo kwa wenye nyumba
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewaomba wenye nyumba na majengo, kupunguza kodi kwa wapangaji wao kwa asilimia 50 ili waweze kukabiliana na mabadiliko ya hali ambapo sasa Dunia inapa…