Swahili News
3.78K subscribers
108K photos
58.6K videos
28 files
266K links
🐾
Download Telegram
@mkaliwenuoriginal Hivi ni Kweli Wanawake Wote Wanapenda Hela? . Hii Nyimbo ya @prophet_daniel_daniel_shillah Ukiisikiliza Kwa Makini Inakutia Nguvu Saaana ata Kama Ulijikuta Umekata Tamaa Lazima Usimame Na Upambane Tena🙏 . Hongera Mtumishi @prophet_daniel_daniel_shillah Nyimbo Ya #Nionee Huruma Inahamasisha Saana Kuzidi Kumuamini Mungu Katika Pirika Zetu Za Kutafuta Riziki💪 . Follow @prophet_daniel_daniel_shillah Alafu Bonyeza Link Kwa Bio Yake Utazame Video Yote ya #NioneeHuruma . @prophet_daniel_daniel_shillah . @prophet_daniel_daniel_shillah . #Nioneehuruma

@Huduma https://ift.tt/2KKccm0
@HabariTz
Wikiendi hii ni Bomba ndani ya DStv kwa sh.19,000 tu, utaicheck game ya Barcelona Live siku ya Ijumaa, Real Madrid wakiwa nyumbani siku ya Jumamosi , Southampton vs Liverpool live siku ya Jumamosi, Atletico Madrid vs Getafe live siku ya Jumapili. Ni Soka Mwaa Mwii ndani ya wikiendi Bomba na @dstvtanzania call 0659070707 #SokaMwaaMwii https://ift.tt/2Kvtoga
VIDEO: Jonathan Macha ambaye anadaiwa kumpiga Anna vassa kwenye Msiba wa Mkwe wake wakati akidai Mtoto wake, amefunguka nakusema hajampiga binti huyo na kwamba suala la Mtoto wake anayemdai ni kweli yupo Moshi na anaishi kwa Babu na Bibi pamoja na housegirl na kwamba suala hilo lipo Ustawi wa Jamii. full video ipo YouTube ya 'millardayo'

@habariTz https://ift.tt/2OVsaip
VIDEO: Muhimbili imetangaza idadi ya Majeruhi wanaondelea kupatiwa matibabu ambapo mpaka sasa kati ya Majeruhi 46 waliowapokea 8 wamefariki na wamebaki na Majeruhi 38 "Tulitangaza watu kuwatambua ndugu zao ila changamoto ni kwamba wanakuja ndugu wawili kudai mgonjwa mmoja ni wao wakitumia kigezo cha alinyoa kiduku" (📹 via @ayotv_)

@habariTz https://ift.tt/2z8gnTn
"Hili eneo tumewapa ndugu zetu wachonga vinyago, wachora picha na wauza shanga, wageni wanapokuja wakitaka kutembea jioni waelekezeni huu mtaa, kuna wale ambao tunapenda kuwapelekea zawadi Wapenzi wetu pitieni basi hapa wawachore" - RC MAKONDA (📹 via @ayotv_)

@habariTz https://ift.tt/2YJbyPi