Swahili News
3.78K subscribers
108K photos
58.6K videos
28 files
266K links
🐾
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
“Wakati lile roboti linakuja kuleta 5G nilikuwa najiuliza ni mimi ndo nitalipokea au mwingine, maana lingeamua kutandika kibao na lilivyo kubwa sijui kama ningenyanyuka," - Rais Dkt. @SuluhuSamia

#MkongoMawasiliano
#EastAfricaTV
“Hiyo teknolojia itamuwezesha daktari kufanya upasuaji akiwa eneo la mbali, lakini tukawafundishe kwanza madaktari wetu kwanza, ndo tuwaachie wafanye upasuaji kwenye mwili wa binadamu, maendeleo makubwa kwa wenzetu yanatokea.” - @SuluhuSamia

#MkongoMawasiliano
#EastAfricaTV
“Kila mtanzania ahakikishe taarifa alizozitoa NIDA ni sahihi, kama haziko sahihi akazirekebishe, taasisi zote zinazotoa huduma kwa watanzania zitumie namba moja ya NIDA na hii itasaidia kupungaza usumbufu” - @SuluhuSamia

#MkongoMawasiliano
#EastAfricaTV
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
RT @earadiofm: #KIPENGAXTRA "Sikujua kwanini Azam wamemuweka yule golikipa alikuwa na makosa mengi sana, laiti kama Yanga wangekuwa na Straika ambaye ni mkatili zaidi kama Fiston Mayele Jana zingekuwa si chini ya goli 5 si chini ya goli 7" @movich_tz

#KipengaXtra #EastAfricaRadio
RT @earadiofm: #KIPENGAXTRA "Kwenye ma'group yetu ya Yanga kuna mtu ka-tweet yaani huyo aliye-tweet ni Messi, Kachukua lile goli la Aziz halaf aka-tweet halafu akauliza Tanga inapatikana nchi gani?" @movich_tz

Unaweza kutazama #KipengaXtra Muda huu kupitia Youtube Channel ya #EastAfricaRadio
#SUPATECH: Kwenye kuleta mapinduzi ya kupambana na majanga ya moto, nchi ya China imekamata vichwa vya habari kwa kuja na ''Drones'' zenye uwezo wa kuzima moto.

Video iko chini hapo..
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#KIPENGAXTRA Mzee Yusuph Mwend anasema kuwa licha ya Yanga kushinda jana bado Yanga ni mbovu tu, na pia Kocha wao hamna lolote wala hana mfumo unaoeleweka.

Wangapi mnakubaliana na Mzee Mwenda, Je, Yanga ni mbovu kweli😃🤷?

#KipengaXtra #EastAfricaTV
Changia mada hii, comment yako itaruka live ting'ani #EATV

#Funguka kuanzia saa 9:00-9:30 Alasiri.

#EastAfricaTv #Familia #Watoto
Kumbukumbu za zamani za Marais wa Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda

Samia Suluhu Hassan
William Samoei Ruto
Yoweri Kaguta Museveni
Paul Kagame

#JamiiForums #JFKumbukizi #ThrowBack
Jiunge nasi Leo Alhamisi, Agosti 10, 2023 kuanzia Saa 12 Jioni hadi saa 2 usiku kupitia Mtandao wa #ClubHouse kujadili Vitendo na Mazingira ya Rushwa katika hatua za Umiliki wa Ardhi Nchini

Tutajadili Changamoto, Suluhisho, na njia za kuboresha Hali ya umiliki wa Ardhi, ili… https://t.co/qkdqf8fcOw
millardayo

Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Josephat Kaniki (45) Mkazi wa Mtaa wa Sekondari, Kata ya Mafulala Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake kwa ajali ya moto huku chanzo cha ajali hiyo kikidhaniwa kuwa ni sigara aliyokuwa akivuta kabla… https://t.co/E5vNDj0Gog
SWALI LA LEO: Una maoni gani kuhusu uamuzi wa mahakama kwamba mkataba kati ya serikali ya Tanzania na kampuni ya DP World hauna makosa na unaweza kutekelezwa?

Sisi,wa kongo Haja yatu vita iishe mashariki mwa inchi yetu. Mimi napatikana Bukavu. Tuna sumbuka n'a njaa,n'a dolla ya kimarekani ya sumbuwa inchini mwetu.