Swahili News
3.78K subscribers
108K photos
58.6K videos
28 files
266K links
๐Ÿพ
Download Telegram
Azam TV

#MechiYaKirafiki: Mashabiki wa Singida Fountain Gate wakifurahia burudani ya kandanda ndani CCM Liti.

Singida Fountain Gate 2-1 AS Vita Club

Tuko LIVE #AzamSports1HD

#SingidaBIGDAY #SingidaFG #SingidaFountainGate #TamashaLaSingidaFG #SingidaFGVsASVitaClub #SingidaFGโ€ฆ https://t.co/jniX3Ict1X
Azam TV

MATOKEO | #U17ClubsLeague

FT: JKU Academy 2-1 Transit Camp

Mechi inayofuata ni Ruvu Shooting dhidi ya Simba SC LIVE #AzamSports2HD

#U17PL #TFFU17Clubsleague #LigiYaVijanaU17 #LigiYaVilabuU17 #JKUAcademyVsTransitCamp #JKUAcademy #TransitCamp
Jamii Forums

Uhuru wa Kujieleza na kujumuika ni nguzo muhimu ya #Demokrasia imara. Bila Uhuru huu, mawazo hupwaya, mijadala hushindwa, na Maendeleo ya Kisiasa, Kiuchumi, Kijamii, na Kitamaduni hukwama

Takwimu zinaonesha 42% ya Nchi Duniani zimezuia Uhuru huu, jambo ambalo ni hatari kwaโ€ฆ https://t.co/iS5kbjqfSQ
Jamii Forums

#RWANDA: Rais Paul Kagame, amemteua Binti yake, Ange Kagame Ndengeyingoma kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji Baraza la Mikakati na Sera (SPC)

Mwaka 2020, alimteua Mtoto wake wa Kiume, Ivan Kagame katika Bodi ya Maendeleo. Pia, Januari 2023, Mtoto wake, Ian Kagame alichaguliwaโ€ฆ https://t.co/itWKtqlEOb
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Maulid Kitenge

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imesitisha utoaji wa huduma za Bima kwa Kampuni ya TABASAM CENTRAL AGENCY kwa kukutwa na hatia ya kutoa huduma za Bima kinyume na Taratibu.

Akizugumza leo na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzaniaโ€ฆ https://t.co/qkWmTORUvz
Maulid Kitenge

Wanasema Kila Lenye Mwanzo halikosi Mwisho, Subira Huvuta Kheri ! Na Umoja ni Nguvu .

Baada ya Yote Yaliyotokea na Kuzungumzwa hatimaye Sasa TUNAWAKUTANISHA ๐Ÿค๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ.

IJUMAA August 4, 2023 #TunaWakutanisha #UsoKwaUso.
Maulid Kitenge

Benki ya NMB imetambuliwa na kupokea tuzo tatu za kimataifa ambazo ni:

๐Ÿ† Benki Bora Tanzania 2023 (Kutoka Tuzo za Umahiri za EuroMoney)

๐Ÿ† Benki Bora ya Wateja Maalum (Kutoka Tuzo za Umahiri za EuroMoney)

๐Ÿ† Benki Bora ya Wateja Binafsi na Biashara (Kutoka Tuzo za Globalโ€ฆ https://t.co/USpglwP1PQ
Maulid Kitenge

Klabu ya Singida Fontaine Gate FC imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika mchezo wa kirafiki kwenye tamasha la Singida Big Day uliofanyika katika uwanja wa CCM Liti, Singida.

FT: Singida Fontaine Gate FC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 2-1 ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ AS Vita SC
โšฝโ€ฆ https://t.co/21iB5oXYoM
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

URUSI YAFANYA MASHAMBULIZI KWA KUTUMI ANDEGE ZA SHAHED BANDARI ZA ODESA UKRAINE
TUNAKUPA HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA VYANZO VYA KUAMINIKA DUNIANI KOTE

Connect with Us| Tufolow
Twitter๐Ÿ‘‰https://twitter.com/assenga_online
Instagrma๐Ÿ‘‰https://www.instagram.com/assengaonline/
Tiktok๐Ÿ‘‰https://www.tiktok.com/@assengaonline?_t=8Wjy3qxpxNl&_r=1
Telegram ๐Ÿ‘‰https://www.instagram.com/assengaonline/

REPORT TO US
If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.

COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright, email us assengablogtz@gmail.com