Swahili News
3.78K subscribers
108K photos
58.6K videos
28 files
266K links
🐾
Download Telegram
Jamii Forums

WAGANGA WA JADI 10 WAPELEKWA KIGOMA KUPAMBANA NA WACHAWI

Wananchi wa Kijiji cha Sunuka, Wilaya ya #Uvinza wameshirikiana na Serikali ya Kijiji kuchukua Waganga wa Jadi zaidi ya 10 kutoka #Sumbawanga ili kukagua wachawi ndani ya kijiji chao wakidai ni chanzo cha utitiri wa 'Vifo… https://twitter.com/i/web/status/1660532905356001280
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Jamii Forums

Baadhi ya Wabunge Nchini Uganda wamehoji na kupinga Bajeti ya takriban Tsh. Bilioni 159.49 iliyotengwa kwaajili ya Matumizi ya Ofisi ya Rais Yoweri Museveni ambayo inajumuisha Tsh. Milioni 221.7 za kununua Mavazi ya Rais na Tsh. Milioni 380.1 za kununua Samani kila mwaka

Je,… https://twitter.com/i/web/status/1660547470785388545
Jamii Forums

Mapitio ya nyaraka za Maafisa wa Ngazi ya juu wa Mkandarasi wa Sinohydro Corporation Limited kuhusiana na Lot 1, yalibaini kuwa Maafisa 6 kati ya 11 waliochaguliwa kama sampuli walikuwa wanafanya kazi bila vibali vya kazi, kinyume na Kanuni za Ajira

Uwepo wa Wakazi na… https://twitter.com/i/web/status/1660562592790716416
Jamii Forums

Ni baada ya Serikali kubainisha kuwa kati ya 2019 na 2022, ilitumia karibu Dola za Marekani Milioni 5 (Takriban Tsh. Bilioni 11.8) kwa ajili ya matengenezo ya Nyumba za Watumishi wa Umma, ambapo inakadiriwa kuwa taa moja iligharimu takriban Tsh. 2,363,000 katika moja ya nyumba za… https://twitter.com/i/web/status/1660585441781858305
May 22, 2023 at 11:52AM
May 22, 2023 at 12:54PM
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

HATIMAE RAIS ZELENSKY AKUBALI YAISHE AOMBA MPANGO WA MAZUNGUMZO YA AMANI NA URUSI KUMALIZA VITA
©TUNAKUPA HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA VYANZO VYA KUAMINIKA DUNIANI KOTE
---------------------------------------------------------------------------------
JIUNGE NA CHANNEL YETU APA: https://t.me/habari24tv

TEMBELEA WEBSITE YETU HAPA; https://bit.ly/2UBBAQf
-----------------------------------------------------------------------------------
REPORT TO US
If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.

COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright, email us assengablogtz@gmail.com
Azam TV

Soko kuu la Bukoba limenusurika kuteketea kwa moto ambao ulitokea katika duka moja la magodoro ambalo lipo katika soko hilo na kufanikiwa kuzimwa kabla ya kusambaa zaidi katika maduka mengine.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kagera, Zabron Muma,… https://twitter.com/i/web/status/1660569609257320448
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Azam TV

Kamishna msaidizi wa Jeshi la Magereza mkoani Kilimanjaro, Leonard Burusi ameshauri wafungwa wanaomaliza kutumikia vifungo vyao magerezani kutembelea hifadhi za Taifa kabla ya kujiunga na shughuli nyingine za kijamii ili kujiweka sawa kisaikolojia.

#AzamTVUpdates
Azam TV

Picha hii ilipatikana kwenye moja ya mechi za Simba SC za NBC Premier League ambapo ‘mnyama’ alishinda magoli 1-3.

Goli la kwanza la Simba lilifungwa na John Bocco na mawili yalifungwa na Moses Phiri. Pasi za mwisho za magoli yote ya Phiri zilitoka kwa Clatous Chama, huku goli… https://twitter.com/i/web/status/1660583885896314880
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Azam TV

MAHANJUMATI MKALI WA JIKO: Jumamosi hii timu nzima ya itakuwa jijini Tanga kutafuta wale Wakali wa kucheza na jiko na shughuli nzima itasimamiwa na Jaji Mkuu Zainab Issah.

Usikose kuanzia saa 3:00 usiku kupitia #UTV108 kwenye kisimbuzi chako pendwa cha #AzamTV

#MkaliWaJikohttps://twitter.com/i/web/status/1660590835358916608
Azam TV

USIKU WA VITASA

Jumamosi hii katika ukumbi wa Warehouse, vitasa vitapigwa.

Ibrahim Classic atapanda ulingoni kuzipiga na Said Chino.

Mbabe wa Manzese, Idd Pialali kuonyeshana kazi na Thaimon N'goma.

Mapambano haya yatasindikizwa na mapambano mengine Sita ya utangulizi.… https://twitter.com/i/web/status/1660591293909565446