Swahili News
3.78K subscribers
108K photos
58.6K videos
28 files
266K links
🐾
Download Telegram
Azam TV

Wakati Simba SC, ikinyakua alama zote tatu kutoka kwa Namungo FC, kwenye mechi ya NBC Premier League, Jumatano ya Novemba 16, kulikuwa na ‘show’ kati ya beki Mohamed Hussein ‘T’shabalala na Shiza Ramadhan Kichuya ambaye pia aliwahi kuwatumikia vijana hao wa Msimbazi.
Azam TV

Mkali wa RnB, @africanboyJUX ameachia tracklist pamoja na picha nembo rasmi ya albamu yake mpya ya #KingOfHearts anayotarajia kuiachia Ijumaa ijayo Novemba 25 ikiwa na jumla ya ngoma 16.
Azam TV

AZAM FC SAFARINI: Kikosi cha Azam FC kimeianza safari ya kuelekea mkoani Lindi kwaajili ya kuivaa Namungo FC Jumapili kwenye mechi ya NBC Premier league.

Mchezo huo utapigwa katika dimba la Majaliwa na utakuwa LIVE #AzamSports1HD saa 1:00 usiku

#AzamSports1HD #NBCPremierLeague
Azam TV

Watanzania Ibrahim na Fadi Ramadhani maarufu kama Ramadhani Brothers, ambao ni washindi wa 'Golden Buzzer' kwenye mashindano ya vipaji ya Australia's Got Talent 2022 (AGT), wamefanikiwa kutinga katika fainali (Grand Finale) za michuano hiyo mikubwa ulimwenguni.