Super4 News (Facebook)
#HABARI Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mkazi mmoja wa Kijiji cha Ndungi katika Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua ndugu yake William Shoo, kwa madai ya kuwa marehemu alikataa kuchangia shilingi 1,500 ya nyama waliyokuwa wamenunua baada ya kula.
Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Simon Maigwa amesema tukio hilo lilitokea Oktoba 10,2021 ambapo imeelezwa kuwa mtuhumiwa alinunua nyama na Marehemu kisha kula kwa pamoja baada ya kula Marehemu alikataa kuchangia chochote ndipo ugomvi ulipozuka. Ndipo mtuhumiwa huyo alimkata ndugu yake na kitu chenye ncha kali kichwani na kupelekea umauti wake.

Jioni
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
https://av.voanews.com/clips/VSW/2021/10/11/20211011-163000-VSW070-program_32k.mp3

Kwa Undani
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
https://av.voanews.com/clips/VSW/2021/10/11/20211011-180000-VSW070-program_original.mp3

Duniani Leo October 11, 2021: Kesi ya Thomas Sankara yaanza Burkina Faso
https://www.voaswahili.com/a/duniani-leo-october-11-2021-kesi-ya-thomas-sankara-yaanza-burkina-faso/6266266.html

VOA
Duniani Leo October 11, 2021: Kesi ya Thomas Sankara yaanza Burkina Faso
Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika ilikuwa Idhaa ya kwanza ya lugha ya Kiafrika kuanzisha matangazo ya moja kwa moja kupitia mitambo ya Sauti ya Amerika mjini Washington D.C. Mwezi Mei 1964 matangazo ya dakika thelathini, ambayo yalikuwa yamerekodiwa…
Kesi ya mauaji ya Thomas Sankara yaanza kusikilizwa
Kesi kuhusiana na mauwaji ya mwana mapinduzi wa Burkina Faso na Afrika kwa ujumla Thomas Sankara imefunguliwa rasmi mjini Ouagadougu hii leo ambapo watu 14 akiwemo rais wa zamani wanatuhumiwa kwa mwauwaji hayo yaliyotokea mwaka 1987.
https://www.voaswahili.com/a/kesi-ya-mauaji-ya-thomas-sankara-yaanza-kusikilizwa/6266287.html

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
millard ayo на Facebook Watch
millard ayo (Facebook)
VIDEO: Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake Twiga Stars imewasili nchini leo ikitokea Afrika Kusini ilikoshinda Ubingwa wa COSAFA kwa Wanawake, kwenye...
millard ayo (Facebook)
VIDEO: Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake Twiga Stars imewasili nchini leo ikitokea Afrika Kusini ilikoshinda Ubingwa wa COSAFA kwa Wanawake, kwenye...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Azam TV (Twitter)
SIMBA MAWINDONI: Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomez anazungumza kuhusu kinachoendelea kwenye mazoezi ya timu hiyo inayojiandaa na mechi ya #CAFCL itakayochezwa nchini Botswana Jumapili ya Oktoba 17.

Swahili News
Photo
VOA Swahili
VOA DUNIANI LEO OCTOBER 11, 2021
Matangazo ya #DunianiLeo kutoka #VOASwahili #WashingtonD.C October 11, 2021
➖ @HabariTz ➖

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
VOA Swahili
Kenya yatamba Boston Marathon
Benson Kipruto na Diana Kipyogei wote wakenya wameshinda katika Boston Marathon ambazo zilirejea tena baada ya kusitihwa kwa muda kwasababu ya janga. Mashindano hayo ya riadha yalirejea tena baada ya kutokuwepo kwa takriban miezi 30 yakiwa na idadi ndogo ya washirika, huku kukiwa na hisia za kutokaribiana na kusogezwa mbele, ambapo kwa kawaida hufanyika wakati wa majira ya machipuko lakini mwaka huu yamefanyika katika kipindi hiki cha majira ya fall kwa mara ya kwanza katika historia yake ya miaka 125.
Kipruto alishinda katika mbio hizo katika muda wa saa 2 dakika 9 na sekunde 51. Diana pia aliongoza tangu mwanzo mpaka hatua za mwisho na kushinda kwa upande wa mbio kwa wanawake katika muda wa saa 2 dakika 24 na sekund 45. Ni mara ya nane kwa wakenya kushinda katika mbio hizi tangu mwaka 2000.

Millard Ayo
LULU DIVA AFUNGUKA KUHUSU MAHUSIANO YAKE “NISHAACHWA, KUOLEWA NI MAAMUZI"
Ni Msanii kutokea Bongo Fleva, Luludiva ambae time hii amekaa kwenye Ayo TV kuzungumzia mahusiano yake.
Msanii huyo ameyazungumza hayo katika hafla ya uzinduzi wa show mpya itakayorushwa kupitia TV3 iitwayo Mr Right.

☞@HabariTz
Mjadala waendelea Meeting ID: 858 4880 5537. Passcode: 593470...
https://www.facebook.com/1441056362839266/photos/a.1468603633417872/3039759186302301/

Facebook
Log in or sign up to view
See posts, photos and more on Facebook.
☞@HabariTz
Dira ya Dunia TV Jumatatu 30/08/2021
https://www.facebook.com/1441056362839266/videos/641061173480884/

Dira ya Dunia TV Jumanne 31/08/2021
https://www.facebook.com/1441056362839266/videos/449636726174256/

Dira ya Dunia TV Jumatano 01/09/2021
https://www.facebook.com/1441056362839266/videos/3025901897695737/

Dira ya Dunia TV Alhamisi 02/09/2021
https://www.facebook.com/1441056362839266/videos/181948797374239/

Dira ya Dunia TV Jumatatu 06/09/2021
https://www.facebook.com/1441056362839266/videos/372418091017232/