Swahili News
3.76K subscribers
110K photos
59.4K videos
28 files
268K links
🐾
Download Telegram
“JPM kwa bahati ulikuwa Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mama Samia alikuwa Makamu Mwenyekiti, kuna Wazee wazito, Kabudi walikuwa Wajumbe wa Tume ya Jaji Warioba, kuna Vijana wako Polepole, Naibu Spika walikuwa Wajumbe, una Watu wamekuzunguka, nakuombea utuachie Katiba mpya”-LIPUMBA https://t.co/sSLze3SCex
Timu ya WHO inayochunguza chimbuko la janga la virusi vya Corona imekitembelea kituo kimoja cha Mkoa wa Hubei cha udhibiti wa magonjwa ambacho kilikuwa cha kwanza katika kujaribu kudhibiti Corona, bado kuna udhibiti mkali wa upatikanaji wa habari kuhusu virusi hivyo Nchini China. https://t.co/GHbqGZukCR
“Kufuatia kuwepo kwa taarifa za uwepo wa mlipuko wa pili wa Corona katika Nchi Jirani, nimekuwa nikipokea maswali mengi, Watu wakiuliza iwapo Wizara ina mpango wa kupokea chanjo ya Corona na njia zipi zitumike kujikinga na Corona”-Waziri Gwajima
#MillardAyoUPDATES https://t.co/YpWGzBWEAx
“Kwa sasa Wizara haina mpango wa kupokea chanjo ya Corona inayoripotiwa kuwepo na kutumika kwenye Mataifa mengine, Serikali kupitia Wizara inazo taratibu zake za kufuata inapotaka kupokea bidhaa za afya, baada ya kujiridhisha, kwa nia njema kabisa ni hadi tujiridhishe”-GWAJIMA https://t.co/EQBHv6zYiw
“Kuhusu mbinu za kujikinga na Corona, Wananchi wajielekeze kwenye Elimu inayotolewa na Wataalamu wa Afya ikiwemo kuimarisha usafi wa mazingira na wa Mtu mmojammoja, kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni, sanitizer,Lishe,kujifukiza,mazoezi, matumizi ya Tiba asili n.k”-GWAJIMA https://t.co/O0PfXKsHEt
“Wizara ya Afya kupitia Mkemia Mkuu wa Serikali imehakiki bidhaa kadhaa za Tiba asili na kubaini zimekidhi vigezo vya usalama kwa ajili ya matumizi, bidhaa hizi tayari zinatumika na wengi zimewasaidia ikiwemo Mimi Waziri wa Afya na Familia yangu”-GWAJIMA
#MillardAyoUPDATES https://t.co/SPmcKVUDAE
“Nalielekeza Baraza la Tiba Asili, kwa ushirikiano na Watengenezaji wa bidhaa za Tiba Asili ambazo zimehakikiwa na Mkemia wa Serikali, kesho lifafanue zaidi juu ya bidhaa hizo kuwa zinafaa kwa matumizi na zinawaponya wengi au kuwapa nafuu, lengo Watu wajue zinakopatikana”-GWAJIMA https://t.co/Wv7kvZOnp9
“Naelekeza Wataalamu wote Tanzania wa Tiba Asili watoe Elimu ili kuelimisha Jamii, na Wataalamu ambao hawajajitokeza wajitokeze ili dawa zao zihakikiwe na Mkemia Mkuu wa Serikali ili kuhakikiwa na Baraza letu la Tiba Asili” - GWAJIMA
#MillardAyoUPDATES https://t.co/75TDJsKKkG
“Baadhi ya bidhaa za Tiba Asili zilizohakikiwa na Mkemia Mkuu kuwa ni salama ni pamoja na Covidol, Bingwa,Nimcaf,Planet, Uzima,Bupiji n.k, hizi ni baadhi tu kesho Baraza la Tiba Asili litataja nyingine, hizi ni silaha zetu tumepewa na Mungu kama Nchi nyingine walivyopewa”-GWAJIMA https://t.co/i6KKwkcrGf
Matangazo ya Dira ya Dunia TV — BBC News Swahili
https://youtu.be/KnEVGa4ITyk 28:23
On our weekly segment of Let's chat tomorrow morning we will be discussing planning your funeral. In studio we will be having Josh Karuga - Operations Manager, Montezuma Monalisa Funeral Home and Njeru Mwandiki - Head of Business Development, Clarkson Insurance Brokers. # https://t.co/J45AnORnhC
“Nazikumbusha Taasisi zote za Umma, Taasisi za Kidini, Taasisi Binafsi, Taasisi za Kijamii na Vyombo vyote vya Habari kuepuka kutoa taarifa za Afya ambazo hazifuati miongozo ya Wizara, wakishatoa taarifa hizo zinazua taharuki na hofu kwa Jamii”-WAZIRI GWAJIMA
#MillardAyoUPDATES https://t.co/kvMA2EoaUN
Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam wamewaonya Watu wanaohamasisha mgomo wa Madereva na Wamiliki wa Mabasi yaendayo Mikoani, Mambosasa amesema Wananchi kesho waendelee na shughuli zao kama kawaida na asubuhi Askari watakuwepo Stand ili kuhakikisha suala la usafiri halivurugwi. https://t.co/NCCwqYMUhe
Familia ya Derick Mkandala Lufufuu kupitia kwa Mtoto wake Scovia Derick Lufufu imesema imewapiga marufuku Watu wote wanaotumia sauti au jina la Marehemu Baba yao bila idhini ya Familia, ni baada ya Mchekeshaji Kitale kuonekana akitumia style na jina la Lufufu kwenye kazi zake. https://t.co/lSQ6g7rwH0
Kiongozi wa Upinzani Nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amefungua kesi Mahakamani kupitia kwa Mawakili wake akitaka Rais Museveni azuiwe kushiriki uchaguzi ujao, Bobi ameendelea kuyapinga matokeo ya Urais yaliyomrejesha tena madarakani Museveni.
#MillardAyoUPDATES https://t.co/cyNtUVEgBu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Moja ya timu ambazo zinazovutia katika ligi kuu ya #EPL ni Leeds United na Jumatano hii watacheza na Everton, mechi utaiona kupitia Kifurushi cha Bomba !!!! ndani ya DStv
Piga sasa *150*53# kulipia kifurushi Bomba sh 19,900 tu mechi hii isikupite.
#sokalisilopimika https://t.co/GaAQOGDike