Swahili News
3.78K subscribers
108K photos
58.7K videos
28 files
266K links
🐾
Download Telegram
MNYIKA AKIZUNGUMZIA WABUNE WA VITI MAALUMU WALIOAPISHWA — JamiiForums
https://youtu.be/pU5kcYuSgnU 12:40
Audio
Kwa Undani
@HabariTz

Tembo mwenye umri wa miaka 25 ameokolewa baada ya kuanguka ndani ya kisima cha kina kirefu nchini India. Mkulima...
https://www.instagram.com/p/CH_8fKEgNW_/
@HabariTz

Mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo Afrika Kusini Zahara anazungumzia unyanyasaji wa kijinsia wakati wa mlipuko wa...
https://www.instagram.com/p/CIBUd7RsjUR/
Swahili News
Photo
Voice of America
Nyota wa kandanda duniani Maradona afariki

Mchezaji Hodari wa kandanda Diego Maradona, ambaye alikuwa anajulikana sana duniani kama mmoja wa wachezaji mahiri, amefariki kwa mshtuko wa moyo Jumatanbo, wakili wake amesema.
Swahili News
Photo
Voice of America
Biden kuwatambulisha watakaoshika nafasi za kidiplomasia na usalama

Rais mteule Joe Biden akiwa katika hatua ya kuwatambulisha watakao kuwa katika nafasi za juu za kidiplomasia na kiusalama latifa utawala wake.
Swahili News
Photo
Voice of America
Wanajeshi wazingira Tigray, masaa 72 ya kujisalimisha yamemalizika

Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, amekataa kile alichosema kama jamii ya kimataifa kuingilia kati mgogoro wa Tigray ambapo muda wa saa 72 aliotoa kwa vikosi vya Tigray kujisalimisha ulimalizika Jumanne usiku.